adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Pole sana, wengi wanapitia hiyo changamoto. Uislamu unapenda sana kumlazimisha mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, wengi wanapitia hiyo changamoto. Uislamu unapenda sana kumlazimisha mtu.
Kemea mabaya yanayofanywa kwa mgongo wa kutetea uislamMtauponda sana Uislamu mtafungua nyuzi mpk zitafika 5000 lkn ukweli haufichiki
Watu wanatafuta ukweli na wakishaujua wanaufuata iyo dhana yko haipewi kipaumbele kabisaaaa kwaio ww jiandae kutafuta jongoo kwa meno tu.
( ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُم بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ )
النحل (125) An-Nahl
Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka.
AM PROUD TO BE MUSLIM
Fanya jambo utafiti makini kabla ya kuongea .Ni hatari
Kinachoharibu uislamu ni kitendo cha kumpigania mungu, unajiuliza huyo mungu ama kibwengo?
Mbaya zaidi mungu anatoa ahadi za wanaompigania za kingono kingono tu, yaani ahadi ni wanawake tu na pombe. Yaani mungu ameandaa mbingu ya kwenda kupigana miti na kulewa tu, hakuna kingine.
Wakati mwingine unajiuliza hiyo ni mbingu ama gesti za kut.ombania?
Wana akili ndogo sanaWaarabu naweza sema wana akili za panzi, hivi wanakubali vipi kuchonganishwa na hao CIA mpaka wanaenda kujilipua misikitini na kuua watu wasio na hatia?
MPENDE MSIPENDE HATA MKIZUIA VIPI BADO MUNGU YESU ATAABUDIWA TU MBELE YENU NA JANA IMEJIDHIHIRISHA.Fanya jambo utafiti makini kabla ya kuongea .
Hapa kwenye Bible Mungu mpaka alivyotoa amri hii unaweza kutoa ufafanuzi ?View attachment 2423559
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustaili kujibiwa , nakupuuza kuanzia sasa maana ulichokiandika na picha uliyoweka hata mkiristo mwenzako akisoma ataona aibu na kujua kabisa huyu mtu kichwani hamna kituMPENDE MSIPENDE HATA MKIZUIA VIPI BADO MUNGU YESU ATAABUDIWA TU MBELE YENU NA JANA IMEJIDHIHIRISHA.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
View attachment 2423568
Hujajibu swali nenda straight..mbona unazunguka mbuyu.Kila kwenye original feki hawakosekani, kwani hawa manabii wa uongo wanaouzia watu huduma ni maagizo ya Biblia? Jambo lolote lifanywalo na halipo kwenye maandiko sio la kidini bali ni utashi binafsi wa walevi wasio jua misingi ya dini.
Ishu ya kuchinja ni ya kibiashara zaidi. SAsa hao wahuni wa huko Mtwara silaha wanapata wapi hali boda zote zipo controled.
Mlitoa tamko la kulaani uhuni wao..au mmeachia wahuni wauharibu uislamu huku mkichekelea??Wale ni wahuni walioendeshwa na ushabiki tu
Jibu maswali straight acha mbwembwe?
Tuachane na silaha hela wanapata wapi za kununulia hizo silaha.?Makundi ya kigaidi yanapata wapi silaha hali mipakani kuna ulinzi. Conspiracy
Kwanini ajifiche kwenye dini..kama dini imekataza kwanini usa na washirika wake ndio waliomsaka hadi kumuua na hakuna taifa lolote ama umma wowote wa kiislamu ulio laani vitendo vya osama achilia mbali magaidi yaliyotapakaa maeneo mengi afrika na mashariki ya kati.Osama bin laden alikuwa ni kafiri akitumika na freemason Ili kuuchafua uislamu, hakuwa Muislamu, halipigania maslai ya dunia. Ugomvi wake na USA ulitokana na ishu ya kuzulumiana malipo baada ya mission yake ya kumtimua Mrusi Afghanistan akishirikiana na talebani so akajifichia kwenye dini
Wewe si una muunga mkono Putin..kuhusu dini gani wewe unajua pia.Mleta mada Putin NI dini gani?,
Kagame NI dini gani?Joe Biden NI dini gani?
Haiingii akilini iwe wale ni wanatafuta maisha alafu iwe wako tayari kufa kwa lolote,mtu anayetafuta maisha hawezi kuwa tayari kujiripua kwa sababu akijiripua hayo maisha anayakosa.Uislamu upi unaouzungumzia? Ukiusoma uislamu utakuta mtume amewaita wapiganaji kama hawa kuwa ni MBWA wa motoni. Ukisoma elimu ya kimazingira utakuja kugungua ni kundi la watu watafuta maisha kama watafuta maisha wengine. Haya makundi yanaanzishwa na kufadhiliwa na CIA katika mikakati Yao kuchonganisha na kuiba kwa mgongo wa kujifanya wanatoa msaada wa kupambana na magaidi. Kwahiyo mfumo kristo unahusika pakubwa na uanzishwaji wa haya makundi Ili wakristo njaa kama wewe muanze kuutukana uislamu. Pole sana mkuu
Leta ushahidi..ukisimamishwa mahakamani kutoa ushahidi utatoa??Pia usisahau kuwa hayo makundi yanafadhiliwa na serikali ya marekani na serikali nyingine
Majibu ya maswali yako ni "WAISLAMU".Naomba nijibiwe maswali haya.
Zile chokochoko za kumwagia tindikali mapardi na kuwauwa huko zenji zililetwa na waumini wa dini gani?
Yale maandamano ya kupinga ujenzi wa kanisa huko pemba yalifanywa na waumini wa dini gani.?
Yale mauwaji na utekaji uliofanyika tandahimba kijiji cha kitaya ulifanywa na kundi la imani gani?
Wale walio andamana magomeni na kuvunja mabucha ya kitimoto walikua wa imani gani?
Zile fujo zilizotokea mikoa mbalimbali tz za kugombe nafasi ya kuchinja machinjioni zililetwa na watu wa imani gani?
NB.jibu bila kupanic au kutoka nje ya maswali.
#MaendeleoHayanaChama