MATAGA kazi mnayoWazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!
Corona daima uanza na wanao ibezaKwa bahati mbaya Joni imemwondoa corona
Wamesahau kuwa kila masika na mbu wakeJamani mamlaka ya uteuzi iliyokuwa inabarikiwa na haya mapambio na sifa unazotune huku imeshakuwa zilipendwa jaribuni kwenda na nyakati, zama zinabadilika Njoo na njia nyingine
Wachana na hizo ndoto za uhuru na mzalendo kupitia kwa huyu MATAGAWakati mwingine tuache kujibambikia sifa za kijinga.Kwa taarifa yako Sweden,Philippines,Singapore,Nicaragua na South Korea hawakuwa na lockdown.Pia yapo baadhi ya majimbo huko USA hayakuwa na lockdown eg South Dacota,North Dacota and Wyoming.
Sehemu zote hizo wazungu hawakuziona isipokuwa Tanzania ya Magufuli.
Mim mkuuHapo unamkumbuka nani au shujaa kwa dunia alipaswa awe nani mkuu?
Labda wazungu wa chato kilimani,hayati mwenyewe covid imempiga mpka kameza ulimi na kufariki,wasalimie wazungu wa chato maendeleo yana vyama.Wazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!
Unaropoka tu usichokijua. Punda weweKwa bahati mbaya Joni imemwondoa corona
And what were the intentions of JPM? To kill us? Of what benefit are our deaths to him? On the other hand, harsh economic circumstances as a result of measures such as lockdown would certainly have killed a good number of us, so again, what were his intentions upon which you desire to judge the late president?One is judged by his intention and not by outcomes of the intention.
You care for your people by providing them with necessary gears preventing them from a disease, that's a good intention whether, in the course, you don't get good results but you will be judged by your good intention, on contrary you will be judged as a reckless person risking lives of your people and that is what Magu did, and to whatever outcomes I judge him as a man with bad intention for our lives.
Dispite the fact, I will always pray for him.
RIP Magu.
Sio unaomba, unaniomba nini, huna hoja.Naomba discussion yetu iishie hapa mkuu na nikutakie usiku mwema popote ulipo.
Shukrani sana kwako na ubarikiwe.
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪kwi kwiMagu was not right at all, they were right as you can not put lives of your citizens at risk by taking for granted all precautionery measures required against Covid as Magu did to Us.
Magufuli kept our lives at risks.
And what were the intentions of JPM? To kill us? Of what benefit are our deaths to him? On the other hand, harsh economic circumstances as a result of measures such as lockdown would certainly have killed a good number of us, so again, what were his intentions upon which you desire to judge the late president?
Sio unaomba, unaniomba nini, huna hoja.
Mkalimani unatuingiza chaka!Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua
Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo
======
The idea that Covid variants can be stopped from entering the country is “not realistic”, and Covid will eventually have to be managed in a similar manner to serious seasonal viruses such as flu, Prof Chris Whitty has said.
Speaking at a Royal Society of Medicine webinar, England’s chief medical adviser said the relaxation of Covid restrictions was likely to result in the R number rising above 1 and the risk of variants gaining a foothold and spreading increasing.
The more cases that have been imported, the quicker that will happen. As a result, Whitty said, border policies are focused on countries with more cases, or more cases of particular variants, than the UK.
“The UK is a net exporter of [the Kent] B117 variant, so other countries are understandably putting their border measures up against us to slow that down. We are a net importer of other variants that are a bit more of a worry from the vaccine point of view. That’s really what drives a lot of the policy, when it is being rational, excepting that border policy isn’t always fully rational,” he said.
Whitty said the majority of experts believed Covid was not going to go away and it would eventually have to be managed in a similar manner to flu. In a bad year, flu can kill 20,000 to 25,000 people. “It is not flu, it is a completely different disease, but the point I am making is, here is a seasonal, very dangerous disease that kills thousands of people every year and society has chosen a particular way around it,” he said.
While Whitty noted that factors such as variants and population density were important, he cautioned against trying to explain how Covid had affected different countries by focusing on just one or two factors, noting that Germany was now facing a difficult situation despite its previous success in tackling Covid largely being put down to its diagnostic capabilities.
“It is actually usually a large combination of factors, some of which are under our control, many of which are not. And more of it is chance than I think people are prepared to accept,” he said.
'A class act': Chris Whitty, the calm authority amid the Covid crisis
Whitty said new vaccine technologies meant it had become easier and quicker to tweak vaccines, which will be important for tackling new Covid variants, and he said that two years from now it was likely there would be a wide portfolio of vaccines available.
He said at present the main effort of companies was to boost vaccine supplies and there was less capacity to respond to new variants, while it was unclear whether current vaccines offer a “fair degree” of protection against severe disease and death even if they do not generate high levels of neutralising antibodies.
“What we have got to do is work out some balance which actually keeps [Covid] at a low level, minimises deaths as best we can but in a way that the population tolerates and do as much of the heavy lifting as we can by medical countermeasures,” he said.
Nguruwe weweUnaropoka tu usichokijua. Punda wewe
Hivi hujaamini tu kuwa enzi za kusifu na kuabudu zimepita? Hii ni awamu ya sita,kila zama na vitabu vyake.Wazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!
Korona imemwondoaWazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!
Kama unavyodai hizo sehemu zoote hazikuwa na lockdown n.k. iweje sasa kila kuchao ni "covid denial president", Tanzania haitoi takwimu n.k. na maneno lukuki kuhusu TZ na siyo SwedenWakati mwingine tuache kujibambikia sifa za kijinga.Kwa taarifa yako Sweden,Philippines,Singapore,Nicaragua na South Korea hawakuwa na lockdown.Pia yapo baadhi ya majimbo huko USA hayakuwa na lockdown eg South Dacota,North Dacota and Wyoming.
Sehemu zote hizo wazungu hawakuziona isipokuwa Tanzania ya Magufuli.