Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Jibu ni moja tu PIGA CHINI
Kila siku tunasema tumia akili kwa mwanamke usitumie hisia
 
Kashakuona we ni mnyonge kwake

Piga kimya tafuta hela uheshimike ndugu.
 
Nashukuru mno dadangu
 
Bro,Pole sana mpaka hapo mlipofikia tambua ya kuwa wewe ndo unampenda yeye hafikirii sana kuhusu wew

Ni dhaahir kwamba Moyo wake haupo tenaa kwako sasa Chagua kumng'ang'ania akakutesa mbeleni au achana nae utafute mwanamke mwingine

Kuwa mtulivu Kwanza siku hizi wanawake wapo wengi kuliko wanaume utapata mwingine in shaa Allah mwenye mapenzi ya dhati kwako
 
Pole ndugu muandishi sasa ni muda wakujikita katika utafutaji hela.
Ndo nilichokiona

Jana kagombana na mwanamke ambae alihisi nimehamishia majeshi
Anamtupia lawama kuwa amemchukulia bwana ake

Anawaambia rafiki zangu Mimi ni Malaya hivo Mimi na yeye Basi
Na hataki ushauri wowote
Nimeenda kwake usiku kaniona kaanza kunicheka eti alishaniambia siwezi kumuacha ila najikaza tu.
 
Hakuwahi kupata mimba wamepanga na rafiki yake ili usimgande kama kipele. Umechokwa. Mwambie huna maana halafu kata mawasiliano.
 
Nimeipenda hasa hapo pekundu ndiyo ukweli unaouma vijana
 
Uyo kapat wa kummudu bro. Ishi nae kwa akili
 
Ushauri wa huyu dada umesuuza moyo wangu
Angalia luckyline ameingia lini JF! Huyo ni mkongwe na anajua maisha. Enzi zangu, nilikuwa na GF nikamfuma tu yupo chobiso na njemba. Nikamuuliza akajibu mbofu mbofu, nikamweleza kuwa hapa ndiyo mwisho ila nitakuchapa kiboko na alama yake itakuwa nawe hadi unaingia kaburini, akacheka nikaondoka.
 
[emoji3][emoji3] kwamba mbofu mbofu

Huyu member anaushauri mzuri sana
 
Fala ww, mwanamke kama huyo ni kuachananae tu kula 50 zako..
Nimekuita FALA kwa kuwa nimepatwa na uchungu sana Kama mwanamume mwenzangu au kijna mwenzangu. Unakuwaje mtu unashindwa kujielewa..!!! huyo Demu ni dhahiri kuwa hakuhitaji ndo maana hana hofu yoyote na ww, kuendelea kulazimisha kubaki kwake ni kujichimbia Kaburi.. Move On Fala wewe kwani amekuwa mama ako huyo..?
 
Duh
 
Mtu anakuambia ni kweli nilicheat.

Ni kweli nilipata mimba.

Ni kweli nilitoa.

Na taarifa umeipata kwa mtu wa kando.

Usingeipata je?

Na anasema yupo tayari kwa lolote.

Na bado hauna nguvu ya kumove on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…