Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

Watamkumbuka Magufuli!
 
Based on data or not, they are just now doing what we have been doing all along, more over, hakuna ushahidi wa Tz kuathirika zaidi yao pamoja na kutofanya hayo waliyofanya, tujiheshimu kwa mafanikio yetu, kabla ya kutegemea wengine watuheshimu.
 
Based on data or not, they are just now doing what we have been doing all along, more over, hakuna ushahidi wa Tz kuathirika zaidi yao pamoja na kutofanya hayo waliyofanya, tujiheshimu kwa mafanikio yetu, kabla ya kutegemea wengine watuheshimu.
Kila nchi imechukua na inachukua hatua inayoona zinafaa kwa kadri ya mazingira yake na utashi pia wa viongozi wake..!
Tuangalie zaidi nchi yetu na tuiombee juu ya hili, kuliko kujilinganisha na nchi zingine au kuzibeza nchi zingine.
Hakuna viongozi wa nchi wanaopenda wananchi wao wafe kama kuku.
Kwa hiyo tusione kama vile Uingereza labda wamekosea sanaaa...!! Na wao wamechukua hatua kwa kadri ya mazingira yao na utashi wao. Na pia issue ya Corona ni dynamic sana.... Hali inaweza kuonekana shwari, ila ndani ya wiki 2-3 ikabadilika kabisa ikawa tete.
Hata maamuzi ya nchi pia sio constant, yanabadilika pia kulingana na uhitaji na mazingira ya nchi husika.. Mfano mzuri Madgascar ambao msimamo wa viongozi wao mwanzoni ilikua kutopokea chanjo za COVID, last week nimeona wamebadilisha uamuzi na kuamua kuagiza chanjo za COVID.
 
Kwahiyo unatakaje sasa, tuwaonee huruma? Wao walivyotabiri tutakufa kama kuku wenye mdondo na kuokota mizoga barabarani walikuwa wanamaanisha nini?
Hoja hapa ni simple, kwamba Rais wetu aliona mbali, tujikubali kwa hilo basi, hayo mengine hata sijui unalenga nini, kwamba tuache kufurahia approach yetu kuemerge victorious?!
 
Yani mpaka leo huu ugonjwa haueleweki hasa shida Nini Ila kuna upepo mubaya ulipita kuanzia January had mwezi wa pili watu walikufa mfululizo I think hyo ilikuwa peak ya huo ugonjwa.
Na huko ulaya inabidi tu wauzoee Ila covid kwa Africa haijaleta madhara ni mafua tu ka mafua mengine kwanini tuhangaike na michanjo na tunaona nchi nyingi zikisitisha matumizi yake had watu kufa.
Halafu hao Kenya Wana complicate Mambo ka UK wanakubaliana na kutoa lockdown wameshakubali hyo hali
 
And the economy? And in the end, its the right approach, isn’t it?


One is judged by his intention and not by outcomes of the intention.

You care for your people by providing them with necessary gears preventing them from a disease, that's a good intention whether, in the course, you don't get good results but you will be judged by your good intention, on contrary you will be judged as a reckless person risking lives of your people and that is what Magu did, and to whatever outcomes I judge him as a man with bad intention for our lives.

Dispite the fact, I will always pray for him.
RIP Magu.
 
Naomba discussion yetu iishie hapa mkuu na nikutakie usiku mwema popote ulipo.
Shukrani sana kwako na ubarikiwe.
 
Wazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.

Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.

Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.

Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.

Maendeleo hayana vyama!
 

Wakati mwingine tuache kujibambikia sifa za kijinga.Kwa taarifa yako Sweden,Philippines,Singapore,Nicaragua na South Korea hawakuwa na lockdown.Pia yapo baadhi ya majimbo huko USA hayakuwa na lockdown eg South Dacota,North Dacota and Wyoming.

Sehemu zote hizo wazungu hawakuziona isipokuwa Tanzania ya Magufuli.
 
Kwa bahati mbaya Joni imemwondoa corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…