Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Kosa lako ni umemwonyesha kuwa hauwez kuishi bila yeye,poyee
 
Rafiki yake aliyekuletea hiyo taarifa ya yeye kushika ujauzito na kuutoa ndio umpambanie sasa hivi ikiwezekana pachika mimba haraka sana na kisha kajitambulishe kwao.

Wewe bado ni kijana mdogo sana kulialia kisa mapenzi, ukimrudia nakuhakikishia vyombo utaosha na utapika vilevile kuwa MWANAMME aise.
 
Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
Kwamba kakuroga au? acha udwanzi
 
Duh. Visa vingine asee vina ufala wenye masters. Sasa hapo unasubiri nn
 
Sijawahi kupenda haisee..huwa siwaamini kabisa wanawake kwa sababu muda wote huwa nahisi naweza kupigwa tukio...na wao pia huwa wananiita tapeli wa mapenzi.....
 
Nyuzi za kusalitiana huu mwezi zimekua nyingi sana !!
Sio kusalitiana tu hata kurudisha majeshi pia. Kwa sasa Dar mvua zinanyesha wale wagumu tumeshindwa kuvumilia na waliokuwa wabishi wametufanyia wepesi. Alafu msimu wa sikukuu kila mwanamke anatafuta pa kujishikiza. Nina appointment tano mwezi huu nataka nifute mbili nibaki na tatu, hizo mbili nitazitafuta January
IMG_20211208_181408.jpg
 
Nitajie wapi alifanyia field yake
Achana na huyo jamaa anakuzingua. Mbona field kila demu hutongozwa na kuja na namba mpya kibao, alafu likizo mademu hubeba mimba kwahiyo sio yeye tu aliyekuwa nayo.

Nami nikupe mwingine. Yuko UDOM, field kafanyia Dar, mwaka wa tatu, katoa mimba, ana mpenzi wake rasmi naamini umri ni kama 25-27 kwa picha nilizoona
 
Kweli wanaume siku hizi wanapungua kwa kasi kubwa. Ndio swala la kuleta hapa jepesi sana hili?.
1. Mmmedumu ktk mapenzi muda mfupi sana mwaka mmoja.

Pili mwanamke kakuambia live ulichokisikia ndicho hicho amua uonavyo (bado unasubiri neno sikutaki?, Mianaume gani mabwege nyie mnatutia aibu wanaume wenzanu? ).

Tatu kwenye kikao cha wanaume tulikubariana kabisa usithubutu kuwekeza moyo wako kwa mwanamke wa chuo. Bado hamsikii
 
Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
Daaah na wewe umekubali huwezi kumuacha?
nakuonea huruma chaliangu
 
Shika hamsini zako ndugu yangu,move on...kwa umri huo uliokuwa nao achana nae...
 
Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.


Piga chini hiyo taktaka wacha umama
 
At that age nakuelewa unavyojisikia. Ni umri ambao mapenzi huumiza zaidi ya kidonda. Hata ukiwasimulia watu na wakakupa ushauri unaona ni upuuzi maana hawahisi maumivu unayohisi wewe

Kama kweli unapenda kuambiwa ukweli na kama kweli upo tayari kuishi na consequences za ukweli wenyewe, huyo mwanamke hakufai achana nae. Angekua na hisia na mpango na wewe angejaribu kulipigania penzi lako kwake angalau kwa kukupoza kwa uongo kua hajawahi kukusaliti. Pole sana dogo.

Wewe sio wa mwanzo wala hautakua wa mwisho katika vijana wanaoumizwa hisia zao kiukatili kabisa na wenzi wao wasiojali. Pengine hutaelewa na hutakubaliana na ushauri mwingi utakaopewa humu lakini umri ukienda utaelewa kua mapenzi na ujana ni maji ya moto
At the age ametaja hamna huo upuuzi.. vijanawenzake wote wa umri huo ni watu wanaoweza move anytime t .. huyu atakua 24-25.

