Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

Naomba niwaambie kuwa UK's decision to remove restrictions related to COVID is based on DATA. Uamuzi wao kulinganisha na approach yetu (au kusema UK wameiga approach yetu) ni mbingu na ardhi.

Reasons:
1. What they achieved so far in terms of vaccinating their "risk population". Kindly note that, UK has already vaccinated 16% of its population (kindly note that UK's population of above 65+ is about 16% of the total population).

2. Kwenye transmission dynamics za infectious diseases, kuna kitu kinaitwa R number ambayo ni number ya watu ambao mtu mmoja mwenye huo ugonjwa anaweza kuambukiza kwa wastani. Kwa sasa, namba hii kwa UK ni 1, na inatarajiwa kushuka zaidi kutokana na strategy ya vaccination inayoendelea ideally ili ku cut down the transmission R number inatakiwa iwe below 1- Hivyo basi their move ya kulegeza restrictions is a well calculated and informed move.
Viingereza vingi...........ila mwisho wa siku wamefata nyayo za baghosha
 
Listen , the late president cared more for economic and materials gain of the state than individuals wellbeings as a result he was reluctant to impose just a partial lockdown and during the second phase of the disease he put no pressure prescribed and advised by medical experts to combat the disease as it was previously in the first phase of the disease, he falsely insisting that the disease was just like the normal flu and nothing to fear, by a lock down people would die of hunger etc,!!!, his hidden agenda was; by any lock down (partial or fully) there would be little incomes from Tax collections and the white elephant projects like the SGR etc would deteriorate, people did not understand this hidden trick and took the whole scenario of the disease at ease and leasure resuling into deaths of several people as results, again to hide the manace he blind fooled and folded Tz mass and the world by not exposing the statistics of deaths and infection from the disease.

To cut the well known story short, how can you name a man of such nature??

He sacrificed our lives for his ambitious state economic and material gains, he did not know that people lives are more valuable than the SGR etc, that's why I say his intention was a sinister hiden under a sheep skin. He was very ambitious to set a legacy surpassing his predecessors, that legacy blurred his mind.
Still, the approach saved the economy, and it is just now that the UK is realising the correctness of his methods. May peace be upon him.
 
Kama unavyodai hizo sehemu zoote hazikuwa na lockdown n.k. iweje sasa kila kuchao ni "covid denial president", Tanzania haitoi takwimu n.k. na maneno lukuki kuhusu TZ na siyo Sweden
Ndio hapo sasa, covid denial ni Tz tu, na sio kwingine, wanachekesha sana 😂😂😂
 
Hivi watu walikuwa wanamtaka JPM aweke lockdown au serikali ichukue hatua ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa? Hivi nyie watu mbona mnapenda kupotosha na kutetea ujinga?! Ukiwasikia watu wengi wanazungumzia issue za barakoa na kuepusha misongamano! Hivi kuna Mtanzania atakayeshabikia lockdown wakati majority maisha yao yanaendeshwa na shughulizi zisizo rasmi?! Endeleeni kutetea ujinga lakini mzee wenu hata kama mnadanganyana amekufa kwa ugonjwa wa moyo, kuna uwezekano mkubwa corona ikawa imechangia manake kila mwenye utimamu anafahamu huwezi kucheza na corona wakati mtu mwenyewe ni spana mkononi!!!
Hivi hukusikia maduka na ofisi zote zilipewa maelekezo ya kuweka ndoo ya maji na sabuni nje ya ofisi zao? Hukuona daladala zilipopewa agizo la level seat? Hukuona mabar na sehemu za vyakula ziliagizwa kuuza take away tu? Au ulitaka measures gani??!!’
 
