Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Amezeeka. Anaandika huku anatetemeka/anatetema.Apewe ugoro wake.Toka uanze mjadala wa DP world, umekuwa na makosa mengi ya kiuandishi.
Mfano Uzi huu una makosa zaidi ya 10, na wewe ilikuwa kinara wa kuwarekebisha watu wanaokosea.
Kuhusu DP world sina cha kuongeza wala kuongeza, mtavyokubaliana ndio hivyo hivyo
Lugha sio nzuri..Ila pia tofauti ya kauli zinazotolewa ndio zinaharibu. Kila mtu amekuwa ni msemaji, Kila mtu mpaka wanapishana kauli.Hilo ni sawa kabisa, lakini si linatakiwa lijadiliwe kiamani, kila mwenye hoja aiseme hoja yake bila jazba wala uchochezi au kuomesha chuki kwa wengine?
Au wewe unaridhika na lugha za uchokozi (provoking) zinazowachiwa kutumika hivi sasa?
Mimi nikiwa moderator, kwanza watu hawatokula ban, ntakuwa nabadili lugha tu, nafuta post za matusi na zenye uchochezi wa kijinga, ikiwa mtu hasikii baada ya kumuonya matra tatu, hapo ndipo ban itafatia.Sipati picha kama ungekuwa mod jf ingekuwaje maana hayo unayoita 'maafa' mods wenyewe hawajayaona na ndio maana hawafuti nyuzi hizo.
Nijuavyo mie mods hufuta nyuzi zote zenye kuleta maafa muda mfupi tu baada ya kusambazwa
Nenda pale kwenye twitter ya Lisu ameweka ushahidi namna kula zilivyoibiwa pale kawe kwa Halima. Acha ujingaUnaona lugha hiyo, hao "wezi" ni nani na nani na wamekuibia nini?
Duniani wezi kweli wapo lakini unamshutumu mtu bila ushahidi sheria haikuruhusu na unaweza kuchukuliwa hatua. Usifikiri nyuma ya hii mitandao tumejificha kiasi cha tukitakikana hatuwezi kupatikana.
Aione Dr, wakili msomi, msomi wa Harvard, Rais mstaafu.Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi...
Kiukweli huwa nakerwa mno na Aina ya wanasiasa wa hivyo, wanaacha kujenga hoja za kisiasa zenye kulenga maslahi mapana kwa watanzania wote, wamebaki kuleta matabaka kwa wananchi.... Watu wa hivi hawafai kabisaSawa kabisa, kila mmoja wetu ana maoni yake, na ni vizuri kwenye maoni tusijumuishe, uweke huyo mwana siasa na alichokifanya ambacho wewe hukioni sawa, ndiyo nguvu ya hoja.
lakini kutukana na kuchochea kwa lugha za maudhi kunajenga au kunabomoa?
Achana kutisha watu hovyo kisa umekura hongo na waarabu wa Walodi wewe....sio kipindi cha Jiwe hiki.Unaona lugha hiyo, hao "wezi" ni nani na nani na wamekuibia nini?
Duniani wezi kweli wapo lakini unamshutumu mtu bila ushahidi sheria haikuruhusu na unaweza kuchukuliwa hatua. Usifikiri nyuma ya hii mitandao tumejificha kiasi cha tukitakikana hatuwezi kupatikana.
Uliona kuna mtu au chombo chochote kimemzuia yoyote kutoa maoni? Lakini kutoa maoni kwa njia ya matusi, kejeli kwa viongozi, dharau hiyo si njia sahihi za kutoa maoni. Kumbuka inapoishia haki yako ya kutoa maoni ndipo inapoanzia haki ya mwingine.Acheni watu watoe madukuduku yao.
Hofu ya nini kama mnaamini mama yenu anachofanya ni sawa...
Nani katukana?Uliona kuna mtu au chombo chochote kimemzuia yoyote kutoa maoni? Lakini kutoa maoni kwa njia ya matusi, kejeli kwa viongozi, dharau hiyo si njia sahihi za kutoa maoni. Kumbuka inapoishia haki yako ya kutoa maoni ndipo inapoanzia haki ya mwingine.
Kama hawataki kejeli basi wasitukejeli watanzania kwa kuingia mikataba mibovuUliona kuna mtu au chombo chochote kimemzuia yoyote kutoa maoni? Lakini kutoa maoni kwa njia ya matusi, kejeli kwa viongozi, dharau hiyo si njia sahihi za kutoa maoni. Kumbuka inapoishia haki yako ya kutoa maoni ndipo inapoanzia haki ya mwingine.
Wanaotukanwa washauri waende mahakamani .Sawa kabisa, kila mmoja wetu ana maoni yake, na ni vizuri kwenye maoni tusijumuishe, uweke huyo mwana siasa na alichokifanya ambacho wewe hukioni sawa, ndiyo nguvu ya hoja.
lakini kutukana na kuchochea kwa lugha za maudhi kunajenga au kunabomoa?
Kama hawataki kukejeliwa au kutusiwa waache kuwakejeli au kuwatusi watanzania kwa kuongoza vibaya kwa mfano kuingia mikataba mibovu.sio wao tu hata machawa wao kama wewe watakejeliwa wenyewe wakiwakejeli watanzania.Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi...
Hakujawahi kuwepo na hoja ya maana au yenye mashiko kutoka kwa opponents wa Bandari na infact Serikali au Samia hana shida nao. Kinachosemwa watu wajadili mkataba wao sio personal attacks kama wafanyavyo sasa.Kuwaziba watu midomo ni dalili ya kushindwa hoja.