Uislam ni dini inayoleta vurugu na kuharibu amani ya ulimwengu

Kemea mabaya yanayofanywa kwa mgongo wa kutetea uislam
 
Unaweza ukathibitishaje hayo matendo ya ugaidi yameamrishwa kwenye aya gani ya Quran. Kama Hakuna sura inayofundisha huo ushetan waufanyao utasema vipi magaidi ni waislamu?
 
Fanya jambo utafiti makini kabla ya kuongea .

Hapa kwenye Bible Mungu mpaka alivyotoa amri hii unaweza kutoa ufafanuzi ?
 
Fanya jambo utafiti makini kabla ya kuongea .

Hapa kwenye Bible Mungu mpaka alivyotoa amri hii unaweza kutoa ufafanuzi ?View attachment 2423559
MPENDE MSIPENDE HATA MKIZUIA VIPI BADO MUNGU YESU ATAABUDIWA TU MBELE YENU NA JANA IMEJIDHIHIRISHA.

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

 
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustaili kujibiwa , nakupuuza kuanzia sasa maana ulichokiandika na picha uliyoweka hata mkiristo mwenzako akisoma ataona aibu na kujua kabisa huyu mtu kichwani hamna kitu

#Nimemaliza
 
Osama bin laden alikuwa ni kafiri akitumika na freemason Ili kuuchafua uislamu, hakuwa Muislamu, halipigania maslai ya dunia. Ugomvi wake na USA ulitokana na ishu ya kuzulumiana malipo baada ya mission yake ya kumtimua Mrusi Afghanistan akishirikiana na talebani so akajifichia kwenye dini
 
Hujajibu swali nenda straight..mbona unazunguka mbuyu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mleta mada Putin NI dini gani?,
Kagame NI dini gani?Joe Biden NI dini gani?
 
Kwanini ajifiche kwenye dini..kama dini imekataza kwanini usa na washirika wake ndio waliomsaka hadi kumuua na hakuna taifa lolote ama umma wowote wa kiislamu ulio laani vitendo vya osama achilia mbali magaidi yaliyotapakaa maeneo mengi afrika na mashariki ya kati.

Hapa juzi waislamu wapemba wameandamana kupinga ujezi wa kanisa..nionnyeshe wapi waraka mmetoa kulaani maandamano hayo..sio SMZ ama umma wa waislamu Tanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Pia usisahau kuwa hayo makundi yanafadhiliwa na Serikali ya Marekani na Serikali nyingine
 
Mleta mada Putin NI dini gani?,
Kagame NI dini gani?Joe Biden NI dini gani?
Wewe si una muunga mkono Putin..kuhusu dini gani wewe unajua pia.

Ila hao hawapiganii kusimamisha IS..wao wana maslahi yao ya kisiasa na kiuchumi.

Tofautisha wanachokipigania na makundi ya kigaidi yanachokipigania.

Ni ngumu sana kuutofautisha uislam na ugaidi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Haiingii akilini iwe wale ni wanatafuta maisha alafu iwe wako tayari kufa kwa lolote,mtu anayetafuta maisha hawezi kuwa tayari kujiripua kwa sababu akijiripua hayo maisha anayakosa.

The truth ni kwamba hawa watu wanaimani kwamba wanataguta pepo na wanaamini kwamba hayo ndio mafundisho ya uislamu.

Usisingizie mfumo kristo wala mfumo gani,hawa ni watu wenye itikadi zao fulani kali ambazo wanaamini ndio sahihi.

Tusiubebeshe lawama mfumo kristo wala mfumo ungine bali ni jukumu letu sote kukaa chini na kuona namna gani tunaweza kuondoa hizi itikadi chafu kwenye jamii kwa sababu tayari ni tatizo.
 
Majibu ya maswali yako ni "WAISLAMU".

Sijui kwa nini waislamu tunaona tabu kuukubali huu ukweli, tukikataa tu hatujengi na hatutotatua taizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…