Na ina maana hujui kwamba tahadhali unazosema zilikuwa last year tena katika kipindi kile kile ambacho tulikuwa tunatoa hadi takwimu!!! Baada ya Magu kuanza kuleta mizaa kwenye COVID-19 ikiwa ni pamoja na kukejeli matumizi ya barakoa, na hadi kufikia kumtimua yule Dada wa Vipimo, hayo unayoyasema ulishayaona yakisisitizwa?! Ni kwamba unakaa Ulaya au hujawahi kupanda daladala?!! Unaona hizo level seats kwenye daladala?! Unazungumzia sanitizer na sabani ambazo kwa sasa watu wanaweka kwa utashi wao?

Sema watu aina yenu hata mkipewa uhalisia mtaishia kusema "...sasa maagizo yatolewe mara ngapi, kwani wenyewe hawana akili" lakini mkisema hayo kwa lengo la kujaribu kutetea ujinga wa viongozi, hususani JPM!
 
Yes ni last year, Kabla ugonjwa haujaeleweka kwetu vizuri, baada ya kuuelewa ndio tukachukua hatua ambazo leo hii UK wanataka kuziiga.
 
Still, the approach saved the economy, and it is just now that the UK is realising the correctness of his methods. May peace be upon him.

It is an insanity to save an economy at the expense of people lives, by the way, what is the economy for?? What should be protected first, the economy or the people??--- what should be protected first an egg or a hen which laid the egg ??.

All in all we were ruled by an insane.

May God pardon him.
 
Waingie step 2 kwa kupiga chini na hiyo michanjo fake waje bongo wajifunze tunavyoishi na virusi vya corona ka vile kule usukumani wanavyolala na mifugo sebulen. Ajaribu mzungu kuishi hata na kukutu tu chumba kimoja aone matokeo yake.
Ndivyo unavyojidanga wewe siyo? Una ule ujinga wa kudhani ugali ndiyo chakula chenye nguvu. Unajua life span ya wazungu vs sisi? Wenzako karibu wanamaliza nchi nzima kuchanja.
 
Yes ni last year, Kabla ugonjwa haujaeleweka kwetu vizuri, baada ya kuuelewa ndio tukachukua hatua ambazo leo hii UK wanataka kuziiga.
Halafu nyie watu mna vituko ile mbaya!!! Ni kipi hicho wanachotaka kuwaiga UK?! Ni kwamba kabla ugonjwa haujaeleweka au hayo yalitokea baada ya kuona idadi ya wagonjwa ina-shoot from 52 to 509 within a week, na ili kuwajaza watu ujinga na kuficha ukweli wa ukubwa wa tatizo, ndipo akaanza kusema corona ni kagonjwa kadogo na kanaweza kutoweka kwa maombi!
 
It is an insanity to save an economy at the expense of people lives, by the way, what is the economy for?? What should be protected first, the economy or the people??--- what should be protected first an egg or a hen which laid the egg ??.

All in all we were ruled by an insane.

May God pardon him.
Huko walikofuata hizo precautions na huku ambako hatukufuata per say, kuna utofauti wa vifo?
And the economy?
 
Halafu nyie watu mna vituko ile mbaya!!! Ni kipi hicho wanachotaka kuwaiga UK?! Ni kwamba kabla ugonjwa haujaeleweka au hayo yalitokea baada ya kuona idadi ya wagonjwa ina-shoot from 52 to 509 within a week, na ili kuwajaza watu ujinga, ndipo akaanza kusema corona ni kagonjwa kadogo na kanaweza kutoweka kwa maombi!
Huko walikofuata hizo precautions na huku mnakodai hatufuati, kuna utofauti wa vifo?
 
