Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake

Tumia akili hata hizi dini zililetwa na watu wema ila watu waovu wamezimiliki kwa ouvu wao wanazitumia ..nilikuambia kuwa wewe uwezo wako kiakili ni mdogo ..
Nyerere aliwahu kusema anashangaa ccm ina acha mema aliyofanya na kuchukua mabaya s yaliyo kosewa
Mjerumani aliyemuuwa kinjeketile na kuchukuwa kichwa chake Ujerumani ni mwema ? Akili Za kanisa hizo. Nyerere huyo mnafiki , mbona alizuia serikali tatu kutoka G 55.
 
Moja kwa moja..

Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo gani yanaendelea waulizeni Hamas waliona bora kukiwasha kuliko unyonge sasa wamepata Faida na madhara gani , cheki Sudan mambo ya kupindua utawala yamepeleka uovu zaidi na hali mbaya mno , Libya nk mnoshadadia tukiwashe hamjui huku kwetu machafuko yatafika mbali kiasi gani na kusababisha madhara gani , kwa sisi ambao tumewahi kuishi sehemu kukiwa na mabomu na mitutu mara kwa mara tunaelewa Amani ni jambo zito kiasi gani.

Uislamu ni dini kamili ina sheria na miongozo yake inayojitosheleza katika kila jambo na tatizo lilipo Waislamu wengi tumekuwa wavivu wa kukaa chini kusoma dini yetu kwa uhakika na usahihi na hili swala ndio chanzo kikubwa cha matatizo kwa Umma wa Kiislamu kupelekea wengi kufuata mihemko , mkumbo na matamanio ndio maana Kuna kipindi baadhi ya Waislamu Osama walimuona kama Kidume na shujaa wa Kiislamu , wengine wakafuata mikumbo kuingia katika makundi potofu ya Jihadi na kuanzisha vuguvugu mbalimbali.

Na upande wa Wakristo wengi pia hawana ufahamu sahihi na Elimu ya uhakika kuhusu Uislamu ndio maana sio ajabu kukuta eti Mkiristo kukuambia Qur'an ina majini , Kufunga majini nk . Tatizo hili kuu la kukosa Elimu limepelekea wengi katika Wakristo au Waislamu ukiwaelekeza jambo Fulani la sawa kuhusu Uislamu wanaona kama ni jambo geni kwao na wanaweza kukupinga tu.

MIAKA YA VUGUVUGU ZA UASI KWA WAISLAMU

Kama mnakumbukumbu vizuri miaka kuanzia 2010 - 2013 hapa bongo kulitokea vuguvugu kubwa lililopamba moto kwa Waislamu wanaonewa na serikali katika nyanja mbalimbali na wengine wanaojiita Masheikh walikuwa Mstari wa mbele waliwahamaisha kuhamasisha maandamano, Fujo , uasi nk na ilileta madhara makubwa mpaka serikali ikaamua sasa kuvalia njuga ikakamata Masheikh na watu wengi Wenye hatia , wasio na hatia hata redio Moja maarufu ya Waislamu ilifungiwa kutokana na kuchochea chuki na uasi hatimaye hali ikapoa vuguvugu likapotea mpka sasa hali shwari.

MAANDIKO YANASEMAJE ?

Uasi (khurooj) hufafanuliwa kama kujaribu kunyang’anya mamlaka kutoka kwa mtawala, kumpinga hadharani, kujaribu kumwondoa madarakani kwa nguvu, kuwachochea watu dhidi yake (kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, maandamano ya barabarani, migomo, n.k.), kupanga njama dhidi yake na kuinuka kumpinga kwa maandishi, kwa khutuba au kwa upanga.

