UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

Najua una lengo lako ila nakukumbusha tu uisilamu unatetea haki za wote, usisahau hapo Africa Kusini wakati weusi ambao karibia wote sio waisilamu walikua wanabaguliwa waisilamu walikua bega kwa bega na weusi.

South Africa waisilamu ni wachache sana kama asilimia moja tu ila walikua na mchango mkubwa kutokomeza huo ubaguzi na wengi waliuliwa kwa kuwatetea weusi.

Mfano Imam Haroun ambaye alikufa akitetea hio haki

Mazishi yake yalihudhuriwa na watu 40,000 ambao walitembea kilomita 10 kubeba jeneza Lake kama Symbol ya ukombozi.

Si Tu south Africa Waisilamu walishiriki kwenye ukombozi wa Nchi nyingi Africa na Asia wakati wa Ukoloni hata kama wao walikua minority.
Kama historia ya ukombozi wa nchi yao hawaijui wataijua hiyo unayomuelezea,?
 
Hiyo ni kwa mujibu wa msingi gani. Maana kwa wamiliki wa mtume hawawezi kukubaliana na maoni hayo.
Nimekwambia zote ni imani za kuja, kwahiyo lugha haiwezi kuwa kipimo cha usahihi wa imani, ni suala la utaratibu na kila moja lina faida zake na hasara zake
 
Hii dini ya mudi ni utapeli mtupu...mijamaa imejazwa na ikajaa kwel kwel....dini ambayo et Mungu hawez itetea mpk itetewe na binadamu...hakika ni kituko kwa kwel
Sasa unataka Mungu atetee nini? angekuwa anataka kutetea usinge sikia shetani duniani hapa , kila kitu kaumba yeye , hapa anatakiwa binadamu apambane nacho mwenyewe, Mungu anatoa amri kisha binadamu anafanya , ina onekana hujui kitu wewe
 
Tuishukuru Serikali yetu nchi ingekuwa pabaya! Hoja zao:
Zanzibar kujiunga na OIC,Uamsho Zanzibar,Mahakama ya Kadhi,Waislam wachinje siyo Wakristo!
 
Hivi vyote hakuna hata kimoja chenye tatizo kwa wakristo moja kwa moja labda kuchinja, shida mnafundisha uongo hata kwenye mambo ya kawaida
 
Sasa unataka Mungu atetee nini? angekuwa anataka kutetea usinge sikia shetani duniani hapa , kila kitu kaumba yeye , hapa anatakiwa binadamu apambane nacho mwenyewe, Mungu anatoa amri kisha binadamu anafanya , ina onekana hujui kitu wewe
Upuuzi mtupu..kwamba binadamu unamshinda nguvu Mungu?acheni ulimbukeni nyie kobazi
 
Mkuu kama ukiweza, naomba ufafanuzi.
Neno "dini" linapotumika, linamaanisha mfumo wa imani, maadili, na ibada unaoongoza watu katika kuelewa na kutekeleza uhusiano wao na Mungu, miungu, au nguvu za kimaumbile. Dini inahusisha mafundisho ya kiroho na mifumo ya maadili ambayo husaidia kuongoza tabia na mitindo ya maisha ya waumini. Kwa ujumla, dini inaweza kumjumuisha mtu na jamii katika ibada, mila, na taratibu zinazotokana na imani zao.

Dini nyingi duniani zina vipengele kama vile:
  1. Imani ya nguvu kuu (kama Mungu au miungu).
  2. Misingi ya maadili (maadili ya kimaisha na tabia).
  3. Taratibu za ibada (kama sala, dhifa, na sherehe za kidini).
  4. Vitabu vitakatifu (kama Biblia, Qur'ani, Vedas, n.k.).
  5. Mafundisho na hadithi za kifasihi (ambazo hueleza asili na maana ya maisha).
Kwa hivyo, dini inasaidia watu kuelewa nafasi yao katika ulimwengu na inawaongoza katika kufanya maamuzi yaliyo na maana katika maisha yao.

Uislamu ni dini inayotokana na mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW), ambaye aliishi katika karne ya 7 katika Arabuni. Uislamu ni moja ya dini kuu duniani, na waumini wake wanaitwa Waislamu. Neno "Uislamu" linatoka kwenye neno la Kiarabu "Islam" ambalo linamaanisha "kujitiisha" au "kujisalimisha kwa mapenzi ya Mungu."

Uislamu unasisitiza imani kwa Mungu mmoja aliye mkuu, anayejulikana kama Allah kwa Kiarabu. Waumini wa Uislamu wanamwabudu Allah kama Mungu pekee na anayeumba na kutawala kila kitu. Uislamu pia unafundisha kuwa Muhammad ni Mtume wa mwisho na kiongozi wa kidini, ambaye alileta ujumbe wa Allah kwa watu kupitia Qur'ani, kitabu kitakatifu cha Waislamu.

