Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ahaaha amna kuna zile thraed zipoUnataka kutaniana na mubebe hum?
Mbona hata hum kwenye Uzi hizo comments zipo, sema kucheka ndio hairuhusiwiAhaaha amna kuna zile thraed zipo
Hot una soma comment una cheka tu
😂😂 mm napenda uzi nianze nao mwanzo tuMbona hata hum kwenye Uzi hizo comments zipo, sema kucheka ndio hairuhusiwi
Na mwanaume kwann uishi peke ako kwan ww umekua upanga😂😂Ila ukiwa unaishi mwenyewe huwazi
Wanawake mnasumbua bhna vichefuchefuNa mwanaume kwann uishi peke ako kwan ww umekua upanga😂😂
Mimi VVIP 🤣 🤣Mbona wewe unareact🥲
Pole na majukumu jamani!Binti wa zamani kumbe ulinitag mama watoto Uzi ndio nimekuona sasa hv... Nimekuja
Watu wanaonuka midomo wanakera sana!Bora huyo anayenuka masikio kuliko anayenuka mdomo na hajijui
😂😂 mm napenda uzi nianze nao mwanzo tu
Asante kipenzi, nimekuja... Haya niambiePole na majukumu jamani!
Sijawahi kukutana na mtu wa namna hiyo, yani masikio yananuka kwa sababu mtu hasafishi au ni harufu yake tu ndiyo alivyo?Kunuka kwa masikio na kinywa ni ugonjwa kuna baadhi wanajijua kama wao wananuka na wengine hua hawajijui kabisa mpk uwaambie
Hizo harufu ndo huleta changamoto kwa mtu wako wa karibu rafiki/mpenzi aisee bora unuke kwapa utapakaa deodorant au perfyum lkn sio masikio na kinywa
Baba Antipas kwenye moja na mbili 🤣Eeh Radha naijua, ni Kali sana hasa ukisokomeza ncha ya ulimi kunako
Sina mpya, nimejichokea tu!Asante kipenzi, nimekuja... Haya niambie
Yamekua hayo tena 🤣Wanawake mnasumbua bhna vichefuchefu
Ee mama antipas, nakuwakilisha vilivyoBaba Antipas kwenye moja na mbili 🤣
NdioYamekua hayo tena 🤣
Hahaah huyu ni lastborn wetu, mvumilieYamekua hayo tena 🤣
Wamekufanya nini?Ndio
SiwapemdWamekufanya nini?
Nakuona tu unavyomwaga siri zangu hadharani!Ee mama antipas, nakuwakilisha vilivyo
Pole sana, Utapata tu mwingine atakupagawisha utasahau!Siwapemd