Haya yote yanachukuliwa kuwa ni khurooj. Mtume (ﷺ) alikataza jambo hili katika hadithi zilizo wazi na zenye nguvu. Hadithi ambazo haziwezi kupingwa na matamanio, maoni binafsi au akili, wala kwa maamuzi yasiyo sahihi ya watu, bila kujali daraja yao mbele ya watu. Mtume (ﷺ) alizungumza kwa wahyi (ufunuo) kutoka kwa Allah, lakini waliokuja baada yake hawakuwa na wahyi. Kwa sababu hiyo, wakati ijmā’ (makubaliano ya pamoja ya wanazuoni) ilipothibitishwa, hakuna aliyepinga isipokuwa Khawārij, Shia, Mu’tazilah na matawi yao hadi wakati wetu huu.

Imepokewa na Muslim katika Sahih yake (1847) kutoka kwa Wā’il Ibn Hujr kuwa: Salamah Ibn Yazeed Al-Ju’fee alimuuliza Mtume wa Allah (ﷺ): “Ewe Mtume wa Allah, tufanye nini ikiwa tutakuwa na watawala juu yetu wanaotaka haki zao lakini wanatunyima haki zetu?” Akajibu: “Wasikilizeni na watiini [bila kujali]. Juu yao ni mzigo wao, na juu yenu ni mzigo wenu .”

MY TAKE :

Fikra za Kikhawarij (kutoka chini ya utii wa matawala ) ndio zimesababisha madhara ya Leo kuwepo Al Shabaab, Al Qaeda , Boko Haram nk wote hawa madai yao kwamba watawala hawaendesh kisawasawa wanaendesha mambo Kikafiri vurugu , kuingia msituni na kutoka dhidi yake.

Kubadilisha mtawala sio solutions ya matatizo yote ya kutawala , wakati wa kifo cha JPM baadhi ya watu mlishangilia na kumdhihaki vibaya mno na kuona matatizo yameisha na makundi yote yaliungana na kuimba mapambio ya "Mama anaupia mwingi " kuwaumiza wafuasi wa JPM sasa mmebadili gia angani.

Uzi huu unaendelea maana bado sijatoa solutions na Kuna mambo Muhimu bado sijayagusia

UPDATES :

1. Tuone kwa Manabii wa Mwenyezi Mungu

Nabii Musa (Amani iwe juu yake ) alikuta Wana wa Israeli wakionewa chini ya utawala wa Kiongozi Dhalimu mkubwa Firauni lakini hakuwa kuhubili Wana wa Israeli wafanye njama ya kumtoa Firauni Madarakani au wafanye maandamano na Uasi bali yeye aliwaningania katika neno la Mungu .

Na hiyo ndio wito wa Manabii mara nyingi hawapendi kushindana na Serikali kwa kutaka kupanga njama za kuwapondua uasi , fujo nk wao wamefocuos kuwapa neno la haki kwa njia Bora . Mfano Yesu , Nuh , Shuayb, Yusuph na wengineo ( Amani iwe juu Yao wote
a)Kutoka kwenye maisha ya Kiigizo chema Mtume Muhammad (ﷺ)

Msingi mwingine dini ya Uislamu katika kila ibada kiigizo chetu ni Mtume Muhammad (ﷺ) lazima iangaliwe yeye alifanya vipi ili jambo liitwe dini kinyume na hapo ni uzushi , sasa angalia maisha yake kipindi Cha utume katika mji wa Makkah ambapo Uislamu ulipokuwa hauna nguvu. Je , Waislamu wangapi waliuwawa kwa dhuluma , kuteswa , kuporwa mali zao , dhihaka na madhila mengine makubwa ? Je alimarisha kisasi , maandamano, Fujo , njama , mapinduzi nk ?

Jawabu hapana, walifanya subra na wakamcha Allaah hatimaye wakafanya Hijra kuhamia Madina ili kuepuka dhuluma na manyaso na sio kutumia Maguvu kuminyana na watawala wakati hata nguvu zenyewe hauna na madhara yatakayo patikana kwa watu ni makubwa mno.