Ungekuwa umefuatilia issue ya corona tangu mwanzo kabisa, ungegundua hata huko nako walianza na kiburi hiki hiki cha JPM! Au umesahau Iran walivyokuwa wanasema nchi yao italindwa na Allah?! Umesahau masihara ya Trump dhidi ya corona! Kote huko, hadi wanakuja kushtuka, ilishakuwa TOO LATE kwa sababu kirusi kilishaingia mtaani, na matokeo yake ikawa ngumu kudhibiti!! Lakini Tanzania tungekuwa na nafasi kubwa sana ya kudhibiti kwa sababu muingiliano wetu na international travelers ni mdogo sana ukilinganisha na nchi zingine hususani Ulaya, America na Asia! Matokeo yake, mapema kabisa mwaka jana wakati watu wanaishauri serikali kufunga airport, wakasema "hatuwezi kufunga airport kwa sababu tutaathiri utalii"
 
Huko walikofuata hizo precautions na huku ambako hatukufuata per say, kuna utofauti wa vifo?
And the economy

Mkuu nbona hutaki kuelewa???---- Maisha ya watu yanayothamani kubwa kuliko kitu chochote, inapotokea majanga katika nchi Viongozi na serikali makini hujipanga kukabiliana na hayo majanga ili kulinda uhai wa raia wake, katika janga la Corona serikali karibu zote duniani ziliwahamasisha na kuweka orders na by laws za kufuatwa na Wananchi ili kujikinga na Corona ni Tz na sijui North korea tu ndizo ziliweka usiri mkubwa katika ugonjwa huo, japo katika phase ya kwanza Tz hatukuwa na usiri mkubwa na hatua za kujikinga zilihamasishwa lakini katika phase ya pili mambo yakawa holela yakihamasishwa na Rais, nchi hizi Tz na N korea, zilizoongozwa kidikteta japokuwa Tz tayari imeshaondokana na udikteta, Tz to specific ilichukua hatua tofauti kwanza Kumuomba Mungu pasi kufanya juhudi ya kujikinga.

Nasema hivi; njia aliyoichukua Magu ni njia ya hatari, mfano kama Covid ndiyo ingalikuwa ni Ebola??!!.

Kina cha maji hupimwa kwa fimbo sio kwa Mguu ni bahati yetu kina kilikuwa kifupi na mguu akatua kwenye floor, wenzetu walipima kina kwa fimbo hao ndiyo wenye akili.
 
Ungekuwa umefuatilia issue ya corona tangu mwanzo kabisa, ungegundua hata huko nako walianza na kiburi hiki hiki cha JPM! Au umesahau Iran walivyokuwa wanasema nchi yao italindwa na Allah?! Umesahau masihara ya Trump dhidi ya corona! Kote huko, hadi wanakuja kushtuka, ilishakuwa TOO LATE kwa sababu kirusi kilishaingia mtaani, na matokeo yake ikawa ngumu kudhibiti!! Lakini Tanzania tungekuwa na nafasi kubwa sana ya kudhibiti kwa sababu muingiliano wetu na international travelers ni mdogo sana ukilinganisha na nchi zingine hususani Ulaya, America na Asia! Matokeo yake, mapema kabisa mwaka jana wakati watu wanaishauri serikali kufunga airport, wakasema "hatuwezi kufunga airport kwa sababu tutaathiri utalii"
Huko wanakofuata hizo precautions, idadi ya vifo na wanaougua ni tofauti na huku ambako mnadai hatufuati hizo precautions?
 
Mkuu nbona hutaki kuelewa???---- Maisha ya watu yanayothamani kubwa kuliko kitu chochote, inapotokea majanga katika nchi Viongozi na serikali makini hujipanga kukabiliana na hayo majanga ili kulinda uhai wa raia wake, katika janga la Corona serikali karibu zote duniani ziliwahamasisha na kuweka orders na by laws za kufuatwa na Wananchi ili kujikinga na Corona ni Tz na sijui North korea tu ndizo ziliweka usiri mkubwa katika ugonjwa huo, japo katika phase ya kwanza Tz hatukuwa na usiri mkubwa na hatua za kujikinga zilihamasishwa lakini katika phase ya pili mambo yakawa holela yakihamasishwa na Rais, nchi hizi Tz na N korea, zilizoongozwa kidikteta japokuwa Tz tayari imeshaondokana na udikteta, Tz to specific ilichukua hatua tofauti kwanza Kumuomba Mungu pasi kufanya juhudi ya kujikinga.

