Uhuru wa Palestina hautapatikana bila kupinduliwa kwa Misri, Jordan na Saudi Arabia

Uhuru wa Palestina hautapatikana bila kupinduliwa kwa Misri, Jordan na Saudi Arabia

Ni kweli kabisa,hao vibaraka walio jirani ndio kikwazo kikubwa Cha kukombolewa Baytul Muqadas na kuondoshwa kwao ni mwanzo wa ukombozi wa filistin
kina Abu Musab Zarqawi na Abubakar al Baghdad walianza na naamini kwa idhini ya Allah Kuna "masimba" wengine watakaoleta nusra kamili
Ujinga utawaua!
 
ujinga upi huo? wa kuabudu sanamu la bikira Maria au yule mzungu Brian Decon ? au kufuata hekaya za Paulo wa Antokia?
Hamna akili nyinyi. Yule kibaka asiyejua kusoma wala kuandika kawabrainwash vibaya mno. Ubwabwa tu unawatoa roho ndo mtayaweza makubwa?
 
09 November 2023
Riyadh, Saudia

Leaders arrive in Riyadh for Saudi-Africa summit​

main
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Riyadh Deputy Gov. Prince Mohammed bin Abdulrahman at King Khalid International Airport in Riyadh. (SPA)
Swahili news :
RIYADH: Viongozi wa Afrika wameanza kuwasili katika Ufalme wa Saudia kwa ajili ya mkutano wa kilele wa Saudi-Afrika utakaoanza Ijumaa, Shirika la Habari la Saudi limeripoti SPA .

Viongozi hao ni pamoja na Rais wa Nigeria Bola Tinubu, Rais wa Eritrea Isaias Afwerki, Rais wa mpito wa Gabon Brice Clotaire Oligui Nguema, Rais wa Mauritania Mohamed Ould Ghazouani, Rais wa Mauritius Prithvirajsing Roopun, Rais wa Malawi Lazarus Chakwera, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Niger Ali Mahamane. Lamine Zeine.

Viongozi hao walilakiwa na Naibu Gavana wa Riyadh Prince Mohammed bin Abdulrahman walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mfalme Khalid.

Mkutano wa kwanza wa kilele wa Saudia na Afrika unalenga kuimarisha uratibu wa kisiasa, kushughulikia vitisho vya usalama vya kikanda, kukuza mabadiliko ya kiuchumi kupitia utafiti na maendeleo ya ndani ya suluhisho mpya za nishati, na kuongeza ushirikiano wa uwekezaji.

Wakati huo huo, Rashad al-Alimi, Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Rais wa Yemen amewasili Riyadh kuhudhuria vikao vya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kuhusu mzozo wa Israel na Palestina.
 
Prince Abdulrahman - Hezbollah Ni Kikaragosi Cha Iran, Wala Siyo Mhimili Wa, Utetezi wa Wapalestina

Mwana wa mfalme wa Saudia Prince Abdulrahman bin Mosaad amshukia vikali kiongozi wa Hezbollah leader Hassan Nasrallah, kuwa ni mlaghai mkubwa

Walakini, mwana mfalme wa Saudia alikataa dhana ya "Mhimili wa Upinzani" unaoongozwa na Irani, dhidi ya Israeli na "Mhimili wa Upinzani" kwa Amerika kama uwongo mkubwa.

“Hakuna shaka kwamba Mhimili wa Upinzani ni uongo mkubwa. Makombora 100,000 na silaha kubwa ambazo Hezbollah haina uhusiano wowote na kuunga mkono malengo ya Palestina," Mosaad alisema.

Mwana mfalme wa Saudia alishutumu utawala wa ayatollah wa Iran kwa kutumia mzozo wa Gaza kama chombo cha kisiasa kuendeleza ajenda na ushawishi wake katika eneo lote la Mashariki ya Kati.

"Kile kinachoitwa Mhimili wa Upinzani umekuwa ukishughulikia suala la Palestina kwa miaka mingi na ni njia tu ya kutekeleza ajenda ya Iran katika kanda," Mosaad aliongeza.

