Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Wanaiharibu dunia nzima kama ulikuwa huelewi. Unafikiri ushetani wote duniani unaletwa na nani?
Ushetani wa kwanza "kuletwa" Africa na wageni ilikuwa ni biashara ya watumwa iliyofanywa na Waarabu.
 
Kama kila Mtu arudi kwao basi Mwingereza atakula hasara sana Waingereza walioko Australia Canada New Zealand US nk. Kisiwa cha Uingereza watakosa hata sehemu ya kulima Mboga mboga.
 
Civilized world
 
Hii ina ukweli ndani yake
 
Kabisa mkuu, hao UK wakishirikiana na US/NATO wamechangia mno kuvuruga maisha kwenye nchi wanazotoka hao wahamiaji kwa sera zao za kibabe za Uvamizi (regime change) na kinyonyaji za kiuchumi kupitia mashirika kama WTO....hivyo wavumilie tu.
 
Hatukatai kuwa British Empire imeleta Ustaarabu na Maendeleo makubwa leo Duniani.

Wananchi wa Uingereza wasikubali Manazi na Wabaguzi wa Rangi kuchonganisha Jamii.

Ni kweli swala la Uhamiaji ni tatizo katika kila Nchi Duniani kwa sasa.
 
Kama kila Mtu arudi kwao basi Mwingereza atakula hasara sana Waingereza walioko Australia Canada New Zealand US nk. Kisiwa cha Uingereza watakosa hata sehemu ya kulima Mboga mboga.
Tusirudi nyuma sana, tuanzie tu hapo baada ya vita vya pili vya dunia ambapo wanadamu walikubaliana kwa maslahi ya amani ya kudumu kila mtu alipokuwepo kufikia wakati huo ndio nyumbani kwake na watu wasibadilishe mipaka tena kwa nguvu kama wanavyofanya Urusi huko Ukraine.
 
Hatukatai kuwa British Empire imeleta Ustaarabu na Maendeleo makubwa leo Duniani.

Wananchi wa Uingereza wasikubali Manazi na Wabaguzi wa Rangi kuchonganisha Jamii.
Hao UK wakishirikiana na US wameharibu nchi walizotoka hao wahamiaji hivyo wawe wavumilie tu.
 
Waseng hawa , serikali yao ikishirikiana na Marekani wamesababisha political instability middle East Kwa nchi kama Syria , Iraq ,palestina , Lebanon , Afghanistan NK na kusababisha wimbi kubwa la wahamiaji ambao wameamua kukimbilia UK ,Germany ,France Nk huko halafu leo hii yanapiga kelele , kwa nini wasiiwajibishe serikali yao iliyoruhusu hayo kutokea
 
Ubaguzi wa Rangi tulifikiri umebakia Uarabuni tu ambako Mtu mweusi anaitwa Al Abidi yaani Mtumwa.
 
Jamaa wanaenda nchi za watu na utamaduni wao badała ya ku-adapt wanataka kuishi kama wako kwao.

Mfano unakuta hapa block yetu kapewa dogo msudani 1 bed flat, ni shida; nyumba kaleta rafiki zake wote wanaishi mtu kama tano. Sawa unaelewa maisha ya ulaya kwa Africa wengine hawana papers.

Tatizo lao sawa block ilikuwa kimya wao hawajui kuongea polepole yaani makelele asubuhi mchana na jioni na hawaoni aibu block nzima ina wazungu ilikuwa usikii watu yaani wao ni makelele balaa; halafu sasa jamaa aruhusiwi kuweka watu ndani.

Mimi mwenyewe naenda kumreport housing week ijayo maana nishamueleza mara kadhaa mjomba makelele yenu ni shida kwangu aelewi somo.

Same ukienda miji mingine wadosi (hasa wapikstani) na wasudani wameanza kuwa shida.

Anyway mwisho wa siku hizo ni mbinu za wazungu kuwaweka foreigners kwenye mstari uingereza dakika moja tu wanazima hayo maandamano serikali wakiona inatosha, kwa sasa bado kidogo.
 
Kuna Wahamiaji wengi wa Kizanzibari huko Uingereza na wao UK na US zimehusikaje? Au ni CCM ndiyo mhusika Mkuu???
Povu rukhsa.
 
Kama kila Mtu arudi kwao basi Mwingereza atakula hasara sana Waingereza walioko Australia Canada New Zealand US nk. Kisiwa cha Uingereza watakosa hata sehemu ya kulima Mboga mboga.
Mimi sitoki ng'oo 😄 🤣
Eti kila mmoja arudi kwao
Yaani wayahudi wote warudi kwenye ardhi ndogo hivyo mbona watauwana wao kwa wao
Uingereza wakija hao tunauwa maana waliondoka kwa ridhaa yao 😄
 
Safi sana , lazima wapigane vita na utawala wa pale uondoke ...Waarabu hata vita ya dunia walikuwa bado wapo kimya ila hapo kati wakapelekewa vita mpaka leo wakimbizi ni wengi .

Marekani na UK lazima wawajibike na madhara yote ya duniani , pale Liby mpaka leo hamna maisha kwa ujing wa Democracy .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…