Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #161
Wengi huwa hawajijui, harufu ya mdomo huwa inakata sana!Tena sana na unakuta wanapenda kuongea sana hapo ndo balaa sasa
Tokea 2011 🤣🤣😅😅😅tokea lini
Hiyo siri yangu 😅au na wewe moderator
Tuzingatie: kwa umpendae 😅Hahahah!!!! Watu na viharufu vyao,,, viharufu vina leta hamasa sana kwa u mpendae .
Good morning.
Ukipenda boga penda na ua lake.Tuzingatie: kwa umpendae 😅
Morning na siku njema!
💯Ukipenda boga penda na ua lake.
Love is the feeling that you feel when you felt the feeling that you never felt before.💯
Swali la muhimu hapo ni je unapendwa 😅?
So you believe we fall in love only once?Love is the feeling that you feel when you felt the feeling that you never felt before.
Akuuuuu! Usinisingizie🤣🤣🤣Asikudanganye, fantasies zangu zote najaribia kwake, sina mwingine na yeye anajua🤣🤣🤣
Yes i do,So you believe we fall in love only once?
Na kimsingi huwezi kula kipapa huku ngozi inanukia mafuta na marashi, mtoto anayetoka bafuni straight ndio mtam🤣🤣🤣Kuna kaharufu fulan cha ngozi safi na papuu mfano alieoga bila kupaka mafuta na sabuni isiyo na harufu,kaharufu ka utamu
Mmmhh🐽
Naunga mkono hoja 😎😎😎Na kimsingi huwezi kula kipapa huku ngozi inanukia mafuta na marashi, mtoto anayetoka bafuni straight ndio mtam🤣🤣🤣
Heeee! Nakuogopa sasa😅😅Tokea 2011 🤣🤣
Hongera mama Antipas😅😅
Hiyo siri yangu 😅