Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

Alikuwa anakimbilia mihogo na pilipili....
 
Rudi shule kaka bado muda unao. Mfalme ndio mwenye madaraka makubwa pale UK hakuna wa kumzidi yy, hata vitani yy ndio hutoa amri sio huyo Waziri mkuu.
Anaweza kuwa na aina fulani ya mamlaka lakini hamna hadhi ya mfalme pale.
 
Si muisome historia...

Australia
New Zealand
Canada
Ireland's
Wales Etc
Who owns those Mfn countries?

Who's their leader... Hizo habari za ceremonial si ni KWA ajili ya kutuhadaa sisi mambumbumbu..
 
Si muisome historia...

Australia
New Zealand
Canada
Ireland's
Wales Etc
Who owns those Mfn countries?

Who's their leader... Hizo habari za ceremonial si ni KWA ajili ya kutuhadaa sisi mambumbumbu..
Tuletee ufafanuzi mkuu, ni vipi mtawala wa Uingereza anamiliki hizo nchi?
 
Tuletee ufafanuzi mkuu, ni vipi mtawala wa Uingereza anamiliki hizo nchi?
Hizo ni baadhi ya nchi ambazo Britain alivamia na Kujichukulia .. baadhi ni democratic baadhi Siyo... Uhuru wa bendera lakini bado queen anayo influence Kubwa huko...

Refer ishu ya Meghan markle na Mmewe kuondoka buckingham na kuhamia canada .....
 
Anayo influence ya kidiplomasia lakini sio kumiliki hizo nchi.
 
Elewa zipo aina tofauti za tawala za kifalme. Mfano Kuna Absolute Monarchy na Constitutional Monarchy. Uingereza wako kwenye ya pili.

Tafuta material ujielimishe Mkuu. Elimu Haina Mwisho.
 
Elewa zipo aina tofauti za tawala za kifalme. Mfano Kuna Absolute Monarchy na Constitutional Monarchy. Uingereza wako kwenye ya pili.

Tafuta material ujielimishe Mkuu. Elimu Haina Mwisho.
Hicho kitu wanaita constitutional monarch ni usanii mtupu wa hiyo familia na nyingine kama hizo. Walipoona wamepoteza uwezo wa kuendesha ufalme wakaanzisha hicho kufanya brain washing.
 
Hizi ni sifa za ‘Absolute Monarchy’ zilikua mashuhuri sana zamani mpaka karne ya 17.

Btw hizi sifa za unaemuita mfalme ni kwa mujibu wa nani?
 
China , Russia , U.S.A, France walikataa aina hizi za tawala waliwa furumusha watawala wao kwa aibu kubwa . Haiwezekani familia moja kutawala nchi miaka yote hiyo .

N.b: Ni ujinga Karne hii ya 21 kufagilia tawala za kidikteta za kifalme .
 
Walipata wapi crown estate kama sio kwa waingereza wenyewe? Buckingham palace na Windsor castle ni mali za umma ambazo zinagharamiwa na waingereza.
Hiyo familia ndiyo imeifanya UK kuwa hapo ilipo, soma historia.
 
Hizi ni sifa za ‘Absolute Monarchy’ zilikua mashuhuri sana zamani mpaka karne ya 17.

Btw hizi sifa za unaemuita mfalme ni kwa mujibu wa nani?
Hicho kitu wanaita constitutional monarch ni usanii mtupu. Walipoona wamepoteza uwezo wa kuendesha ufalme wakaanzisha hicho kufanya brain washing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…