Uhusiano uliopo kati ya wasukuma na wanyamwezi

Me huwa nauliza kwa nini mataifa ya maghalibi yanaitwa unyamwezini mfano tukimuona akon pamoja na kumtambua asili yake ni senegal ila tunamuita mnyamwezi nini chanzo haswa
 
Hakuna watu wavivu na roho mbaya kama Wanyamwezi, Msukuma ni mtu mchapakazi hodari na mkarimu sana..... Kwa muktadha huo sidhani kama kuna uhusiano wa moja kwa moja
 
Mkuu, naambiwa umemsahau chifu Kitambi wa Uyui.
 
Hizo za ukarimu ni RECORD za wapi wana Jamvi? Mimi nimekaa huko kwao karibia kote kwa muda mrefu zaidi ya miaka 13 nataka niwaambie Record ya ukarimu mnayosema ni uongo labda nanyi ni wasukuma lkn Wasukuma wanaroho nzuri wakiwa nje ya Ardhi yao yaani wakiwa ugenini lkn wakiwa kwao wanaroho mbaya na kimsingi hawafai kuigwa.
NB. Nimeishi mwanza kisesa,misungwi,bariadi maswa na Tabora Mjini ndiko niliko soma O level.
 
Kote huko ulikotaja sidhani kama ulikuwa unakutana na wasukuma wanaoongelewa kuwa wakarimu isipokuwa umekutana na wasumbwa, ntuzu people, wazinza, na wasumabhu. Kwa mgeni ataishia kumwita mnyamwezi au msumbwa ni msukuma hali si msukuma.
 
Wanyantuzu ni 0% kwa uaminifu na wao wanawakilisha kabila la wasukuma na maranyingi wanajiita wasukuma Original.
Hapa ndo mtu anatakiwa aelewe kabila la wasukuma ni kubwa kuliko mtu anavyoweza dhania na lina vijikabila vingi sana ndani yake ambavyo vina tabia za kwake tu tofauti na zile za wasukuma wanaopigiwa chapuo kila siku.
Kwa mfano ni hawa wanyantuzu huwezi wafananisha na wasukuma licha ya kupatikana kanda ile ile na hata kutokufautiana sana katika lugha (kisukuma). Wanyantuzi katika case ya mapenzi ni wafanyabiashara sawa na biashara zingine tu. Mnyantuzu akiona maisha yamempiga yuko ladhi kuhamia dakama (kusini kwa wanyamwezi/wadakama) na mkewe na akifika huko kila mmoja kivyake japokuwa mawasiliano ni kama kawaida. Ataishi huko huku mkewe akijilengesha kwa wanaume wamtongoze na hakatai, ole wako umtongoze atakubali fasta na kukukaribisha kwake ukalale. Ile unaingia tu na kuvua nguo zote mmewe anaibuka na watu wake wanakukamata ugoni na mke akihojiwa anakiri kulala na wewe hapo unagongwa faini ya nguvu ya ng'ombe lukuki. Ukishatoa tu ng'ombe jamaa anarudi kwao na mifugo "okwabha ushinhu".
Vile vile kwa asili ni wagawaji wazuri tu kama wahaya.
NB. Wasukuma original hawako kama wanyantuzu na wako poa sana katika mahusiano, ni wapole na wakarimu sijawahi ona katika nchi hii.
 
ASANTE MKUU NIMEKUPATA VEMA.
 
Ukitakaka kuelewa vizuri tafuta mdau akufundishe pande kuu za dunia yaani kaskazini (sukuma), mashariki (kiya), kusini ( dakama) na magharibi (ng'weli). Baada hapo ukasome ramani ya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora (zote kabla ya enzi za Kikwete) ukishaelewa fanya kama unakaa katikati ya kanda hii na litazame eneo lote kwa kutamka Sukuma (hawa ndo wasukuma), kiya (unapata wanakiya, wanyantuzu), dakama (wadakama/wanyamwezi), g'weli (bhanang'weli/wasumbwa lakini kwa hawa wasumbwa usisahau kwenda kuwasoma tena "nguni speaking people jinsi walivyotoka Afrika Kusini na kufika Tanzania na jinsi walivyogawanyika baada ya kufika Tanzania ili uelewe wasumbwa/bhanang'weli vizuri katika wilaya ya Bukombe au Kahama ya enzi zile)
NB. Haya makabila yanashea vingi sana katika mambo ya utamaduni na mila. In short they are like two families descending from the same man.
 
Wasukuma linatokana na SUKUMA au fukuza. Hawa walifukuzwa toka Tabora na kuanza kutafuta pahala pa kuishi na ndoo maana ni waharibifu wa mazingira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…