UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

Kabla huyo Mohamed kuanzisha uislamu, waarabu waliishije? Huwa nataka kusoma sana maisha yao ya kabla maana huyo mtu aliwavuruga sana na hiyo dini, yaani kila muarabu anazaliwa akilazimishwa kuwa muislamu, hawana uhuru wowote
Kihistoria waarab ni maharamia (watu wa jangwani) na walikuwa wanaishi kama wamasai tu, kuhama hama kila kukicha kulisha wanyama wao (ngamia na mbuzi). Walikuwa ni watu wasio na dini na walikuwa wanauana sana tena bila hata huruma na ndiyo maana haikuwa vigumu kwa Muddy kuua watu waliokuwa si waislam na aliwabaka wanawake pia kutaka kuzaa nao ili watoto wasilimishwe kuwa waislam.
 
Hawa nao walikuwa maharamia maana nao walipo ambiwa kuua na Mungu wao Yehovah waliua vizuri tu

lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako;

Kumbukumbu La Torati 20:17

KUHUSU KUBAKA pia kuna hawa sasa walijipakulia manyama tu, Kama hauna Bikira ni KIFO, ila wenye bikra watu wakajiopolea saaafi hawa nao walikuwa na undugu na mohamadi?

Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.

Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.

Hesabu 31:17-18

MCHAWI ni bikira watu wazindue wenyewe waisrael buana
 
Kabla huyo Mohamed kuanzisha uislamu, waarabu waliishije? Huwa nataka kusoma sana maisha yao ya kabla maana huyo mtu aliwavuruga sana na hiyo dini, yaani kila muarabu anazaliwa akilazimishwa kuwa muislamu, hawana uhuru wowote
Maoni ya mtu mjinga asije na adabu kwa Imani za watu
 
Hata Yesu alifufua mbona hakwenda Mloganzila

Yesu aliponya na kufufua kimya kimya. Akimponya mtu amwambia usiseme kwa watu.
Hawa manabii feki, wakiigiza wameponya. Wanatanga yaani wewe ndiyo unakuwa bango
 
Mbona unanikosea na kunituhumu kwa mambo ya kuzania? Kumbuka mimi ni Mtanzania na Mungu wangu hatoki kwenye 'Abrahamic religions' - dini za kuundwa na watu. Niwie radhi tafadhali.
 
Yesu aliponya na kufufua kimya kimya. Akimponya mtu amwambia usiseme kwa watu.
Hawa manabii feki, wakiigiza wameponya. Wanatanga yaani wewe ndiyo unakuwa bango
Sasa ingekuwa kimya kimya wewe leo ungejua kuwa alifufua?
 
Quran ni kiarabu soma surat yusuph aya ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…