Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #81
Hamna sehemu nimetaja hasara yoyote ninayoipata.Kwani waingereza wakifanya viini macho vyao wewe unapata hasara Gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna sehemu nimetaja hasara yoyote ninayoipata.Kwani waingereza wakifanya viini macho vyao wewe unapata hasara Gani?
😂 😂 😂Sasa wewe unaumia nini? Mnashindwa kufatilia ishu za msingi unawaza mambo ya wengine.
Alikuwa anakimbilia mihogo na pilipili....Tulifundishwa Civics Form II katika forms of government. Na kwenye kipengele cha Monarch tukaambiwa kuna two types of Monarchies. Constitutional Monarch na Absolute Monarch. Mfano wa Constitutional Monarch ni UK, na Absolute Monarch ni Swaziland ambayo sasa ni Eswatini.
Wewe ulidoji tu vipindi au hukua unaelewa ila tulifundishwa.
Rudi shule kaka bado muda unao. Mfalme ndio mwenye madaraka makubwa pale UK hakuna wa kumzidi yy, hata vitani yy ndio hutoa amri sio huyo Waziri mkuu.Nani kakuambia Uingereza inatawaliwa kifalme, mfalme yupo kama symbol tu
Anaweza kuwa na aina fulani ya mamlaka lakini hamna hadhi ya mfalme pale.Rudi shule kaka bado muda unao. Mfalme ndio mwenye madaraka makubwa pale UK hakuna wa kumzidi yy, hata vitani yy ndio hutoa amri sio huyo Waziri mkuu.
Tuletee ufafanuzi mkuu, ni vipi mtawala wa Uingereza anamiliki hizo nchi?Si muisome historia...
Australia
New Zealand
Canada
Ireland's
Wales Etc
Who owns those Mfn countries?
Who's their leader... Hizo habari za ceremonial si ni KWA ajili ya kutuhadaa sisi mambumbumbu..
Hizo ni baadhi ya nchi ambazo Britain alivamia na Kujichukulia .. baadhi ni democratic baadhi Siyo... Uhuru wa bendera lakini bado queen anayo influence Kubwa huko...Tuletee ufafanuzi mkuu, ni vipi mtawala wa Uingereza anamiliki hizo nchi?
Lakini mfalme anaweza kumchagua waziri?? Nasikia hata bungeni kuna viti maalumu vya royal familyNdio maana kwao mfalme ni ceremonial leader. Yuko pale kama picha tu. Waziri mkuu ndio mwenye mamlaka oamoja na bunge
Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Anayo influence ya kidiplomasia lakini sio kumiliki hizo nchi.Hizo ni baadhi ya nchi ambazo Britain alivamia na Kujichukulia .. baadhi ni democratic baadhi Siyo... Uhuru wa bendera lakini bado queen anayo influence Kubwa huko...
Refer ishu ya Meghan markle na Mmewe kuondoka buckingham na kuhamia canada .....
Huu ndio upuuzi ambao nashangaa inawezekanaje waingereza wakaukubali. Familia moja inaonekana bora kuliko nyingine.Lakini mfalme anaweza kumchagua waziri?? Nasikia hata bungeni kuna viti maalumu vya royal family
Yeah ni undezi...Kwahyo ukizaliwa kwenye hio familia hautajua shida...Wewe, watoto wako, wajukuu wako na wajukuu zao wajukuu wako ambao hawajazaliwa hawataijua shida.Huu ndio upuuzi ambao nashangaa inawezekanaje waingereza wakaukubali. Familia moja inaonekana bora kuliko nyingine.
Hicho kitu wanaita constitutional monarch ni usanii mtupu wa hiyo familia na nyingine kama hizo. Walipoona wamepoteza uwezo wa kuendesha ufalme wakaanzisha hicho kufanya brain washing.Elewa zipo aina tofauti za tawala za kifalme. Mfano Kuna Absolute Monarchy na Constitutional Monarchy. Uingereza wako kwenye ya pili.
Tafuta material ujielimishe Mkuu. Elimu Haina Mwisho.
Yaani familia nzima inakuwa mabilionea huku wakitunzwa na raia wengine.Yeah ni undezi...Kwahyo ukizaliwa kwenye hio familia hautajua shida...Wewe, watoto wako, wajukuu wako na wajukuu zao wajukuu wako ambao hawajazaliwa hawataijua shida.
Hizi ni sifa za ‘Absolute Monarchy’ zilikua mashuhuri sana zamani mpaka karne ya 17.Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme
4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa mara moja
5. Mfalme ndio mwongozo wa tabia, mwenendo na tamaduni ya kila raia kwenye eneo lake
6. Mfalme anayo haki ya kumpatia au kumnyang'anya yeyote kitu chochote bila kuulizwa
7. Hukumu ya mfalme ni mwanzo na mwisho wa mabishano.
8. Mfalme anawajibika kiulinzi na kuhakikisha watu wake wanapata mahitaji yao ya kila siku.
Haya yote hayapo pale Uingereza. Kinachoendelea pale ni raia masikini wanakubali kuitunza familia isiyokuwa na mamlaka ya kiutawala juu yao.
Hiyo familia ndiyo imeifanya UK kuwa hapo ilipo, soma historia.Walipata wapi crown estate kama sio kwa waingereza wenyewe? Buckingham palace na Windsor castle ni mali za umma ambazo zinagharamiwa na waingereza.
Hicho kitu wanaita constitutional monarch ni usanii mtupu. Walipoona wamepoteza uwezo wa kuendesha ufalme wakaanzisha hicho kufanya brain washing.Hizi ni sifa za ‘Absolute Monarchy’ zilikua mashuhuri sana zamani mpaka karne ya 17.
Btw hizi sifa za unaemuita mfalme ni kwa mujibu wa nani?
Walishapoteza uwezo wa kuendesha ufalme hivyo walitakiwa kuondoshwa.Hiyo familia ndiyo imeifanya UK kuwa hapo ilipo, soma historia.