johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo Corona imeisha?Walikufa au hawakufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Corona imeisha?Walikufa au hawakufa?
Haya nimekusikia mke wangu hongera lakini punguza wivu!Unamsifia marehemu kwa maslahi gani?
Huwezi kubadilisha matokeo bora hizo sifa umsifie mkeo acha kupoteza time
Kwa hiyo utakata kutuambia kuwa Tanzania peke yake ndiyo kulikuwa hamna lockdown?Wazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!
NI TANZANIA TU HAPA DUNIANI L, HATA WHO ANALIJUA KWAMBA TANZANIA NDIO HAIKUA NA LOCK DOWN, WEWE NI MNAFIKI TU, HUNA LOLOTE UNAONEA WIVU HADI MAREHEMU, ROHO MBAYA TU.Wakati mwingine tuache kujibambikia sifa za kijinga.Kwa taarifa yako Sweden,Philippines,Singapore,Nicaragua na South Korea hawakuwa na lockdown.Pia yapo baadhi ya majimbo huko USA hayakuwa na lockdown eg South Dacota,North Dacota and Wyoming.
Sehemu zote hizo wazungu hawakuziona isipokuwa Tanzania ya Magufuli.
HILO HATA WHO HANALIJUA WEWE NYUMBU UNAPINGA UNATOKEA WAPI MPAKA TUKUSIKILIZE.Kwa hiyo utakata kutuambia kuwa Tanzania peke yake ndiyo kulikuwa hamna lockdown?
Hapana Mokaze, hilo si kusudio lake la kufa kizembe, alitaka watanzania wapambane wenyewe kwani hakuna mtu aliyekatazwa kufuata masharti ya WHO as individual, na kufa hata hizo nchi zinazosemekana wapo mbele katika sayansi bado wanakufa, hivyo tushukuru hata wewe na mimi tungali hai. Huu ugonjwa si kama vile tunavyofikiria ni zaidi ya ugonjwa, hivyo basi vaa barakoa, jiepushe na misongamano, nawa mikono na maji tiririka na baki salama.Aliporegeza masharti ya kujikinga ili tufe kizembe na kijinga.
HAKUNA ATAKAYEWEZA KUKUSIKILIZA NA HIZI PUMBA ZAKO. MAGUFULI HAWEZI KUFA KWA CORONA. TUNAELEWA SISI SIO WATOTO WADOGO. WALA KIJAZI HAKUFA KWA CORONA. SIO NINYI NDIO MLIKUA MNASISITIZA MARA WATU WAVAE BARAKOA, MARA SOCIAL DISTANCE. LEO UMEBAKI UNATOA MIPOVU.Hivi watu walikuwa wanamtaka JPM aweke lockdown au serikali ichukue hatua ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa? Hivi nyie watu mbona mnapenda kupotosha na kutetea ujinga?! Ukiwasikia watu wengi wanazungumzia issue za barakoa na kuepusha misongamano! Hivi kuna Mtanzania atakayeshabikia lockdown wakati majority maisha yao yanaendeshwa na shughulizi zisizo rasmi?! Endeleeni kutetea ujinga lakini mzee wenu hata kama mnadanganyana amekufa kwa ugonjwa wa moyo, kuna uwezekano mkubwa corona ikawa imechangia manake kila mwenye utimamu anafahamu huwezi kucheza na corona wakati mtu mwenyewe ni spana mkononi!!!
Unapotumia herufi kubwa inatafsirika unafanya"shouting"! It becomes disgusting kama una-shout kwa kuongea upumbavu! Na kuhusu legacy, kila mwenye utimamu wa akili anafahamu legacy ya Jiwe na ukiukwaji mkubwa wa demokrasia, uhuru wa maoni na mauaji!HAKUNA ATAKAYEWEZA KUKUSIKILIZA NA HIZI PUMBA ZAKO. MAGUFULI HAWEZI KUFA KWA CORONA. TUNAELEWA SISI SIO WATOTO WADOGO. WALA KIJAZI HAKUFA KWA CORONA. SIO NINYI NDIO MLIKUA MNASISITIZA MARA WATU WAVAE BARAKOA, MARA SOCIAL DISTANCE. LEO UMEBAKI UNATOA MIPOVU.
HIS LEGACY WILL LIVE FOREVER. AND YOU CAN'T BE DESTROY IT.
RIP PRESIDENT OF THE WORLD
Hapana Mokaze, hilo si kusudio lake la kufa kizembe, alitaka watanzania wapambane wenyewe kwani hakuna mtu aliyekatazwa kufuata masharti ya WHO as individual, na kufa hata hizo nchi zinazosemekana wapo mbele katika sayansi bado wanakufa, hivyo tushukuru hata wewe na mimi tungali hai. Huu ugonjwa si kama vile tunavyofikiria ni zaidi ya ugonjwa, hivyo basi vaa barakoa, jiepushe na misongamano, nawa mikono na maji tiririka na baki salama.
Mwamshe huyu mpiga kinubi hajui msikilizaji kalala mazimaHivi hujaamini tu kuwa enzi za kusifu na kuabudu zimepita? Hii ni awamu ya sita,kila zama na vitabu vyake.
Makelele ya nini huwezi ongea kwa ustaarabu? Corona ilishaonyesha makali yake kwa walioidharau haya makelele hayana maana yoyoteHAKUNA ATAKAYEWEZA KUKUSIKILIZA NA HIZI PUMBA ZAKO. MAGUFULI HAWEZI KUFA KWA CORONA. TUNAELEWA SISI SIO WATOTO WADOGO. WALA KIJAZI HAKUFA KWA CORONA. SIO NINYI NDIO MLIKUA MNASISITIZA MARA WATU WAVAE BARAKOA, MARA SOCIAL DISTANCE. LEO UMEBAKI UNATOA MIPOVU.
HIS LEGACY WILL LIVE FOREVER. AND YOU CAN'T BE DESTROY IT.
RIP PRESIDENT OF THE WORLD
Kumbe ni kilaza namna hii!! Hujui hata nchi ambazo hawajawahi kuweka lockdown! FYI, kuna nchi kibao tu ambazo hazikuweka lockdown, na zingine not a shithole country kama ya Mfalme Jiwe!! That being said, kama kuna watu watataka kupigia mfano duniani kutokana na kutokuwa na lockdown basi ni hizo nchi ambazo zinafahamika duniani kote; kwa mfano Sweden!!HILO HATA WHO HANALIJUA WEWE NYUMBU UNAPINGA UNATOKEA WAPI MPAKA TUKUSIKILIZE.
Kwa bahati mbaya Joni imemwondoa corona
Wamesahau kuwa kila masika na mbu wake
Acha uongo....hawajapata woteWamepata chanjo hao, hata wakitoka lockdown ni sawa tu!
Corona haiwezi tena kuwa tishio kubwa kwao kama kipindi kile hawana chanjo.
Na hawakuwahi kuplan kukaa kwenye lockdown forever
Ukisoma post yangu vizuri utakuta tayari nimeshasema!!!Tupe ww hatua stahiki za kudhibiti ugonjwa
Next time, andika "hujazaliwa" na sio "haujazaliwa!!Naona ulikuwa bado Mtoto au haujazaliwa.
Acha upumbavuWazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!