Sasa kama una utulivu mbona ulileta swali ambalo nawe unajua halina mantiki?wanaposema kuuliza si ujinga haitoi nafasi ya kuuliza maswali ya kijinga.Mimi tulivu kabisa.Kama wazo lako ni hilo basi matumizi yako ya muda si mazuri.
Hahahahaaa! Umefurahi?Sasa kama una utulivu mbona ulileta swali ambalo nawe unajua halina mantiki?wanaposema kuuliza si ujinga haitoi nafasi ya kuuliza maswali ya kijinga.
Niliona mkuu.Shukrani.Mkuu nilikujibu huko juu sijui uliona
Wala hawapati shida ila wanawaweka sana..sema vilaza kama wewe ndio unateseka.Huu mwezi mafarisayo na makardayo huwa wanapata shida sana
Dash nimepata shida sana kuelewa unachomaanisha hapaWala hawapati shida ila wanawaweka sana..sema vilaza kama wewe ndio unateseka.
#MaendeleoHayanaChama
🤣Mida ya misosi ndio inakaribiaaView attachment 2173963View attachment 2173964