Ikiwa na safu ya makombora 150,000, vikosi vya kigaidi vya Shiite Muslim Hezbollah vinachukuliwa kuwa na nguvu zaidi kuliko mshirika wake wa Kisunni Hamas huko Gaza.

Wakati Hezbollah imeongeza mashambulizi yake kwenye mpaka wa kaskazini wa Israel, inaonekana kwamba Nasrallah kwa sasa haitaki kushiriki katika vita kamili na Israel ili kuokoa Hamas.

Hezbollah ni kikaragosi cha kubeba mabango ya propaganda za Iran kueneza uongo na chuki katika ukanda wote wa Mashariki ya Kati na duniani

Saudi prince blasts Nasrallah, says Iranian ‘Axis of Resistance is a big lie’​

by All Arab News Staff | November 5, 2023
Image Description
An Iranian cleric stands at a square in Tehran as Lebanon's Hezbollah Secretary-General Hassan Nasrallah gives a speech, November 3, 2023. (Photo: Morteza Nikoubazl/NurPhoto)

Saudi Prince Abdulrahman bin Mosaad blasted Hezbollah leader Hassan Nasrallah on Saturday, the day after the Lebanese terror leader delivered a speech where he praised Hamas and threatened Israel and the United States.

However, the Saudi prince rejected the notion of an Iranian-led, anti-Israel and anti-American “Axis of Resistance,” as a big lie.

“There is no doubt that the Axis of Resistance is a big lie. The 100,000 missiles and massive weapons that Hezbollah has have nothing to do with supporting the Palestinian cause,” Mosaad stated.

The Saudi prince accused the Iranian ayatollah regime of exploiting the Gaza conflict as a political tool to advance its own agenda and influence throughout the Middle East region.

“The so-called Axis of Resistance has been dealing with the Palestinian issue for years and is only a means of implementing Iran’s agenda in the region, Mosaad added.
With an arsenal of 150,000 missiles, the Shiite Muslim Hezbollah terror forces are widely considered much more powerful than its Sunni ally Hamas in Gaza.

While Hezbollah has stepped up its attacks on Israel’s northern border, it appears that Nasrallah is currently not seeking to engage in a full-scale war with Israel to save Hamas.

Since the Israeli ground operation in Gaza began a week ago, the Hamas leadership has increasingly urged Hezbollah to assist by opening a second front against Israel in the north.

However, Nasrallah stressed on Friday that Hezbollah has already entered the war through its largely limited and symbolic military border exchanges with the Israeli army.

“Some say, ‘Here, [Nasrallah] wants to announce the joining of the campaign. We already entered the campaign on October 8,” Nasrallah said during his speech.

“What is happening on our front is very important and influential because … all the Israeli military positions from the sea to Shebaa Farms are being subjected to daily and intensified attacks that target positions from tanks, drones, soldiers, and surveillance equipment,” Nasrallah claimed.

However, the Saudi prince noted that Nasrallah also stated that Hezbollah did not have any involvement in the Hamas massacres on Oct. 7 inside southern Israel.
“Hassan Nasrallah’s speech, in which he said that Operation Al-Aqsa Flood is a Palestinian operation only – and that the resistance axis was surprised by this, and everything that was said in the speech – dropped all the masks.”

The Saudi prince concluded by emphasizing the considerable gap between Hezbollah speeches and its actions.

“All illusions based on loud slogans and resonant speeches should fall with him. Nasrallah did not believe his own speech until he said that all efforts must be made to stop the war in Gaza. Why do you say what you do not do? It’s so disgusting that you say what you don’t do,” Mosaad.
 
Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.

Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda muda wa kutoa msaada kwa wenzao hao.

Mara baada ya kuanza kwa mashambulizi ya ardhini ndani ya mji mkuu wa Gaza, Jeshi la IDF liliwataka wapalestina wanaoishi eneo hilo kuelekea kusini. Ni ukatili sana hata kufikiria watu milioni 2.3 ambao tayari walikuwa wanaishi eneo dogo sana halafu kuwataka wakaishi pamoja kwenye nusu ya eneo walipokuwa awali.

