mume wa mtu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 653
- 386
Uko kidato cha pili nini?hongera,bado miaka miwili uhitimu elimu ya sekondari.👏🏻Wao ni nani kivipi? Kila mtu na nchi yake.
Kama asilimia kubwa ya Watanzania wameridhika wao ndo waje kutudanganya tuna shida?
Wajishughulikie kwanza huko wasiwashwe na yasiyowahusu.
Likitokea au wakionyesha kwa vitendo masikitiko yao hapo sawa lakini sio kutoa matamko alafu siku mbili mbele wanaleta hela tena za msaada au wanatoa tena tamko la kusifu
We do not have free and fair elections leave us alone until we have a new constitution of TanzaniaView attachment 1274916
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
Wengi wanasahau kwamba Tanzania ni nchi independent na ni nchi ya watanzania. Hakuna mtu yeyote duniani mwenye nia njema na Tanzania zaidi ya watanzania wenyewe.Watanzania mkiwa nafkira kwamba mapambano ya demokurasia nchini yatafanywa na nchi za Ulaya na Marikani naona kama hiyo ni dhana potofu......kabla ya uingereza kusikitika nyie mmefanya nini kupambana na hiyo hali?
Haya ni mataifa makubwa yana mguvu kiuchumi hivyo Yana uwezo wa kutunyima misaadaWataishia kusikitika la kufanya hakuna juzi marekani leo uingereza kesho canada au pakistani
Hawa watu - mabalozi - hawatoi matamko bila baraka za serekali zao.Nchi yangu isidharau haya matamko ya hawa watu wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020. Hawa watu huenda kuna kitu, wanatuandaa kisaikolojia. Siamini tu kwamba wanaongea hivyo alafu wanaishia hapo, anyway muda ni mwalimu mzuri
Uhuru wenyewe ndio huu ?Wengi wanasahau kwamba Tanzania ni nchi independent na ni nchi ya watanzania. Hakuna mtu yeyote duniani mwenye nia njema na Tanzania zaidi ya watanzania wenyewe.
Kuwa independent includes being able to solve ur own issues, Kama kuna mtu anahisi shida zake hawezi kuzitatua mwenyewe basi bado ukoloni unamuandama.Uhuru wenyewe ndio huu ?
View attachment 1275020
Wenyewe hawajielewi na wanahali mbaya. Waache unafiki na kujikuna ambako hawawashwi.
God bless Tanzania!
Wenyewe hawajielewi na wanahali mbaya. Waache unafiki na kujikuna ambako hawawashwi.
God bless Tanzania!
Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!View attachment 1274916
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
Uzuri ni kwamba hutoisikia hata nchi moja ya kiafrica imefungua mdomo.Wataishia kusikitika la kufanya hakuna juzi marekani leo uingereza kesho canada au pakistani
Hakuna usawa kwenye uwanja wa siasa inapokuja kwenye uhalisia, halafu eti unasema “wanataka wabembelezwe”, is this a rational thinking?Why?
Life is not plain sailing for everyone others encounter rough seas; you either deal with the weather or prepare to be battered by the angry sea.
Hizi tabia za kuwadekeza upinzani na kuwa support ata kwenye maamuzi yao ya kijinga amuwajengi bali kuwafundisha tabia za uzembe; na mwishowe kupotezwa kabisa.
Hahaaah 😅😅😂Uhuru wenyewe ndio huu ?
View attachment 1275020
condom tayari , labda ARVWakate kamba ya ARV na condom kwanza....
Nchi yangu isidharau haya matamko ya hawa watu wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020. Hawa watu huenda kuna kitu, wanatuandaa kisaikolojia. Siamini tu kwamba wanaongea hivyo alafu wanaishia hapo, anyway muda ni mwalimu mzuri
Katiba ya Tanzania inaruhusu uchafu huu ?Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!