Uhusiano uliopo kati ya wasukuma na wanyamwezi

Acha kukariri stori za wanafiki wachache waliopotosha ukweli. Angalia hata uhusiano wa hizi jamii Bantu, Nubian na wasukuma; nani yukokaribu zaidi na wasukuma katika lugha za asili-mbantu au mnairoti?
We ndo umekariri nitakupa mfano mmoja Wahima/Ankole wanafuga ng'ombe wenye mapembe na Usukumani ndo wanapatikana kwa wingi. Kuna kitu kinaitwa "evolution" so usishangae. Tatizo tafiti nyingi zimefanywa na wazungu kabla ya baadhi ya makabila kujitambua kuandika historia zao wenyewe na hii bado changamoto kubwa.
 
Habari zenu wanajukwaa ninaomba kufahamishwa vizuri juu ya haya makabila makubwa mawili ya Tanzania wasukuma na wanyamwezi yanauhusiano gani kihistoria , nawasilisha .
Kama wamasai na waarusha, wabarbaig na wairaq, wachaga na wapare, warangi na wanyanturu nk nk
 
Nashauri kwa suala zima la LUGHA za Tanzania, soma ATLASI YA LUGHA ZA TANZANIA (2009), kilichochapishwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Ni matokeo ya utafiti uliofanywa na Wataalamu wa KITANZANIA!
 
Nashauri kwa suala zima la LUGHA za Tanzania, soma ATLASI YA LUGHA ZA TANZANIA (2009), kilichochapishwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Ni matokeo ya utafiti uliofanywa na Wataalamu wa KITANZANIA!
Elewa mtu anaposema kwamba "bado changamoto".
 
Elewa mtu anaposema kwamba "bado changamoto".
Nimekuelewa vema Ndugu yangu. Changamoto hiyo/hizo zinapatiwa ufumbuzi na Tafiti Mpya na zinazofanywa na wananchi wenyewe! Bado nashauri, tena kwa dhati kabisa, ISOME hii Atlasi ya Lugha za Tanzania.
 
Nimekuelewa vema Ndugu yangu. Changamoto hiyo/hizo zinapatiwa ufumbuzi na Tafiti Mpya na zinazofanywa na wananchi wenyewe! Bado nashauri, tena kwa dhati kabisa, ISOME hii Atlasi ya Lugha za Tanzania.
Funguka na kuwa muwazi tu
 
Yaani kwa ufupi ni kuwa, Mnyamwezi na Msukuma ni jamii moja tu. Tofauti ya ndimi inatokana na upande walipo. Mimi nilibahatika kukaa kwenye mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, nikagundua kuwa jamii zote hizi hazina tofauti
 
Wengi humu nimeona mnasema wasukuma wametokana na wanyamwezi.

Swali: Je ni kwa nini wasukuma wapo wengi kuliko wanyamezi.?
 
Wengi humu nimeona mnasema wasukuma wametokana na wanyamwezi.

Swali: Je ni kwa nini wasukuma wapo wengi kuliko wanyamezi.?
Mimi sikubaliani na hili la kusema wasukuma wametokana na wanyamwezi bila kujali wingi wa wasukuma au uchache wa wanyamwezi.
 
Yaani kwa ufupi ni kuwa, Mnyamwezi na Msukuma ni jamii moja tu. Tofauti ya ndimi inatokana na upande walipo. Mimi nilibahatika kukaa kwenye mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, nikagundua kuwa jamii zote hizi hazina tofauti
Sikukatalii lakini sisi tunajuana tena vizuri sana iwe kwa matamshi au tofauti ya baadhi ya maneno. Pia kama umepitia argument zangu humu nimelizungumzia sana hili la pande ambazo zinatugawanya: mashariki, kaskazini, magharibi na hata kusini kwa ndugu zetu (wanyamwezi).
 
Eeeh kaka wamilemoo. ...wangaluka iiigh bamishakola kaka..... nahenee kaka Ngosha.
 
Kwakweli tumetisha
 
Asante kwa kuwadadavua vizuri, nimedaka pointi hapo.
 
Mimi Msukuma Original ndiye baba yenu nyie Wanyamwezi!!

Duuh....

Fuata historia bana ote dugu moja bana.....
Sawa na mtu na binamu yake hawanyimani wala hawadhuriani maana ni nyama ya hamu looh.
 
Ni wale wale ila wanawake wa kinyamwezi kwa kuzungusha buno hadi utasema bhashi.
 
Mkuu ulikuwa kitengo gani hapo Bulyanhulu?
 
Nimeona watu wengi wameelezea wasukuma na wanyamwezi hapa na makabila yanayoambatana nayo.
Kuua mziki wa fitina wale wenzangu na mie eanyamwezi na binamu zetu wasukuma na viunga vyake tuanze kuongea kisukuma na kinyamwezi ili tuwahakikishie kuwa makabila haya makuu tunasikilizana au hata lugha zetu ni tofauti.

Haya mwendo kasi.... tuanze....

Wangaluka wosee, mlimhola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…