Pamoja na hilo sambamba na kuuliwa wa kaskazini wale waliotii amri kuelekea kusini nao wamekuwa wakiuliwa njiani. Zaidi ya hivyo Jeshi la Israel limesema wakimaliza kaskazini ya Gaza itakuwa ni zamu ya kusini.
Kabla ya kumaliza huko kaskazini kumekuwa na mashambulizi mengi maeneo ya kusini ambako wapalestina wamekuwa wakifa kiwango cha chini kidogo kuliko kaskazini.

Itakapokuja zamu ya kusini watatakiwa waende wapi tena na idadi gani wataendelea kuuliwa kabla Israel kusimamisha mauwaji hao.

Kwa mtazamo wa haraka mzunguko huo wa mauaji kusini na kaskazini ya Gaza. Mashariki na magharibi ya Jerusalem hautakoma mpaka ardhi zote za wapalestina zitakapokuwa zimenyakuliwa. Bila msaada wa nguvu za kijeshi wapalestina peke yao hawataweza na hawana nguvu za kujitetea.

Watetezi wakubwa wa Palestina katika kipindi kigumu wangekuwa ni wale ndugu zao walio nje ya Palestina na ambao wamekosa huruma na umoja wa kuwaokoa. Tatizo halisi la kukosekana nguvu hizo wala sio wananchi wa nchi hizo bali ni Serikali zinazotawala ambazo zimeingia mikataba ya hadaa na Israel na hatimae kuamua kukaa kimya au kutoa matamko mepesi na yasiyokuwa na athari kwa uonevu uanaoendelea.

Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.

Hivyo ukombozi halisi wa Palestina utapatikana kwa kuondoka madarakani kwa Serikali za nchi hizo tatu.
UNABII UMETIMIA!
[emoji116][emoji116]
Amosi 1:6-7,9-12
[6]BWANA asema hivi; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliwachukua mateka watu wote, ili kuwatia mikononi mwa Edomu;

[7]Lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake;
 
09 November 2023
Johannesburg, RSA

Chief Rabbi wa Afrika ya Kusini ataadharisha serikali ya South Afrika imekengeuka katika suala la Gaza

View: https://m.youtube.com/watch?v=5R_FfrRrQ-4

Chief Rabbi Goldstein katika hotuba yake ameitahadharisha serikali ya South Afrika na chama cha ANC kutotumbukia katika mtego wa hadaa wa propaganda.

Maana nyuma ya kinachoendelea Gaza kupitia nvhi ya Iran kuna agenda kubwa imejificha kueneza machafu hadi nchi za kiAfrika.

Chief Rabbi Goldstein katika hotuba yake anatolea mfano kati ya machafuko mengi yanayoendelea Sudan, kaskazini ya Nigeria na hata nchi ya jirani na Afrika ya Kusini yaani Mozambique katika jimbo la Cabo Delgado ni agenda mojawapo hivyo kuwataka viongozi wa nchi yake ya Afrika ya Kusini wasitumbukie katika mitego miovu ...

In a sweeping address, Chief Rabbi Goldstein confronts what the Israel-Hamas conflict is really about – Iran’s plans to destroy Israel and spread global jihad. Pinpointing how the South African government and those marching against Israel in the world’s capitals are Iran’s “useful idiots”, he addresses multiple issues ranging from jihadi terror in Africa to the ANC’s betrayal of biblical and basic moral values.

Chief Rabbi Goldstein also explains how the baseless accusations of colonialism, apartheid and genocide levelled against the Jewish state are the latest in a long line of nefarious, anti-Semitic conspiracy theories, a 21st century version of the blood libel and the “Protocols of Zion”.
 
