Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Tunazidi kugawanyika.

Yeye anatoa maoni kusimama na kuubariki mkataba.

Lakini hataki kabisa wale wanaopinga mkataba huu, waendelee kuishi.

Yeye ana haki ya kusapoti.
Wengine hawana haki ya kupinga.
Na anadai uhuru umezidi.

Hakulaani, wkt Sheikh Mwaipopo anamponda na kumkashifu Prof. Shivji. Profesa alitweza utu na utanzania wake, hakulaani.

Wengine walipolaani. Hapo anaona washughulikiwe.


Mods, msiunge Uzi huu kwa sababu,

Hoja yangu inaeleza, hii ya walio upande wa ndio, kuanza kusema wasiotaka huu mkataba washughulikiwe kwa njia za wazi na zisizo za wazi.

Tuwaulize, hizo njia zisizo za wazi, ndio zile zisizojulikana. Vifo.

Hatari sana.
 
Hakujawahi kuwepo na hoja ya maana au yenye mashiko kutoka kwa opponents wa Bandari na infact Serikali au Samia hana shida nao. Kinachosemwa watu wajadili mkataba wao sio personal attacks kama wafanyavyo sasa.
Hayo ni maoni yako na mtazamo wako tu.

Wapo wanaoona hilo suala la bandari kuwa halijakaa vizuri.

Waachwe waongee.

Na kama Samia hawezi kustahimili kusemwa, basi na aache kazi arudi kwao Unguja huko.

Akirudi huko kwao wala hakuna mtu atayekuwa na muda wa kumfuatilia.

Ila kwa kadri anavyoendelea kuwa mtumishi namba moja wa umma anayelipwa mshahara na walipa kodi wa Tanzania, she is fair game.

And she is an empty suit [read: she is dumb].
 
Kushindwa kwako kusoma kusifanye sote tumeshindwa kusoma. Wanaoona mkataba hauna kikomo ni walioenda shule kusomea ujinga tu.
Babu we,hatutaki Dp world wachukue bandari zetu kwa muda ambao haujawa specified,kama wamesema muda ndio useme hapa sio kujishaua tu hapa, shule yako inamsaidia nani?
 
Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutus...
Tulia, mnaanziasha ugomvi nyumba ya vioo.
 
Umeongea kwa sauti ya mayowe kuzuia hii kitu. Hii kitu ni mto umewaka, yataka busara namna ya kuuzima. Ni tayari umewaka huo moto unaohofia, labda haujaenea ila umewaka. Kinachoendelea sio uchokozi bali ni moto!
 
kwa muono wako mimi naweza kweli kuwa mjinga na mchawi. Hizo ni sifa ambazo nazichukulia vyama kabisa.

Linalofanywa na Muislam kama halijakiuka kanuni na sheria kwanini nisiliunge mkono?

Si unaona hapo. unaweza kutuonesha hao Wazanzibari ni nani nanani waliouza Taifa na wameliuza vipi na kwa nani?

Hayo ndiyo mambo ambayo unatakiwa ukayajibu mahakamni kisheria kabisa. Si una uhakika nayo? Au unafata mkumbo tu? Au kuna aliye nyuma yako anakwambia uyaseme hayo?

Kama una uhakika wa ukisemacho kwanini usiende mahakamani ukamshitaki huyo Mzanzinzibari anaeiuza nchi yetu?

Wengine humu ni" Watanganyika" kwa kuzaliwa Tanganyika kabla haijapata uhuru na kabla haijawa Tanzania. hatujamuona huyo Mzanzibari ataethubutu kuiuza nchi yetu na ataiuzauza uzaje kwanza?

Wewe mtaje ni nani kama ushahidi ili tujiunge pamoja tumshitaki kama wewe huwezi.

Hata kama ni Rais kuna njia zake za kumshitaki akawakilishwa na wanasheria wa serikali kumtetea mahakamani.

lakini ukumbuke tu, kama madai ni ya uongo unaweza kufanyiwa kama alivyofanyiwa Msiba. Si uliona anavyodaiwa?
 
tukibinafsisha bandari kwa kigezo cha kukosa ufanisi basi tubinafsishe vingine vyote vilivyokosa ufanisi ikiwemo serikali yenyewe.
Ni wapi ulipoona kuwa bandari inabifsishwa? Unajuwa labda wenzetu mna habari ambazo sisi hatuzielewi. Nini kilichokupelekea kusema bandari inabinafsishwa? Mimi sijaona wala sijasikia bandari yetu au etu kubinafsishwa.


Mimi nnachokielewa kuna kampuni inaitwa TICTS ilipewa mkataba kuendesha bandari ya makontena, lakini kwa miaka 22 haijafikia malengo na haijaleta vifaa ilivyosema italeta kuendeshea bandari kiufanisi, wakaambiwa waondoke, wameondoka sasa inataka kupewa kampuni ya DP World inayomilikiwa na Dubai ili waendeshe bandari yetu kwa mkataba ambao bado wanaelewana wataouingia baina ya DP World Na Tanzania Ports Authority.

Huko kubinafsishwa kuko wapi?
 
Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi...
Rais alishauliwa vibaya na yeye kaingia mzima,anashauriwa mpaka na Magwiji wa sheria kama Shivji lakini haelewi kuwa ule mkataba ni bomu.Wanatumwa wakina Mwaipopo kumshambulia Mtu mashuhuri kwenye sekta ya sheria nchini.

Rais alipokuwa Arusha,alisema waache waongee,yeye anasonga mbele! sasa na Watanzania wameamua kusonga naye mbele.

Umesema Wizara husika zipo kimya,hiyo ni ishara kuwa hawakubaliani naye uamuzi wake juu ya Bandari,na hili sakata litammaliza Samia kisiasa,ataondolewa madarakani kwa aibu tena inaweza isifike 2025 na ata ikifika atanyang'anywa madaraka.
 
Back
Top Bottom