baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Umepewa haki yako ya kula, ila usile kwa kuwasumbua wenzako, ni kama vile mi imekaa kwangu uje na mke wako uanze kumbandua mbele yangu, una haki ya kumbandua mkeo ila sio kwa kusumbua wengine ni ngumu sana kuelewa hili?Ni haki yangu huku sio kule? Kwa Nini huko nisipewe haki yangu kama ulivyosema uislamu unapigania haki za wote?
Ulienda Rwanda huruhusiwi kupractice uislamu public? Uongo huu, hata hvyo kuhusu Rwanda hata makanisa nayo yamepigwa pin. Lakini hapa pia hatulinganishi uislamu na wengine hapa tunazungumzia uislamu kupigania haki za wasio waislamu kama ulivyosema. Hii kulinganisha inaingiaje?
China na Rohingya kule ni kwao, wana haki ya kutetea maeneo yao na sidhani kama kuna uhusiano wowote na tunachodiscuss hapa. Ingekua waisilamu wa Afghanistan wapo China kutetea haki zao hapo ingekua na point.Mimi sio raia wa saudia Arabia natakiwa niheshimu nchi za watu sijawasaidia kupigania nchi yao? Sasa mbona unajikataa mwenyewe uliyesema uislamu unapigania haki za wengine wasio waislamu?
Pia hapa mbona unahalalisha wanayopitia waislamu wachache walio nchi za wengine? Mfano wanayopitia waislamu wa Rohingya kule Myanmar? Na yale wanaopitia kule China? So China na mynamar wapo sawa wanayofanya kwa waislamu? If so, mbona huwa mnalalamika?
Hakuna kuchanganya it's just comprehension ni janga la Taifa, sio kosa langu umeshindwa kuelewa nilichoandika, khalifa ni kiongozi wa waisilamu na waisilamu sasa hatuna khalifa hio sheria haiwezi kutolewa hukumu kwa sasa.Nimesoma wapi .tu kuhama uislamu akauliwa? Unajifanya kipofu au? Hizi cases zipo nyingi tu. Alafu mbona tena unasema mwenye mamlaka ya kuua anayebadili dini ni khalifa, lakini hapo hapo unauliza nimeona wapi aliyehama dini akiuliwa? Mbona unajichanganya?
Na kukutafunia tu iliwekwa hio sheria sababu waisilamu wote ni mandatory kuparticipate kwenye Jihad na watu walikua wakikimbia, Nchi inapovamiwa na mtu unapoikimbia nchi yako ni Treason, Si tu waisilamu bali karibia serikali zote Treason hukumu yake ni kifo.
Serikali zetu za sasa hazina makhalifa hata hizo nchi za Kiislamu, zina majeshi na mifumo mingine ambayo sio 100% ya kiisilamu, ndio maana ma Ulamaa wa sasa hawa enforce hio sheria ya kutoka kwenye dini uuliwe sababu ya wakati tulionao, kuna link inaelezea vizuri nimekupa comment iliopita kama shida yako ni kuelewa Soma, kama shida yako ni chuki juu ya uisilamu endelea kusambaza uongo wako kila comment utayojaaliwa.
Quran haisomwi kama Gazeti, context za Aya ni zipi?Watu bil 2 wangeamrishwa kuua pasingekalika? Dunia Ina watu bil 8, hao watu bil 2 wangeua watu wote bil 6 ambao sio waislamu? Pia nani kakuambia kila muilamu anafata kwa usahihi Quran unavyosema?? Quran inakataza kuzini, je hao waislamu bil 2 wote huea hawazini? Quran inakataza watu kuwa washirikina, je hao waislamu bil 2 wote hawafanyi shirki? Quran inakataza ulevi, je hao waislamu wote bil 2 hawafanyi ulevi? Kwa akili yako sababu Quran umesema wasio waislamu wauwawe basi unajua waislamu wote watakubaliana na hilo?
Quran imekataza muislamu kuwa na urafiki na mayahudi na wakristo, imeenda mbali Kuna Aya zinazosema asiye muislamu unatakiwa kuuwawa hizo hapo
View attachment 3186443View attachment 3186445
View attachment 3186446
KILA Aya ina mahala yake iliposhushwa na Context inayoelezea.
Mfano Quran 8:13-17 umeiweka hapo ni Aya imeshushwa kwenye Vita vya Badr, ambapo washirikina wa Mecca walipingana na waisilamu, waisilamu wachache wakafanikiwa kuwapiga, na Aya ina wa Adress Malaika ila source yako for unknown reasons haijaweka neno Malaika probably kupotosha
Aya inasomeka hivi
˹Remember, O Prophet,˺ when your Lord revealed to the angels, “I am with you. So make the believers stand firm. I will cast horror into the hearts of the disbelievers. So strike their necks and strike their fingertips.”
Sisi waisilamu tu naamini kwenye Vita vya Badr Waisilamu wachache waliweza kushinda sababu Malaika walishuka na kuwasaidia na hio Aya in reveal order ya Mwenyezi Mungu kwa Hao Malaika.
So Kitu ambacho mwenyezi Mungu aliwaambia Malaika kwenye Vita Vya Badr kuwasaidia waisilamu kupiga jeshi ambalo limekuja Kuwavamia kinahusiana nini na waisilamu kuwaua wasio waisilamu?
Same kwa Surat tauba na Aya Nyengine, nyingi zipo hivyo hivyo mnatoa maneno hapa na pale mnaacha Aya za nyuma na mbele kuharibu context ili mpotoshe.