Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Tatizo na chanzo ni hawa jamii ya waarabu na dini yao hawatakagi kukaa kistarabu, wao kila saa ni kuwaza ugaidi tupy
Aliyeua wasichana watatu na kujeruji karibia tisa,wakiwa hali mbaya,ni Alex,mwenye asili ya Rwanda,muafrika,mkristo,,ndio chanzo cha vurugu,muarabu na muislamu,anahusika hivi hapa.Kosa ni serelali ya Uingereza,kuchelewa kumtangaza muuaji,Alex,kwa kidingizio cha umri,kuwa tarehe 7 August 2024 ndio anatimiza miaka 18.
 
Yakitokea south Africa mbona huwa mnalaani?. Acheni yatokee tu popote pale ili akili iwakae sawa.

Na pia wanahaki yakuabudi kadri watakavyo maana huko ndio Kuna Human rights
Nani halaani yakitokea South Africa?

Kwanini msiende kuishi Saudi Arabia na ni Non Secular state?
 
Wewe umetoa sababu yako unayoijua na Waingereza wanazo sababu zaidi.Tulia.
 
Wao waingereza walikaa muda gani kwenye maeneo ya wenzao kibabe ?

Tena tushukuru wahamiaji hawaingii kibabe kama walivyo waingereza
Siri moja ya dunia yenyewe haikupi kile unachokitaka inakupa inachotaka.

Dunia haikupi haki ukija kwenye point ya kwamba wao walikaa muda gani kwenye ardhi za watu wao watakwambia mbona hamkutufukuza na kama mlitufukuza na ninyi ndiyo tunawafukuza kama mlivyotufukuza sisi so huna cha kusema
 
Tatizo na chanzo ni hawa jamii ya waarabu na dini yao hawatakagi kukaa kistarabu, wao kila saa ni kuwaza ugaidi tupy
Umeongea UPUMBAVU.
Wahalifu wengi UK na USA ni Mexicans ama South Americans.
Na wimbi la ukabaji na uuzaji wa madawa ya kulevya na human trafficking.
Ufuatilie sio KUROPOKA tu.
 
Acha watwangane siwanawaita makafiri Sasa wanafata nini kwenye nchi zao!?
Aliyeanzisha vurugu anaitwa Alex,kwa kuua wasichana watatu kwa kisu,na kujeruhi 9,ni mkristo na ana asili ya Rwanda.Hapo vurugu sio kwa ajili ya wahamiaji waarabu,ni ni wahamiaji wote,uwe mktisto,uwe muislam,uwe muafrika,muarabu,mhindi,hawawataki
 
Waingereza wale wazee ndio walikuwa wanapambana sababu ya umaskini wakati ule sasa hichi kizazi sio cha kazi wanashida sana huo ndio ukweli. Waarabu wanafanya kazi ndio maana nchi zao wao wanaajiri tu wao pesa zimejaa sasa hujiulizi utajiri huu wanaupata wapi. Huwezi kukuta raia wa UAE kaajiriwa England ila wao wamejaa Dubai. Waafrica watu wakazi wanatafuta wanaishi ni tumekosa sera nzuri tu lakini kazi watu wanatafuta sana. Uk akiwa hana kazi analipwa posho sasa unataka kufananisha na sisi.
 
ukristo wake haufanyi ubao usome tofauti.
98% matukio ya ubakaki,uporaji,kuua yamefanywa na watu wa Africa ya magharibi na watu wa mashariki ya kati.
 
Watanzania tuna la kujifunza.tuache uoga kuiwajibisha serikali.Mauaji Kila siku yanatokea lakini wtz hawaandamani Kwa Nini?watu Kila siku wanapotea Mfano sativa,makonda etc
Kila kitu kinahitaji muasisi mkongwe, anzisha maandamano uone kama hatutakusapoti.
 
Tatizo na chanzo ni hawa jamii ya waarabu na dini yao hawatakagi kukaa kistarabu, wao kila saa ni kuwaza ugaidi tupy
Lazima waarabu wakimbilie huko sababu walikua wanaishi kwenye nchi zao kwa amani mmeenda kuanzisha machafuko hakukaliki mfano wa wahamiaji wa Libya,Iraq na Syria hzo zote hazina amani sababu ya UK na bwnake USA wanafadhiri vikundi vya kigaidi amani hakuna
 
Kwani hao wageni wameenda kuitawala Uingereza?Warudi kwao kwenye sharia law zikawatafune.

Shida yao kubwa wakifika kwa watu: kwanza wanaanza kuzaliana kama panya.

Halafu wavivu, kuna mji mmoja wa nchi fulani Ulaya, niliwaona weengi wamekaa makundi makundi asubuhi sijui wanapanga nini. Nilivyowauliza wenyeji wakasema hiyo ndo tabia yao.

Lingine ambalo ni la hovyo, ni la kulazimisha wengine wafuate mila, desturi na tamaduni zao.
 
Mngerez tulimfahamisha kwamba kima HAFUGIKI Wakapuuza!; Sasa wanavuna walichopanda!
Bado Ufaransa, Jermany, MMarekani, Canada....
 

Kwani Uingereza ni nchi ya Kikristo ??


View: https://www.youtube.com/shorts/OSfyYCkzLTo
 
Hata wao waliwahi kuwa wageni na wakawapangia nini cha kufanya babu na bibi zako.

Dunia inazunguka haigandi.
Umeniwahi aisee, nilitaka niandike kitu hiki hiki.
Hao Brits wakae kwa kutulia, kuna kipindi walikuja kwetu, walikuja na ustaarabu na tamaduni zao, wakalazimisha tufuate tamaduni na ustaarabu wao.
Sasa ni zamu ya sisi kuwatembelea, tunawatembelea tukiwa tumebeba ustaarabu na tamaduni zetu.
 
ukristo wake haufanyi ubao usome tofauti.
98% matukio ya ubakaki,uporaji,kuua yamefanywa na watu wa Africa ya magharibi na watu wa mashariki ya kati.
Yeye huyu nmuuaji ,inasemekana kutwa anajifungia ndani na kuimba kwaya,nyimbo za injili,dini yake ndio imemfunza kuua,bila shaka alitokewa na maono ya kufanya uuaji,wa wasichana wasio na hatia na kujeruhi tisa,kitendo cha kigaidi na cha kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…