Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Siyo kupungua. Issue ni kuwa kila mtu akashinde mechi za nyumbani kwao. Mechi za ugenini kawaachie wale wa huko ugenini.
Kwann na wao walikuja kwetu ...na kwann bado wako huku na base zao wameeka mataifa kibao na kuwekeza mikataba ya kishenzi huku
Wao watulie kama sisi tulivotulia
..
 
Sawa

Kila mtu ana namna anavyo yatazama mambo.
 
Dunia imegawanyika katika zama ama vipindi ni muhimu kutambua historia ya mabadiliko ya dunia.

Matendo mengi ya kale sasa hayawezi fanyika kabisa au kwa urahisi huo unaofikiri.
Hakuna kipya kila kitu kinajirudia ..ukoloni upo mpk leo
Vita mpk leo vipo
Sizani kama unaitaji D mbili kueleweshwa
 
Kati ya muarabu na hao wengine nani alimfuata mwenzake kwa fujo katika eneo lake ?
 
Nchi iliyostaarabika na yenye wasomi wengi kama Waingereza wala hawana tena shida na rangi ya mtu kwa kiasi hicho unachosema, England wamejitahidi sana kuignore huo ujinga

Tatizo ni Wahamiaji kutaka English people waishi kwa lifestyle yao

Kwa Mfano : -

● Wafunge barabara saa 7 mchana na saa 10 Alasiri wafanye ibada barabarani

● Wavae hijabu na Nikab mpaka kwenye ATM' s ambapo Camera haiwezi kusoma sura ya Mtu...na anaweza kuwa Muhalifu

● Wapige azana mpaka jirani na Maktaba yenye watu waliotulia kusoma

● Wapige Azana karibu na Hospitali zenye wagonjwa waliopo ICU

Hakuna Muingereza mwenye akiki timamu atataka hayo...hata Atheists sio Wakristo tu
 
Human rights na Demokrasia ndio wanachofuata maana wakikaa kwao kufuata tamadun zao bado bwana wenu anawavamia kama alivyofanya Libya. Sasa wanakuja kwenu huko ulaya ili muwavamie wakiwa huko huko kwenu, najambo zuri kuliko yote wanazaana Kwa speed kubwa Sana.
 
Hawana silaha wakati unasikia wanadunga watu visu, wewe unaongea vitu gani bwana kila wakati nyie ni kuunga mkono ugaidi.
 
Hatuezi Vumilia ujinga na hicho ndio kitu tunapishana ...
 
Utaonekana kuwa na Kichaa au Ujinga ukisema Waingereza ni Wavivu wa kufanya kazi

Na Watu weusi na Waarabu utasemaje?

Waingereza hawajawahi kuwa wavivu wa kazi katika Areas zote unazojua...yaani Michezo, Viwandani, Mashambani, Darasani n.k

Na hawana utamaduni wa kukaa bila kazi kama Waswahili
 
Tamaduni zao wanazotetea sasa .mfano mashindano ya Olympic upumbav walionyesha kukashifu ukristo hio umeonesha kwao dini sio kipaumbele Chao kabisa .lakin hapa bongo watu wanavyowatukuza xx mpk unajiuliza hawa wanajua wanachotetea kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…