Mfaransa namtazama kwa jicho la mfitini mbwa yule..... Popote aendapo anaacha uhasama mbwa yule.....Mkuu mbona unanifanya niwaze Sana bomba la mafuta la kutoka HOIMA +0756 kwenda CHONGOLEANI +0755 linajengwa na kampuni ya kifaransa ya TOTAL kumbuka na sisi tuna gesi kule kisini Kama songosongo msimbati isije ikawa n target TU ya kumonopolize hizo resources kwa kigezo cha kujrnga urafk kupitia bomba la mafuta
Dah ulimwengu una Siri nzito Sana
Hiyo ya USA ndio imetolewa kwenye muvi ya LONE SURVIVOR?Ufaransa walipeleka makomandoo saba kwa Al Shabab kuokoa raia wao,wakafa 4,watatu wakasalimika na hawakuokoa raia wao.
U.S walipeleka kwa siri sana makomandoo watatu Afghanstan kumkamata kiongozi mmoja wa Taleban,wakafa wawili mmoja akapona kwa kufichwa na raia wa Afghanstan.
Haya embu nambie bwashee izo kazi za comando watakazo fanya ao watatu kuokoa raia wao uko Msumbiji?
Ntaitafuta hii muvi.Hiyo ya USA ndio imetolewa kwenye muvi ya LONE SURVIVOR?
Tena watatu?...Sasa wanatoa taarifa kabisa kwamba wanashusha makomando
SADC NI ILLUTION, STOP DREAMINGHv SADC hawawezi kuungana kupiga joint special operation kusafisha hawa jamaa.Maana instability wanayotujengea hata sisi wa Tz hatutakuwa salama soon.
Imagine!!! [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa wanatoa taarifa kabisa kwamba wanashusha makomando
Wale mashekhe mashekhe wanao jifanya ni Wana harakati wote huwa wanatumika dini wanaitumia kama kivuli Cha kuficha maovu yaoWengi wameenda akhera akiwemo utadh Ilunga hasaan...hata hawa IS wa msumbiji wanasema walikua wafuasi wa Abood Rogo
Michongo tu hiyo viongozi wanakula pesa za mabeberu halafu wanajifanya kuuhadaa ulimwengu [emoji16]Nashangaa sana Jeshi la msumbiji ,yaani wanashindwa kuwamaliza hao "WAVUTA BANGI wanaojiita ISIS"? Yaani wanaingia kwako na kufanya mauaji na wao wapo tu kambini wanakula mikate yenye siagi na chai ya maziwa? Hao ni Operation ya Week tu unawakamata na kuwakaanga kwenye concentrated Sulphuric acid.
Alikuwa jirani yangu huyo jomba, hata hungedhania, kumbe wee moto hataree π π πHapa ndo nawapa hongera Kenya kwa kumwagia risasi za kutosha Aboud Rogo ambaye ndiye roal model wa hawa watu.
Hawafichi kitu mabeberu πSasa wanatoa taarifa kabisa kwamba wanashusha makomando
Hapo mind games tu, wanasema watatu, kumbe battalion nzima ilishaingizwa kisiri, chini ya Maji. Hivi wataka kusema, America na England, wanamajii wao hawako kule baharini tayari, dah, hata bila kusema tena wamejiweka stand-by mode, navyKila kwenye mafuta na gesi Africa lazima kuwe na uwasi hata Tz tungecheza kidogo yangetukuta najiuliza makomando watatu wakaokoe mtu mmoja kwenye kundi la waasi ambao wameshikilia miji na mitaa msumbujii kama sio wao wenyewe kwenda kutoa mafunzo kwa magaid na ushaambiwa wao ni walimu wa" bush welfare"pia cha ajabu kampuni Total bado inafunga mitambo yake bila shida yn utaniutani msumbujii ndio bc tn
Link ni moja, silaha. Zinawafikia vipi, hapo ndio utajua game inachezwa ruff hii π€£Hapa wazungu waache kututania. Wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Ni dhahiri wanashirikiana na hao vipedo pusha wote lao moja.
Kabisa, AU, UN na Africa-command... Kazi kwao!Nadhani bado SADC haijaweza kuunda kikosi maalum cha hizo operations.
Hata hivyo jukumu hilo ni la AU.