Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

Huku ni kukosa hoja na kubaki mnawashwawashwa kuleta umbea? Anga la Rwanda lipo wazi? Mbona hukuhoji, Kenya au Uganda?
 
wait, magufuri alishauliwa na ka kagame anunue hizi ndege?
 
Kagame anaweza akawa haji Tanzania au ukamuona haisadii Tanzania, ila ninachojua kwa Maendeleo haya ya Tanzania ya sasa anahusika mno tu.
Mh.! Kagame aisaidie Tanzania maendeleo? Hebu tufafanulie angalao tukuelewe kidogo
 
Kama hujui ndio ujue kuanzia leo na wewe kama unatabia hiyo uache...
Kwenda kwenda kwa jirani ni kupeleka uchuro sometimes tumasalamu au mwakilishi.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mojawapo. Ukiwa na 'Kiherehere' lazima 'utaondoka' tu. Haiwezekani 'Mchafuzi' Mmoja ukaachwa kwa Maslahi ya Wazalendo wengi. Utaondoka tu!
Je kumshitaki mahakamani mtu mwenye kiherehere haiwezekani?
 
Watz wanasahau sana!jiulize kwani kagame alikuja kumzika Dr.Omary Ali Juma?Alikamilisha mission akiwa mbali!Je kwenye hii mlidhanije???Ni watoto pekee wanaoamini LodiLofa died natural Death!!
 
Kagame anapenda marafiki wenye akili kubwa kama akina Jen Kaguta Mseven walipata nchi kwa jasho na damu. Sio hizi za kupewa kwa kijiko mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…