Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

Nenda kamuulize.
 
Kagame is a smart guy,hawezi kufanya urafiki na mbumbumbu.Baada ya kugundua kumbe Tanzania hamna lolote ni kichwa tu cha mwendawazimu ameamua kuingia zake mitini.
Hukijui unachoongea....ushangae hata uraia huna afu unapwayuka tu Kama mhamiaj haramu
 

Watu wanaogopa kusafiri kwasababu ya Corona. Rwanda ni moja ya nchi za kwanza kabisa katika Afrika kuanzisha lockdown.
 
Mojawapo. Ukiwa na 'Kiherehere' lazima 'utaondoka' tu. Haiwezekani 'Mchafuzi' Mmoja ukaachwa kwa Maslahi ya Wazalendo wengi. Utaondoka tu!
Uchawi wa kurithi hauwezi kukuacha salama. Utaendelea kukunyima usingizi na kukutesa zaidi we mwenyewe.
 
Siasa za maziwa makuu huwezi wakumbatia warithi wa Nkuruzinza ukawa rafiki wa kagame at the samatime
 
Uchawi wa kurithi hauwezi kukuacha salama. Utaendelea kukunyima usingizi na kukutesa zaidi we mwenyewe.
Aaaah! mkuu uchawi upo? mbona mama watoto kashindwa niroga, na huyu wa pili yupo yupo tu, sijui nimuache??? nataka rogwa mie nione......nasikiaga tu
 
Pengine Mafuguli kapendekeza muungano kama wa Zanzibar, Kagame akaona bora yaishe 😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…