#LindaAmaniYaNchiYako

View attachment 3353969
Moroco na Madagascar ni dini gani?
 
Moroco na Madagascar ni dini gani maana juzi kati yaliibuka
 
Mjerumani aliyemuuwa kinjeketile na kuchukuwa kichwa chake Ujerumani ni mwema ? Akili Za kanisa hizo. Nyerere huyo mnafiki , mbona alizuia serikali tatu kutoka G 55.
Kwani serikali moja ni kosa au mbili ni kosa au 3 ni kosa ? Kosa linakuja kwa namna jamii ilivyo ovu yenyewe...nyerere angeweka serikali moja bado tungegombana tu na angeweka serikali 3 bado tungegombana ...hivyo tatizo siyo serikali 1,2,au 3 au 4 tatizo ni sisi wenyewe kukosa utu mfano ni kama mambo ya doa... wenye wake wengi wanamafarakano na mwenye mke mmoja ana mafarakano je tatizo ni nini ? Ni mke mmoja au wawili au watatu au wanne ? Mbona wenye mke mmoja wanafarakana pia na wenye wake wa 3 wanafarakana ? Hivyo uamuzi wa kutaka srikali 3 ni matokeo ya uovu wetu wenyewe kuwa hatuwezi kueshimiana katika haki na roho za ubinafsi na choyo na chuki na udini na ukabila nk
 
Kwani serikali moja ni kosa au mbili ni kosa au 3 ni kosa ? Kosa linakuja kwa namna jamii ilivyo ovu yenyewe...nyerere angeweka serikali moja bado tungegombana tu na angeweka serikali 3 bado tungegombana ...hivyo tatizo suyo serikali 1,2,au 4 au 4 tatizo ni sisi wenyewe kukosa utu mwrmba ni kama doa wenye wake wengi wanamafarakano na mwenye mke mmoja ana mafarakano je tatizo ni nini ? Ni mke mmoja au wawili au watatu au wanne ? Mbona wenye mke mmoja wanafarakana pia na wenye wake wa 3 wanafarakana ? Hivyo uamuzi wa kutaka srikali 3 ni matokeo ya uovu wetu wenyewe kuwa hatuwezi kueshimiana katika haki na roho za ubinafsi na choyo na chuki na udini na ukabila nk
Hiyo tungegombana alikuambia Nani? Kwa hivyo hivi Sasa hamna ugomvi ? Au huoni watu wanavyotekwa na kuuliwa ? Hayo yote ni maovu ya Nyerere aliyeupanda huu mti. Na sijui una umri gani kwani sisi tunamkumbuka alivyokuwa akiwalinda mafisadi akina Mgonja
 
Ndiyo maana nikakuambia swala siyo nyerere swala ni sisi kushindwa kujua cha kufanya au uovu wetu ...kwani nyerere leo ndiye anaye zuia serikali 3 kwani nyerere yupo? Kwanini waislamu kina samia na kikwete awataki kuleta serikali 3 kumbuka kuwa serikali zote tz ni waislamu wanaziongoza kwa sasa tena wazanzibar
 
Yote ni Nyerere, tokea mwanzo ndiye source ya matatizo yote , inabidi umsikilize Lissu hujaribu sana kuwaelimisha lakini mnakuwa na akili Za mchicha. Kwanza uvamizi wake kwa Zanzibar na kuuwa watu zaidi ya elfu10 kwa siku moja ni ushahidi tosha wa hili jinamizi
 
Kama siyo nyererr leo hii waarabu wangekuueni wabantu wote Zanzibar na kuwa kisiwa cha waarabu ...tazama kilicho wakuta wamisri baada ya kukalibisha Uislamu wa muarabu leo misri ni nchi ya waarabu
 
Mwarabu gani aliyekuwa kwenye vyama? Ni Nani alitekwa na mwarabu na kuuawa. Othman Sharif, , Hanga ,wote walitekwa na Nyerere usiku majumbani mwao na kuuliwa. Serikali ya Shamte mpemba wa Chambani ilivamiwa na Nyerere baadaye akawafunga kwenye jela Za Tanganyika kwa miaka10 bila kuwafikisha Mahakama i. Kuna mwarabu hapo. Hizo ni siasa Za Nyerere na kanisa lake
 
Ndio maana nchi hii haina Dini ya Kaisari tunamuachie Kaisari; Hata Wakristu ni mulemule rahisi kwa watawala kuwatumia kwamba inabidi kuheshimu Mamlaka hivyo inabidi kumuachia Mungu....

