Uhusiano uliopo kati ya wasukuma na wanyamwezi

Nalimhola
 

Ng'wa bhabha.
 
Duuh....

Fuata historia bana ote dugu moja bana.....
Sawa na mtu na binamu yake hawanyimani wala hawadhuriani maana ni nyama ya hamu looh.
Nilikuwa natania binamu!!
 
Wangaluka mayu, mle vapanga?
 
Waangalukaa maayu
Kulugo mpolaa?
 
mwanambati unatafiti nini tena kwetu nyamwezi na sukumaa?
 
Wapanga (m'hala d'u)
Hadi hapa nilishajua wewe ni wa kusini yaani mdakama/mnyamwezi.

Yeah mie ndo dada yao na wale mashuhuri kwa kubeba mizigo mizito aka wanyamwezi..... na utamu huwa unanoga pale mbeba mizigo anapokuwa amemix na kabila lingine...... Acha tuu waweza sahau kwenu 😛😛

Nahenee nahenee.

Kasinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…