Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Ndugu yangu ni lini kobazi waliwai kuwa na akili?
 
Uingereza wakija hao tunauwa maana waliondoka kwa ridhaa yao
Nyerere alishasema ubaguzi ni sawasawa na kula Nyama ya Mtu huachi,, sasa Waingeraza wakibaguana itaenda mpaka ...wewe ni wa Wells rudi kwenu Wells...wewe ni Mscotish rudi kwenu Scotland ...wewe ni MuIrish rudi kwenu Northern Ireland.

Na haitaishia hapo itafikia ...sisi Blondes Blue Eyes ndio Master Race ninyi Brunetes ni Mediterraneans 😆 mambo ya 1930s Dunia inatakiwa isonge mbele sio kurudi nyuma.
 
waarabu siyo watu//
 
Ubaguzi wa Rangi ni mbaya sana tulishuhudia Makaburu Wakristo wakiwabagua Waafrika Wakristo na kiwaita KAFIRS, tumeshuhudia hata huko Uarabuni Waarabu Waisilamu wakiwabagua Waafrika Weusi Waisilamu na kuwaita AL ABIDI.
 
Tatizo na chanzo ni hawa jamii ya waarabu na dini yao hawatakagi kukaa kistarabu, wao kila saa ni kuwaza ugaidi tupy
Wewe punguani kweli unaongea fikra zako chanzo ni raia Uingereza mwenye asili ya Burundi lakini kazaliwa Uingereza aliwachoma watoto wa kizungu huyo mrundi ni mkiristo hapo Uislam unaingieje, hao wazungu hata ukiwa mkiristo wanakupiga tu.
 
Karibu kunakucha
Jeshi litaamua
Walisubiri hili litokee wapate pa kuanzia kuwatimua..
Karibu watajua hawajui
Ni swala la muda watabebwa wooote
 
Tatizo na chanzo ni hawa jamii ya waarabu na dini yao hawatakagi kukaa kistarabu, wao kila saa ni kuwaza ugaidi tupy
Wanaenda nchi za watu wanaanza kupangia watu kitu cha kufanya.
Unawapa chakula wanauliza haram - halal we kuku kachinjwa huko Pakistan mi ntajuaje ni halal.
Mi nawaambiaga tu kula uondoke hutaki toka wenzio wale.
Shenzi kabisa
 
Hapa duniani tafuta maarifa.

Ni jamii gani duniani yenye teknolojia?
 
Tengeneza dunia yako peke yako ndo utaishi bila ya kuwepo muislamu ,mbaguzi mkubwa wewe
 
Islamists they happy anywhere.. wakiwa makwao wao kwa wao ni vita e.g wasomali
Wakienda huko ukimbizini kama ulaya ambapo hakuna uislamu wanataka watu wote wavae kiislamu na kufuata dini yao.
Pia wakikuta kuna amani lazima waletw chokochoko naona sasa wenyeji wameshindwa na uvumilimu kila mtu aende kwa mogadishu,huko pakistani na lebanon.
 
Wageni msiondoke pambaneni hapo hapo
Ningekua siogopi kufa ningekuja kuwapa kampani
Wakati wanaharibu mataifa ya wenzai waliona raha eenh
 
Mbona aliyeua huko Uingereza ni kijana wa Kiingereza mwenye Asili ya Kitutsi ambae ni Mkristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…