Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

Umekatazwa na nani kula hiyo hadharani unayotaka? Labda tuanzie hapo

Usijenge dhana uislam uonekane mbaya kwa mawazo ya dizaini hii
 
Kwa hiyo hamta kula hadharani?na kama mtakula malalamiko ni ya nini?
 
Mida ya misosi ndio inakaribiaaView attachment 2173963
images%20(1).jpg
 
Samahan mtoa post, nauliza kati ya Mtume na Allah nani ambaye ana mamlaka ya kukataza? Maana umesema hakuna mahali mtume amekataza…
 
Back
Top Bottom