Mambo muhimu ya Uislamu ni pamoja na:
  1. Imani kwa Mungu mmoja (Tawhid): Waislamu wanamwamini Allah kama Mungu mmoja pekee, ambaye hana mshirika na ni mtukufu zaidi kuliko kila kitu kilichopo.
  2. Qur'ani: Kitabu kitakatifu cha Waislamu, kilichoshushwa kwa Mtume Muhammad kupitia Malaika Jibril (Gabriel). Qur'ani inatoa mwongozo wa maisha ya kiroho na kimaadili kwa Waislamu.
  3. Sunna: Mafundisho na mifano ya maisha ya Mtume Muhammad, ambayo pia ni sehemu muhimu ya mafundisho ya Uislamu.
  4. Nguzo tano za Uislamu: Hizi ni misingi mitano inayotumika kuongoza maisha ya kila Muislamu:
    • Shahada (Imani): Kutamka "La ilaaha illallah, Muhammadur rasulullah" (Hakuna Mungu ila Allah, na Muhammad ni Mtume wa Allah).
    • Swala (Sala): Sala tano za kila siku.
    • Zaka (Sadaka): Kutoa mali kwa ajili ya kusaidia masikini na jamii.
    • Sawm (Funga): Kufunga mwezi wa Ramadhani, kuepuka chakula na vinywaji kutoka alfajiri hadi jua kuchwa.
    • Hajj (Hija): Safari ya kidini kwa Waislamu kuenda Makka angalau mara moja maishani, ikiwa ni uwezo wao.
  5. Imani kwa Mitume: Waislamu wanamwamini Muhammad kama mtume wa mwisho, lakini pia wanawaheshimu mitume wengine kama Ibrahim (Ibrahim), Musa (Musa), na Isa (Yesu), ambao walileta ujumbe wa Mungu kwa watu wa nyakati zao.
Kwa ujumla, Uislamu ni dini inayotufundisha kuwa maisha haya ni njia ya kumtumikia Allah kwa kutekeleza maadili mema, kuwa na huruma kwa wengine, na kutafuta amani ya kiroho na kimwili.
 
Asante kwa muswada huu.
Swali kidogo.
Je ni aya gani ambayo inaelekeza au inaamrisha waislam waabudu swala 5 kwa vipaza sauti?

Lugha zingine Allahu anazitambua katika ibada?

Wanawake wana fungu gani peponi? Nao watapewa mabikira?
 
Hiyo aya hakuna.

Allah anatambua lugha zote katika ibada.

Wanawake wema wataenda peponi, Peponi hakuna usagaji hao mabikra wawafanye nini?
 
Upuuzi mtupu..kwamba binadamu unamshinda nguvu Mungu?acheni ulimbukeni nyie kobazi
Kama Mungu anaweza kufanya kwanini atoa amri binadamu ndio wafanye, si ange waua yeye mwenyewe, kwanini awape binadamu jukumu hili la kumwaga damu?

lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako;

Kumbukumbu La Torati 20:17
 
1: Je ni aya gani ambayo inaelekeza au inaamrisha waislam waabudu swala 5 kwa vipaza sauti?
Hiyo aya hakuna.

2: Lugha zingine Allahu anazitambua katika ibada?
Allah anatambua lugha zote katika ibada.

3: Wanawake wana fungu gani peponi? Nao watapewa mabikira?
Wanawake wema wataenda peponi, Peponi hakuna usagaji hao mabikra wawafanye nini?

1: Basi kama hakuna aya, tunaomba wasiendelee kutusumbua alfajili na mapema?

2: Kama anaelewa lugha zingine, mbona hizo swala 5 zinaswaliwa kwa kiarabu?

3: Hata wavulana/wanaume ambao hawajawahi kuonana na wanawake
 
1: Kwani hawana haki ya kufanya hivyo?
Unaweza kuhama sehemu ambayo unaona unasumbuliwa na hizo sauti, zipo sehemu utakuwa unasikia kengele tu unaweza hamia huko.

2: Huo ni utaratibu uliyowekwa ile kuwe na uniformity, ukienda sehemu yoyote duniani swala ni mfumo mmoja tu. Hata nyimbo za taifa huwa haziimbwi kwa lugha nyingine ila ni lugha ileile ya
taifa husika.

3: Hao mnaoita bikra wa peponi ni sawa na wasaidizi wa mtu huko peponi na peponi watu wote watakuwa na umri mmoja kwani ndiyo maisha ya milele, hakuna kuzaana wala kufa.
Hapa duniani ukifungua biashara mfano ya hoteli utaweka wasichana wazuri kama wahudumu, hutoangalia nani anahudumiwa.
 
1: Basi kama hakuna aya, tunaomba wasiendelee kutusumbua alfajili na mapema?

2: Kama anaelewa lugha zingine, mbona hizo swala 5 zinaswaliwa kwa kiarabu?

3: Hata wavulana/wanaume ambao hawajawahi kuonana na wanawake
Mbona huku Kawe Mwamposa anawasha moto tuna mvumilia , na wewe vumilia tu hakuna namna
 
Tapeli vipi wakati mapepo yanatoka kwa jina la Yesu, viwete wanatembea, vipofu wanaona, na shuhuda zinatoka

Msimsogelee. Anatapeli huyo. Kama anafufua walio kufa aende Mlonganzila
😂
 
Back
Top Bottom