Awache kuitisha Afrika Kusini.Taifa lilloasisiwa na shujaa Mandela
 
Tutaongea maneno mengi Sana. Hivi hao Hamas wasingevamia Israel nini kingetokea?. Watu walikuwa wananaishi kwa amani, bila kusumbuana. Tungeanzia hapo, sio kulaumu.
Alikuambia watu walikuwa wanaishi kwa amani ni nani ,gaza ni ka magreeza kubwa hivi au kwa vile vyombo vya magharibi hawatoi taarifa,zao
 
kwani kubadilisha syllabuses ndio kutafanya wasipinduliwe? uwezo wa kubadilisha Quran wala Hadith hawana kwa hiyo suala la kupinduliwa ni la muda tu
Hii hii Quran na hadith iliyomuelezea mtume Muhammad alikuwa anapaka wanja na hina na kumlamba mdomo na kumnyonya ulimi mwanamme mwenzake al Hassan msikitini akiwa uchi?

Adiosamigo
 
Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.

Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila uzito mkubwa kutokana na kuwahadaa majirani na ndugu wote wa Palestina na wamekaa kimya katika muda muda wa kutoa msaada kwa wenzao hao.

Mara baada ya kuanza kwa mashambulizi ya ardhini ndani ya mji mkuu wa Gaza, Jeshi la IDF liliwataka wapalestina wanaoishi eneo hilo kuelekea kusini. Ni ukatili sana hata kufikiria watu milioni 2.3 ambao tayari walikuwa wanaishi eneo dogo sana halafu kuwataka wakaishi pamoja kwenye nusu ya eneo walipokuwa awali.

Pamoja na hilo sambamba na kuuliwa wa kaskazini wale waliotii amri kuelekea kusini nao wamekuwa wakiuliwa njiani. Zaidi ya hivyo Jeshi la Israel limesema wakimaliza kaskazini ya Gaza itakuwa ni zamu ya kusini.
Kabla ya kumaliza huko kaskazini kumekuwa na mashambulizi mengi maeneo ya kusini ambako wapalestina wamekuwa wakifa kiwango cha chini kidogo kuliko kaskazini.

Itakapokuja zamu ya kusini watatakiwa waende wapi tena na idadi gani wataendelea kuuliwa kabla Israel kusimamisha mauwaji hao.

Kwa mtazamo wa haraka mzunguko huo wa mauaji kusini na kaskazini ya Gaza. Mashariki na magharibi ya Jerusalem hautakoma mpaka ardhi zote za wapalestina zitakapokuwa zimenyakuliwa. Bila msaada wa nguvu za kijeshi wapalestina peke yao hawataweza na hawana nguvu za kujitetea.

Watetezi wakubwa wa Palestina katika kipindi kigumu wangekuwa ni wale ndugu zao walio nje ya Palestina na ambao wamekosa huruma na umoja wa kuwaokoa. Tatizo halisi la kukosekana nguvu hizo wala sio wananchi wa nchi hizo bali ni Serikali zinazotawala ambazo zimeingia mikataba ya hadaa na Israel na hatimae kuamua kukaa kimya au kutoa matamko mepesi na yasiyokuwa na athari kwa uonevu uanaoendelea.

Nchi tatu miongoni mwa nyingi ambazo zimeonekana kusaidia maangamizi hayo ya Palestina na kushindwa kututea masjid Aqswa ambao utakatifu wake uko kwenye Qur'an ni Saudi Arabia, Misri na Jordan.

Hivyo ukombozi halisi wa Palestina utapatikana kwa kuondoka madarakani kwa Serikali za nchi hizo tatu.
Jordan kuna wakristo wengi ...zaidi ya asimilia 40 ni wakristo na Hata Rais wao ni mkristo.
 
Kila jambo lina ukomo wake.Nguvu kubwa ya Israel imedumu mpaka mwaka huu 2023.Kuanzia sasa ni kudidimia tu.
unayo taarifa kuwa Israel inataka inunue Iron dome zake 2 ilizoziuza kwa US kutoka na mahitaji kuongezeka.Huyo ni Hamas tu asiyekuwa na ndege wala silaha za kutosha.Itakuwaje kama hao majirani watatu kila mmoja atarusha jiwe lake.
Utatunga Sana uongo juu ya Israel kipindi hiki.
 
Dunia ya leo kila mtu anapambania tumbo lake, hakuna nchi itakayopeleka jeshi kutetea Palestina, hata wewe mleta mada Hamas wakikuomba njoo usaidie mstari wa mbele utakimbia mbio zote.
 
Back
Top Bottom