Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #41
Mpare OG kwenye moja na mbili π πMm nikikupata, sio kulamba tuu nyapu hadi kikwapa ntalamba π
C ndio πMpare OG kwenye moja na mbili π π
Kwamba huchagui pa kulamba πC ndio π
Tena mimi nikisikia hiyo harufu ya jasho nakerekwa, sipendi mtu asiyejali mwili wakeMimi pia sipendi mtu mchafu, ajipende asinuke nuke, aoge vizuri, apunguze nywele za sehemu zote, ila akiwa ananikula jasho likamtoka, na kale kaharufu kwa mbali, kwangu poa tu!
Haaa haaa, sasa hapa Bongo si unapata tabu sana πTena mimi nikisikia hiyo harufu ya jasho nakerekwa, sipendi mtu asiyejali mwili wake
Wala sipati tabu maana nikisikia hiyo harufu nakimbia vibaya mno, alafu mbona siwezi kureact kicheko πHaaa haaa, sasa hapa Bongo si unapata tabu sana π
Siyo kwamba unamsaidia mwenzako, umfundishe kutotoa harufu π πWala sipati tabu maana nikisikia hiyo harufu nakimbia vibaya mno,
Bado wanafanya maboresho, hizo icon zitarudiHalafu mbona siwezi kureact kicheko π
Bora mtu anayenuka jasho kuliko anaye nuka masikioWala sipati tabu maana nikisikia hiyo harufu nakimbia vibaya mno, alafu mbona siwezi kureact kicheko π
Hili lina ukweli π― au pia kwa wale wa muda mrefu, wanazoeana tu!Huwezi kuipenda harufu ya mtu hadi umpende kwanza , ukiona unaipenda harufu yake ujue mapenzi yameshakuzidia
Masikio yananukaje tena π ? Sijaelewa!Bora mtu anayenuka jasho kuliko anaye nuka masikio
Kwann lkn umemuita da mkubwa leo dada atajua mdg ake nimeanza michezo mibaya yakupulia masikion mwa watuππMasikio yananukaje tena π ?
Funguka dada, mbona kama unayemezea moyoni π πππ
Perfume zenye harufu mbaya (zinazonuka) mbona zipo kitambo? Au huko Tz hazipatikani?Mimi si wa mambo ya kyagata , ila ni kweli, kuna wanawake wengi humu duniani wanapenda harufu asilia bila kujali wanatoka nchi gani- kwa asilimia nyingi kwa kweli na nimekutana nao wengi.
Nimekutananao wengi wenye kupenda harufu asilia- ngozi yetu, nyeupe, asia, waarabu na kila aina.
Mfano mdogo, wakiwa wajawazito, wengine huwa wana crave harufu ya choo... wengine harufu ya maembe, wengine ubuyu. Wengine wanapenda kupelekewa A to M. siku moja ipo siku watatengezewa perfum ya kunuka mavi na wataipaka tu kama design yao... samahani kama umechefukwa, sio kusudi langu ila hayo ndiyo nimeyaona mpaka sasa katika maisha haya.
Oddo acha tu yule mkaka alikua ananuka masikio balaaNdiyo, nyoosha maelezo πππ
Unaye wakukunusa ki harufu au ww hua unajinusa mwenyewπWhat the hell are you talking about aunt π₯Ά