Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Naona unafoka foka sana.

Shusha pumzi, tulizana halafu andika point moja tuijadili. Ukichanganya mengi inakuwa ni kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Acha kukimbia ajuza wewe! Hoja ipo Aya ya Kwanza mstari wa kwanza. Lengo lako ni Nini?
 
Wewe ni mchochezi umeandika pumba mtupu
 
Hivi kuna mtu ana lugha ya kuudhi hapa jukwaani kama Faiza Foxy?
 
Watetezi wote wa DP word, nilijua tu hamna hoja na zaidi sana mtaishia kwenye hiki mnachokishauri

Ni upumbavu kukosa hoja then ukadhani ulichoandika ndicho kitalinda hoja zenu dhaifu

Bado tuko palepale! Hatutaki mkataba wa milele na DPword

Ndoa zinavunjika sembuse mkataba?
 
Lugha iliyokatumika ni kusema nchi amepewa mshamba
Tukumbushe kidogo tuone lugha walizotumia kufikisha ujumbe wao.

Hao wote unaowataja mimi nafahamu kuwa ni watu wa system. Waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba.
 
hatuna hoja kabisa, tumeishiwa na hoja.,. Sasa vitendo tu.

Wewe kama una hija ungana na wenzako waliokwenda mahakamani.
 

Unaandika kuwa wewe ukiwa mod watu hawatakula ban,halafu unakuja kuandika tena kuwa ikiwa mtu hasikii baada ya kumuonya "matra" tatu,hapo ndipo ban itafuata!!
Unauona ukigeugeu wako!!??
Hivi ukigeugeu kama huu,unaweza kupata wapi uhalali wa kushauri chochote kwa moderators!!??
 
Mbona wenyewe wanasema sio Mkataba ni Makubaliano tu Mkataba wenyewe bado
 
Kwanini bandari za zanzibar hazijajumuishwa kwenye mauzo kwa waarabu?
Kwanini zimeuzwa za Tanganyika tuu?
Za zanzibar hazimo kwa sababu wanasema kila mmoja anasimamia bandari zake
 
Nyie wazanzibar hamna haki yeyote kwenye bandari ya Dar kama mna haki kwanini bandari zetu hamkuziuza mazima nyie waunguja?
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu wanasema kila mmoja anasimamia bandari zake
 
Mkileta ucenge wenu tutawaua kweli, hamuwezi kutukana mamlaka mchelewe
Tutaanza lukufilimba wewe na familia yako kabla hujaleta upumbavu wako!

Usilete upumbavu kwenye maslahi ya taifa kabisa.

Simbilisi we
 
Kila mtu ana jambo lake ki maslahi, likiguswa atalalamika.

Jambo la DP World lina maslahi pande tofauti. Kila upande usikilizwe.

Hakuna kuona hawa ni hawa, wale ni wale...
Kwa hiyo maslahi ya walio kwenye nafasi yameguswana,kelele zote hizi maslahi ya walafi yameguswa?. Kwa hiyo sio kelele kwa maslahi ya nchi,sio kwa ajili ya wananchi?. Bali maslahi ya walafi yameguswa?. Hii nchi kweli ni ya kuionea huruma

Naona kabisa chanzo cha yote haya,tatizo kubwa ni katiba mbovu
 
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu wanasema kila mmoja anasimamia bandari zake
 
Mbona wenyewe wanasema sio Mkataba ni Makubaliano tu Mkataba wenyewe bado

.." makubaliano " yaliyopitishwa na bunge na vigogo wa serikali wakaanguka saini sio mkataba huo?

..nadhani watu wanaoisemea serikali ktk suala hili hawafai.

..kwa kweli wanamchafua na kuharibu sifa nzuri za Raisi Samia na Ofisi yake kwa ujumla.

..Aliyeshauriwa mkataba utetewe na wachekeshaji kama Steve Nyerere, Baba Levo, Zembwela,...ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…