Nilikuwaga sipokei na namwambia anasema wewe mshikaji wangu tu ata mda niliopitia magumu watu wengi wakinitenga alikuwa na Mimi bega Kwa begaRafiki wa kweli anatakiwa kumalizana na rafiki yake wakiwa wawili na sio kushirikisha mtu wa 3. Kama kuna vitu dogo anavifanya havikuridhishi mchane tu mwambie hizo mbanga huzifagilii. Kama ni mimi ningemchana kuhusu kupiga simu hovyo kila mara za kusalimia na hivyo vizawadi. Wanaume kugandana haifai. Simu inatakiwa mara mojamoja. Awe anatuma tu msg watsapp.
Mwezi Sita❌Or after six month 😂😂
Hoohoooo isije kuwa ndiyo wale madogo wanao jihita makada wa ccmHabari za saivi wakubwa
Kuna dogo bhana wa kiume alitokea kunikubali Sana Tena sana nimemzidi miaka kama mi 3 ivi alianza kunizoea Mimi nikawa namchukulia kama dogo
Alikuja kuniambia siku moja Kuna dada ake angependa niwe shemeji yake dada ake alikuwa sio haba kweli tukazama mapenzini na dada yake kiasi dogo akawa anachekwa kitaa na nyumbani Wana muattack kuwa anamtafutia dada ake mabwana ikaenda Mimi nikawa nampotezea maana nilikuwa karibu Sana na dada yake one day dogo alinilalamikia Sana kuwa dada yake ni wa kupita tu Mimi na yeye ushikaji sio wa kupita alilalamika mno kuwa kumpotezea sio fair
Ikaenda Mimi na dada yake tukaachana dogo kahangaika mno kutuunganisha ila wapi dogo alikuwa karibu na Mimi Sana Iko kipindi akimlaumu dada yake
Imeenda nae mahusiano yake yakawa Yana haribika namjenga na kumtia moyo Hadi Leo hii dogo Huwa Kila siku lazima anipigie simu akiamka kunijulia Hali mwanzo nilikuwa naona usumbufu now akipiga lazima nipokee
Akija mkoa nilipo lazima alete zawadi kwangu akija lazima anitoe out na atake tukae nae mda wote tunapiga story sasa Huwa najiuliza Mimi Nina kitu Gani special kinachofanya anithamini ivyo?
Ulikutana vipi na hii familia?Nilivyo Anza kutoka na dada yake na dogo hapo ndiyo chanzo ila uko nyuma ilikuwa fresh
ROGER THAT"The Suspect Is Considered Armed, Do not Engage, I Repeat Do Not Engage...."
Over
Mwanzo kabisa Mimi na bro wake tulikuwa washikaji akaja kupata kazi akahama mkoa hata Instagram page yake Kuna picha yangu imo ila alikuja punguza mazoea na Mimi alivyoanza sikia natoka na mdogo wake wa kike zikabaki salamu tuUlikutana vipi na hii familia?
Mtu hatari unatongozewa demu unaharibu??Babu mimi ni mtu hatari sana
Sasa kama ni hivyo tafuta kibomba kikubwa rahini kisha kivae na boksa patune haswa kisha akija home kwako kaa sebureni ukiwa hivyo ila usijishitukie kisha mdadisi macho yake kwa kuibia lazima utagundua kitu chanya au hasi ...kamwe shoga awezi kuvumilia anapo hona mkunyeke umetuna ndani ya boksa hata awe mwanajeshi mwenye cheo gani lazima utamgindua tu anaanza kutatalika anapo hona kitu kama hicho.Sio kabisa mwana CCM yeye kama Mimi
Kumbe ndo hizo kashikashi mwanzo nilijua mtu mwenye kashikashi ni kama kina lokole au anko t😒Matusi yapo ngumu ugomvi Kila kitu kipo inategemeana na unakujaje