Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Hana uhakika na wewe kama wewe usivyo na uhakika na umri wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni moja tu PIGA CHINIHabari
Ni kijana 25-27 years
Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.
Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.
Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.
Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.
Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.
Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.
Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.
Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?
Asanteni.
Kashakuona we ni mnyonge kwakeSiku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
Nashukuru mno dadanguNikikwambia ukweli utasema dada yako nakudanganya.
Sisi tuliojilipia ada shule kwa kukosa mikopo ndo tulitoka salama chuo hao watoto wa loan board uwasamehe boom likiisha wana njaa sana.
Nakumbuka kila mtu alikuwa akijiuliza mpz wangu ni nani mpaka nilimaliza bila kuwa na mahusiano chuo hiyo yote nilikuwa busy na biashara hata kuliko masomo so vijipesa vya kula sikuvikosa.
Sasa wewe mdogo wangu kwa umri huo kweli unaweza muhudumia msichana wa chuo na walivyo na tamaa?
Huyo kapata bwana wa mitaani na vigari vyako kama baby Walker ndo anamuweka mjini.
Wewe mdogo wangu upo unapambana ujenge kama sio kununua kiwanja. Mwenzio anahitaji wa kumpeleka shopping
Dear mdogo wangu achana na wasichana wa chuo.date msichana ambae ashatoka chuo, hao wengi wanataka ndoa na sio starehe.
Ukimsamehe huyo dada mkarudiana utakuja kulia sana.unajisikiaje eti mtoto mdogo hivyo ashatoa mimba?
Tafuta kwanza pesa wanawake wako wengi
Na usinambie kuwa pesa unayo, kwa umri wako bado unatafuta una vishiling vya kula na kuendesha maisha yako ila sio vya kumpa mwanamke.
Hata kama unatokea familiya tajiri hivyo vi pesa unatoa kwenu.
Ukifikisha miaka 30 anza kutafuta mke wa ndoa kwa sasa play safe. Tafuta pesa usisahau kutumia condom utabambikiziwa mtoto.
Bro,Pole sana mpaka hapo mlipofikia tambua ya kuwa wewe ndo unampenda yeye hafikirii sana kuhusu wewHabari
Ni kijana 25-27 years
Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.
Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.
Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.
Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.
Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.
Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.
Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.
Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?
Asanteni.
Ndo nilichokionaPole ndugu muandishi sasa ni muda wakujikita katika utafutaji hela.
Nimeipenda hasa hapo pekundu ndiyo ukweli unaouma vijanaNikikwambia ukweli utasema dada yako nakudanganya.
Sisi tuliojilipia ada shule kwa kukosa mikopo ndo tulitoka salama chuo hao watoto wa loan board uwasamehe boom likiisha wana njaa sana.
Nakumbuka kila mtu alikuwa akijiuliza mpz wangu ni nani mpaka nilimaliza bila kuwa na mahusiano chuo hiyo yote nilikuwa busy na biashara hata kuliko masomo so vijipesa vya kula sikuvikosa.
Sasa wewe mdogo wangu kwa umri huo kweli unaweza muhudumia msichana wa chuo na walivyo na tamaa?
Huyo kapata bwana wa mitaani na vigari vyako kama baby Walker ndo anamuweka mjini.
Wewe mdogo wangu upo unapambana ujenge kama sio kununua kiwanja. Mwenzio anahitaji wa kumpeleka shopping
Dear mdogo wangu achana na wasichana wa chuo.date msichana ambae ashatoka chuo, hao wengi wanataka ndoa na sio starehe.
Ukimsamehe huyo dada mkarudiana utakuja kulia sana.unajisikiaje eti mtoto mdogo hivyo ashatoa mimba?
Tafuta kwanza pesa wanawake wako wengi
Na usinambie kuwa pesa unayo, kwa umri wako bado unatafuta una vishiling vya kula na kuendesha maisha yako ila sio vya kumpa mwanamke.
Hata kama unatokea familiya tajiri hivyo vi pesa unatoa kwenu.
Ukifikisha miaka 30 anza kutafuta mke wa ndoa kwa sasa play safe. Tafuta pesa usisahau kutumia condom utabambikiziwa mtoto.
Ushauri wa huyu dada umesuuza moyo wanguNimeipenda hasa hapo pekundu ndiyo ukweli unaouma vijana
Angalia luckyline ameingia lini JF! Huyo ni mkongwe na anajua maisha. Enzi zangu, nilikuwa na GF nikamfuma tu yupo chobiso na njemba. Nikamuuliza akajibu mbofu mbofu, nikamweleza kuwa hapa ndiyo mwisho ila nitakuchapa kiboko na alama yake itakuwa nawe hadi unaingia kaburini, akacheka nikaondoka.Ushauri wa huyu dada umesuuza moyo wangu
[emoji3][emoji3] huko hapana mkubwaUmeshaachika,tafuta sabuni ndy iwe mpnz wako wa muda!
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3] kwamba mbofu mbofuAngalia luckyline ameingia lini JF! Huyo ni mkongwe na anajua maisha. Enzi zangu, nilikuwa na GF nikamfuma tu yupo chobiso na njemba. Nikamuuliza akajibu mbofu mbofu, nikamweleza kuwa hapa ndiyo mwisho ila nitakuchapa kiboko na alama yake itakuwa nawe hadi unaingia kaburini, akacheka nikaondoka.
DuhFala ww, mwanamke kama huyo ni kuachananae tu kula 50 zako..
Nimekuita FALA kwa kuwa nimepatwa na uchungu sana Kama mwanamume mwenzangu au kijna mwenzangu. Unakuwaje mtu unashindwa kujielewa..!!! huyo Demu ni dhahiri kuwa hakuhitaji ndo maana hana hofu yoyote na ww, kuendelea kulazimisha kubaki kwake ni kujichimbia Kaburi.. Move On Fala wewe kwani amekuwa mama ako huyo..?
Mtongoze rafiki yake aliokupa umbeya awe demu wakoNifanyeje??
Mtu anakuambia ni kweli nilicheat.Fala ww, mwanamke kama huyo ni kuachananae tu kula 50 zako..