Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Mkuu karibu hapa home Niko naangalia picha ya Yesu Kristo mwokozi wetu.
 
Unachanganya mada sasa, hapo kuna huyo mtu unamuita Issa, waislamu mnaforce kwa nguvu ya ajabu sana kusema issa wenu ndo YESU KRISTO, najua mnafanha hivi ili kuwahadaa watu tu.....Ila sishangai maana hata YESU KRISTO alishatabiri kuna watu matapeli watajifananisha na yeye
 
Hujajibu swali shekhe, mtume wenu alioa wake 13.....hiyo mistari ya BIBLIA uloniwekea sijaona hiyo idadi.......alafu vipi swala la mtume wenu kuoa katoto ka miaka 9, hivi kwa dunia ya leo unafikiri huyo mtume wenu angepona kweli? Assume kama angekua nchi kama Iran, nahisi angenyongwa kwa kutumia Winchi
 
Nyie waislamu mnanichekesha sana, Mara mnasema BIBLIA imechakachuliwa, sasa kama imechakachuliwa mbona unatoa mistari huko.....Ila sikulaumu maana najua umeshamezeshwa matango pori na wanazuoni wa kiislamu
 
Safi ndugu yangu. Naomba na mimi nikazie point yako ya kwamba ni suala la kimaumbile.

Mwenyezi MUNGU kamuumba mwanaume akiwa na sifa zinazotofautina na mwanamke. Moja kati ya sifa hizo ni mwanaume kuota ndevu hii ni distinctive feature moja wapo aliyonayo mwanaume usoni kwake. Kiasi kwamba ukimtazama tu wajua huyu ni Me opposite na wanawake ambao sura zao hazina ndevu kidevuni.
Hivyo mafunzo yaliyokuja kuhimiza swala hili ni kutukuza maumbile aliyotuumba nayo Mwenyezi MUNGU kwa kutupa sifa za kipekee wanaume.
Kuna sababau nyingine zilizokuja katika mafunzo ya dini ila nilikusudia kukazia hapo.
 
Mtume alioa wanawake kumi na tatu na kubaka katoto kadogo ikiwa pamoja na kuolewa na bibi khadija kwahiyo nawe ukifanya hivyo ndo sunah siyo?
Kitoto kidogo kipi. Au marry aliemzaa yesu akiwa na miaka kumi hali yakua kachumbiwa na Joseph mwenye miaka 94? Kweli nyani haoni TUZI lake
 
Kwanza sioni kwako ila wivu tu.
Nahakika kama ungekua na ka uwezo usingebaki na mmoja uliye nae.
Pili hawakua kumi tatu kwa kipindi kimoja.
Pia hakumuoa na kuishi nae katika umri huo unaosema wewe.
Alimchukua kuishi nae baada ya kubaleghe hivyo haikua miaka tisa.
 
Mtume alioa wanawake kumi na tatu na kubaka katoto kadogo ikiwa pamoja na kuolewa na bibi khadija kwahiyo nawe ukifanya hivyo ndo sunah siyo?
Unaushahidi wewe boya?
 
Hapo watakuambia wanatumia agano jipya.
 
Hebu mimi nikanyoe ndevu niwe msafi. Maana kama mtu kaacha chaka kidevuni mahali pa wazi, vipi huko tusikoona?
 
Kufuga ndevu ni Tendo la kiibada kwa mwanaume wa Kiislam kama ilivyo kwa Ibada kwa mwanaume wa kikiristo kutokutahili ZUNGA lake katika Imani ya kikristo kuwa na govi ni SUNA ukikata unakwenda kinyume na maamlisho ya mtume paulo- muasisi wa kitabu cha matendo ya Mitume hivyo hii Suna ya Govi ni Muhimu kama kufuga ndevu
 
Kweli Nyani haoni kundu lake.
Mbona hao jamaa wamefuga ndevu kwani na wao ni waislamu?
Tumia akili yako angalau mara moja kwa mwaka uiepushe isioze. Hoja haba sio nani mwingine anafuga ndevu, hoja ni kuishabihisha na imani.

Upo uwezekano mkubwa Yesu alikuwa na madevu, kama ilivyo desturi ya watu wa jamii yake. Kwa hiyo hiyo sio hoja. Hoja ni mimi mkristo Mjaluo wa Tarime nalazimika kufuga midevu kama Yesu? Na mimi nivae kandambili hata kama hakuna joto la jangwani huku Nyamongo? Na mimi nikalie mikeka hata kama miti ya kukata kutengeneza fanicha ipo?

Acha kutoka povu, itazame hoja ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…