Ndio mawazo huwa akioa mambo yatatulia.

Lakini nimshauri. Naamini anapitia magumu sana.

Mwanamke kupewa mimba ni jambo la kawaida na kutoa pia ni jambo la kawaida.

Maamuzi ni yake.
Anaweza muacha huyo na bado akaenda kumpata aliyetoa mimba zaidi au cheater zaidi.

Kama anaona wanaendana,kama huyo binti hana jeuri kama mimi ninayohisi muda huu.. waendelee.. na waambizane ukweli.

Mabinti wanarubuniwa sana kipindi cha field.. na kipindi wanamaliza vyuo.

Sasa amemaliza anarudi mtaani. Waelekezane.. maisha yaendelee au amuache akachukue ka mwanafunzi kachuo kamfubaishe tena.
 
Pole jamaa Ila naelewa situation unayopitia ,na maumivu makali.

Acha nikwambie ukweli na kubaliana nao, ukiona mwanamke anaongea na wewe kwa kujiamin Sana bila waswas jua hapo huna chako Zaid kuna mwamba kakuzid kete either kimapenz au kifeza ,Mara nyingi Hawa viumbe Ni watu wa ajabu Sana na wakikuchoka wanachoka kweli kweli .

Kuendelea kumfuatilia Ni kujitafutia pressure za bure tu.

Huyo kwasasa anakuona kawaida Sana ,maana mwanamke anayekupenda hata kupokea cm ya mtu mwingine hata angekua rafik lazima aogope au kuweka hii loud ili kukuaminisha kuwa Hana hizo mbishe na hili atalifanya bila kumshurutisha Wala kumwambia chochote Zaid atajikosha yeye km yeye.

Mwanamke anayekuambia ulichosikia ndio ukweli wenyewe kimbia mita 100 , najua unampenda Sana Lakin kubali kuwa mjinga mtumwa wa maumivu ndani ya mwezi mmoja .

Usipige cm ,Wala kutuma sms ,Wala kujibu sms yake yoyote ile hata iwe ya msamaha ,unajua kwann nakwambia Ivo hii itampa maumivu yeye kuona upo cool na huna time nae Ila kumbe unaumia vibaya Sana.

Niamin mm huyo mwanamke atakutafuta tu kwa magoti na akija usionyeshe udhaifu kwake mkazie kazie baadae unajifanya unarud kishongo upande ,haki lazima atakuheshimu balaaa.

Ukimkazia asipokutafuta Basi jua Kuna mdau kakuzid kete pakubwa sna so itabid ukubaliane na matokeo songa mbele .

Mimi Nina kanuni yangu moja mwanamke akileta ujuaji ninachofanya Ni kuwala marafik zake wa karibu yaan ntafanya kila njia ili niwale kuepusha dharau ,na hakuna kitu kinamuuma mwanamke km ukimla rafiki ake ,lazima tu atakutafuta na kukupa lawama zote alafu usimjibu chochote .

Note:kupendana na demu wa chuo Ni kujitafutia magonjwa ya pressure bure ,demu real mpate akiwa kitaa ashamaliza chuo na amekaa kitaa hata mwaka ashajua nn maana ya maisha , huko chuo wengi wanakua na Ile Hali ya kujiona bado mabinti wabichi ,na wanapigwa bumbu Sana sabab ya njaa zao na maisha ya kuigiza.

Kama umepita chuo nadhan utakua unanielewa ninachokuambia hapa ,

Achana na huyo manzi kubali kubeba maumivu Kuna muda utakua free Sana pia utajicheka Sana kwa kumlilia demu wa dizain hiyo ,wanawake wamejaa kila Kona tafuta wa kupoza machungu huku ukiendelea kumsahau .

Futa picha zake ,futa no zake ,block fb ,ig ,wasap ,kila Kona alafu songa mbele ,Kama anakupenda ipo cku atakutafuta kwa gharama yoyote ile Sasa ndio itakua zamu yake kulia.
 
Back
Top Bottom