Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Ndio ukome kuwa na kihere here cha kujifanya unajua kupenda,ngoja uone moto hadi akili zikikukaa sawa .
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Kuna kitu kwako kimesababisha yeye kuwa hivyo, kwa usalama wako achana nae. Kabla hayajawa makubwa.

Ni wazi hakuna mapenzi hapo je ni kitu gani kinafanya utake kuendelea naye?
 
Unaweza ukaanza tafuta mwingine huku ukianza kujiondoa kwake taratibu( tatizo akishahisi unamuacha ataanza kukupenda)

HUWEZI KUKIPENDA AMBACHO HUWEZI KUKIPOTEZA
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Kwa umri wako ni sahihi kabisa kuuliza haya maswali, maana yanaendana na umri!

Nami ninakujibu kwa njia ya swali.

Hivi rafiki yako aliyekukosea na kukaa kimya, bila kuja kwako kukiri kosa lake, kisha ukamuendea kumuuliza issue hiyo kiroho safi na kutaka jambo hilo liishe ili urafiki wenu uendelee.

kisha jamaa huyo akakujibu: " ndiyo nilifanya, fanya lolote unaloona linafaa".

Je utaendeleza urafiki na huyo mtu au utasitisha?

Jibu utakalolipata kwa swali langu hili, litumie kama jibu la hoja yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki utaisha
 
Unaweza ukaanza tafuta mwingine huku ukianza kujiondoa kwake taratibu( tatizo akishahisi unamuacha ataanza kukupenda)

HUWEZI KUKIPENDA AMBACHO HUWEZI KUKIPOTEZA
Mwanamke mwingine yupo ninae
Muda huu Niko nae
Tatizo niliwekeza moyo huko kwingine.
 
Utaweza ndoa kwel wee uchumba tu unashilikisha jf ndoa c utabandka matangazo nch nzma...jisimamie mwanaume
 
The best way out of this is to move on cause that won't be the end of the world for you to keep on hanging.
 
Unapendaje Mwanamke kwa moyo wako wote? Pole kwa hali unayoipitia, achana na huyo mwanamke, atakuletea matatizo siku si nyingi, Siku nyingine haijalishi uko na mahusiano Serious kiasi gani Jifunze kuwa na Michepuko hata miwili itakusaidia sana ku handle situation unayoipitia. BTW Kama uko Dar karibu juliana nikupatie ushauri zaidi.
 
Asante mkuu
 
Kama unahitaji matatizo zaidi basi endelea kujifanya huoni ishara!
Usisubiri kuambiwa umeachwa.
 
Kuja mpk hapa kuuliza tu ni kutojiamini.

Lot of ladies are waiting out. Kwani ni mzazi wako?

Move on young man!
 
Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
Ndugu yangu,huyu mwanamke HAKUFAI,kwanza sio mwaminifu,pili haonyeshi hata kujutia hiko kitendo,hali inayoonesha pengine sio mara yake ya kwanza kucheat au kutoa mimba.Ameshajua unampenda sana na anakufanyia makusudi akijua huwezi kumuacha.Cha kufanya ACHANA NAE mara moja...itakuwa ngumu mwanzoni lakini utazoea,kinachokusumbua zaidi n mazoea,utamsahau tu muda ukifika...Ukiachana na huyo kuna wanawake wote dunia nzima wa wewe kuchagua wa kuwa nae.Naomba muache in style kama utaweza....KATA MAWASILIANO NAYE, don't say anything...mkianza kuongea atakuumiza zaidi sababu wewe ndio umpendae YEYE HANA HISIA NA WEWE.
 
Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Nikikwambia ukweli utasema dada yako nakudanganya.

Sisi tuliojilipia ada shule kwa kukosa mikopo ndo tulitoka salama chuo hao watoto wa loan board uwasamehe boom likiisha wana njaa sana.

Nakumbuka kila mtu alikuwa akijiuliza mpz wangu ni nani mpaka nilimaliza bila kuwa na mahusiano chuo hiyo yote nilikuwa busy na biashara hata kuliko masomo so vijipesa vya kula sikuvikosa.

Sasa wewe mdogo wangu kwa umri huo kweli unaweza muhudumia msichana wa chuo na walivyo na tamaa?

Huyo kapata bwana wa mitaani na vigari vyako kama baby Walker ndo anamuweka mjini.

Wewe mdogo wangu upo unapambana ujenge kama sio kununua kiwanja. Mwenzio anahitaji wa kumpeleka shopping

Dear mdogo wangu achana na wasichana wa chuo.date msichana ambae ashatoka chuo, hao wengi wanataka ndoa na sio starehe.

Ukimsamehe huyo dada mkarudiana utakuja kulia sana.unajisikiaje eti mtoto mdogo hivyo ashatoa mimba?

Tafuta kwanza pesa wanawake wako wengi
Na usinambie kuwa pesa unayo, kwa umri wako bado unatafuta una vishiling vya kula na kuendesha maisha yako ila sio vya kumpa mwanamke.

Hata kama unatokea familiya tajiri hivyo vi pesa unatoa kwenu.

Ukifikisha miaka 30 anza kutafuta mke wa ndoa kwa sasa play safe. Tafuta pesa usisahau kutumia condom utabambikiziwa mtoto.
 
Back
Top Bottom