Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa


Kwa Waingereza Kutangaza Kwao tu hivi ( huku ) huyo Raia wao wanayeenda Kumkomboa kutoka kwa hao Magaidi wa ISIS huko Msumbiji wakimpata akiwa Hai ( hajafa ) naogolea Baharini chini kwa chini tu ( kwa Kuzamia ) kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar na kurejea Dar es Salaam tena.
 
Hiviii hao SAS wako vzriii au ndo wanakuja kuipaka msumbijii mafuta kwa mgongo wa chupa maaana hao ISIS so wa2 wa mchezo maana hadi wanawake wao wanakwepa risasi baadae waingereza wasilaumianeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutapata ukweli si muda
 
Kwanin mnawalaumu wazungu kila kitu? Huko Kaskazini ya Mdumbiji hali ya usalama ni tete toka siku nyingi sana hilo limefanya watu wenye meimami mkali wa kidini wajikite kirahisi na kukua. Sasa mdungu anaingiaje?
 
Hata mimi huwa naona kama ni propaganda tu. Yaani nchi na jeshi lake washindwe na kakikundi ka watu wachache??? Nchi ina vikosi vingapi vya jeshi???? Wana silaha za aina gani nzuri kuliko hao waasi?
Mkuu yawezekana kuna maslahi yanalindwa na yawezekana jeshi la wanamsumbiji badoooo sanaaa.
Anko wangu mmoja alinambia baada ta vita vya ukombozi wa msumbuji walitumwa askari wa Tanzania JWTZ kwenda msumbiji kutoa mafunzo ya kijeshi. Yaaan ile introduction to the Camp wanamsumbiji walipukutika kama vifaranga aiseeee. Jamaa nasikia ni wachovu sijui enzi hizi za sasa labda wako imara
 
Yani kumbe hao waasi wanauwa watu maeneo hayohayo na kazi za uchimbaji mafuta na mitambo inaendelea kufungwa lakini hawa leti madhara kwenye hayo makampuni?????.

Kweli wazungu sio wajombazetu.
wanauwa ‼️ wanaua✅
 
Tukianzia kwenye ulegevu wa jeshi ni kweli jeshi Lao ni dhaifu Sana . Unakuta wamevaa nguo mbilimbili kwamba ikitokea jamaa wameingia wanavua zile za jeshi na kubaki na za kiraia.
Tangu Vita hii ianze hakuna sehem jeshi lilifanikiww kukomboa zaid ya biti na maonevu kwa raia wao.
Kingine mpaka Sasa ni nadra Sana kukuta vyombo vyao vikitangaza hizi habar mpaka raia wanakuwa wanahisi labda ni project ya serikali.
Tusipoangalia hili kundi litakuwa kubwa na kuja kuwa uncontrollable africa maana mpaka Sasa ni karibia nusu ya mkoa iko chini yao.
Wilaya zilizo chini yao ni mocimbou da praia Kuna bandari
Palma Kuna bandari na gesi na uwanja wa ndege wa kampuni
Nangade
Macomia
Imebaki mueda tu kwenye Kanda hiyo nayo siku chakula kikiwaishia lazima wajongee
Palma wilaya waliyovamia majuz ni karibu saaana na mtwara na asilimia kubwa ya wakaz wanafamilia tz na hawakijui hata hicho kireno wanaongea kiswahili
 
D
 
Waingereza bana wana madharau. Yaani wanatuma wanajeshi watatu tu kupambana na kikosi chote cha ISIS kinachomlinda huyu jamaa wao? Pengine watakuwa wamejihami vilivyo na makombora na machine guns. Ila watatu nahisi ni wachache sana.


Cc Geza Ulole
Vita ya intelijensia...siyo vita ya maguvu!
Yawezekana waingereza wa3 ila wakapewa wajeda wa Msumbiji 300.
Wanaenda kisasa na miwani night vision, mawasiliano, silaha za uhakika, mavazi, chakula kila kitu uhakika.

Hao wala sio ISIS kama walio Syria Au Iraq, hao ni wahuni tu fulani jobless, hawawezi hata kufananishwa na Al-shabaab. Hawa ni mamluki! Kama sungusungu tu!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kipindi kile Tz tulivyo anza operation kule Kibiti,Zito na wenzake walikuwa wanakejeli sana.Hawa wajinga sio wakuwachekea ukikamata maliza huko huko hamna maswala ya kesi.

Nimeona wajinga wamevamia kambi ya jeshi,wameteka silaha na magari ya Jeshi,yaani kwa kifupi Msumbiji kishashindwa anahitaji msaada na hawa magaidi kila siku uwezo wao unazidi kuimarika.
 
Injinia wa hizi vita ni mabeberu wenyewe.. Biashara ya silaha ni biashara kubwa sana..bila vita silaha haziuziki
Na wajinga ndiyo hao mitaji ya hiyo biashara ya silaha,
LNG miradi inakuza nchi zao, na wenyeji waliokuwa ndugu zao ndiyo wanaopata dhahana, wageni ni wachache SANA, watoto na mama zao kuingizwa kwenye utumwa wa kivita na kingono.

Dalali anaishi Dubai 7* mpiganaji anaishi huko msituni mapangoni, ujinga.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…