Nasema hivi; njia aliyoichukua Magu ni njia ya hatari, mfano kama Covid ndiyo ingalikuwa ni Ebola??!!.

Kina cha maji hupimwa kwa fimbo sio kwa Mguu ni bahati yetu kina kilikuwa kifupi na mguu akatua kwenye floor, wenzetu walipima kina kwa fimbo hao ndiyo wenye akili.
Bahati? Ila wangekuwa mabwana zako wazungu ungesema wana akili, utumwa huu, mbaya sana.
Anyway, huko walikofuata precautions, idadi ya vifo ni tofauti na huku ambako hatufuati?
 
Ila wangekuwa mabwana zako

Huko ni kuishiwa hoja mkuu, mimi hata sijakutusi.

Nasema hivi: "Mwenye akili hupima kina cha maji kwa fimbo na sio mguu".

Na kipimo cha akili ya mtu kujua ikoje ni matusi.
 
Kila nchi imechukua na inachukua hatua inayoona zinafaa kwa kadri ya mazingira yake na utashi pia wa viongozi wake..!
Tuangalie zaidi nchi yetu na tuiombee juu ya hili, kuliko kujilinganisha na nchi zingine au kuzibeza nchi zingine.
Hakuna viongozi wa nchi wanaopenda wananchi wao wafe kama kuku.
Kwa hiyo tusione kama vile Uingereza labda wamekosea sanaaa...!! Na wao wamechukua hatua kwa kadri ya mazingira yao na utashi wao. Na pia issue ya Corona ni dynamic sana.... Hali inaweza kuonekana shwari, ila ndani ya wiki 2-3 ikabadilika kabisa ikawa tete.
Hata maamuzi ya nchi pia sio constant, yanabadilika pia kulingana na uhitaji na mazingira ya nchi husika.. Mfano mzuri Madgascar ambao msimamo wa viongozi wao mwanzoni ilikua kutopokea chanjo za COVID, last week nimeona wamebadilisha uamuzi na kuamua kuagiza chanjo za COVID.
Dah...Dogo...uviko ...ni ugonjwa wa biashara...Wala siyo mambo ya kuwaweka wananchi kwenye risk....ni mambo ya utashi wa viongozi...wao binafsi watapata nini...ni utashi tu...ndiyo maana Magu alikuwa na utashi wake...na Uhuru akawa na wake....Wala tusiwalaumu [emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niwaambie kuwa UK's decision to remove restrictions related to COVID is based on DATA. Uamuzi wao kulinganisha na approach yetu (au kusema UK wameiga approach yetu) ni mbingu na ardhi.

Reasons:
1. What they achieved so far in terms of vaccinating their "risk population". Kindly note that, UK has already vaccinated 16% of its population (kindly note that UK's population of above 65+ is about 16% of the total population).

2. Kwenye transmission dynamics za infectious diseases, kuna kitu kinaitwa R number ambayo ni number ya watu ambao mtu mmoja mwenye huo ugonjwa anaweza kuambukiza kwa wastani. Kwa sasa, namba hii kwa UK ni 1, na inatarajiwa kushuka zaidi kutokana na strategy ya vaccination inayoendelea ideally ili ku cut down the transmission R number inatakiwa iwe below 1- Hivyo basi their move ya kulegeza restrictions is a well calculated and informed move.
Wananchi wao wanaandamana kila siku wamechoka na hayo masharti yao.
Wanatuiga ila hawawezi sema
Watu wamekuja Tz wamefanya research zao kimya kimya wameamua kutekeleza na kwao
Tupo vizuri tujikubali
 
Habari hiibimesemwa na mshauri mkuu wa tiba wa uk na youtube inapatikana ila cha ajabu bbc wanaiogopa hii taarifa kuipost...
 
Back
Top Bottom