By the way katika huu mtanange Maboss ni Sisi Wenye Nchi kwahio watumishi wetu inabidi watuheshimu sisi walipa Kodi
 
Mwarabu gani aliyekuwa kwenye vyama
Swali mbona aliekeweki au umesha changanyikiwa 😁😁😁😁 ndiyo maana nimewatagi waislamu wenzio waje kukusahidia kujibu
 
Mwarabu gani aliyekuwa kwenye vyama? Ni Nani alitekwa na mwarabu na kuuawa. Othman Sharif, , Tesla wote walitekwa na Nyerere usiku majumbani mwao na kuuliwa. Serikali ya Shamte mpemba wa Chambani ilivamiwa na Nyerere baadaye akawafunga kwenye jela Za Tanganyika kwa miaka10 bila kuwafikisha Mahakama i. Kuna mwarabu hapo. Hizo ni siasa Za Nyerere na kanisa lake
Umezaliwa mwaka gani ujui kuwa muarabu wa Zanzibar aligeuza bara kama mbuga yake ya kuvuna na kuua watu watumwa alikuwa anawachukua bara au umesha changanyikiwa ...muarabu wa Zanzibar kaua sana wabara..na kuwatesa nampongeza sana nyerere kwa kuwachinja hao nguruwe
 
Mjerumani aliyemuuwa kinjeketile na kuchukuwa kichwa chake Ujerumani ni mwema ? Akili Za kanisa hizo. Nyerere huyo mnafiki , mbona alizuia serikali tatu kutoka G 55.
Sikusema kuletwa africa tumia akili nilimaanisha mitume na manabii... wewe ngedere
 
Moja kwa moja..

Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo gani yanaendelea waulizeni Hamas waliona bora kukiwasha kuliko unyonge sasa wamepata Faida na madhara gani , cheki Sudan mambo ya kupindua utawala yamepeleka uovu zaidi na hali mbaya mno , Libya nk mnoshadadia tukiwashe hamjui huku kwetu machafuko yatafika mbali kiasi gani na kusababisha madhara gani , kwa sisi ambao tumewahi kuishi sehemu kukiwa na mabomu na mitutu mara kwa mara tunaelewa Amani ni jambo zito kiasi gani.

Uislamu ni dini kamili ina sheria na miongozo yake inayojitosheleza katika kila jambo na tatizo lilipo Waislamu wengi tumekuwa wavivu wa kukaa chini kusoma dini yetu kwa uhakika na usahihi na hili swala ndio chanzo kikubwa cha matatizo kwa Umma wa Kiislamu kupelekea wengi kufuata mihemko , mkumbo na matamanio ndio maana Kuna kipindi baadhi ya Waislamu Osama walimuona kama Kidume na shujaa wa Kiislamu , wengine wakafuata mikumbo kuingia katika makundi potofu ya Jihadi na kuanzisha vuguvugu mbalimbali.

Na upande wa Wakristo wengi pia hawana ufahamu sahihi na Elimu ya uhakika kuhusu Uislamu ndio maana sio ajabu kukuta eti Mkiristo kukuambia Qur'an ina majini , Kufunga majini nk . Tatizo hili kuu la kukosa Elimu limepelekea wengi katika Wakristo au Waislamu ukiwaelekeza jambo Fulani la sawa kuhusu Uislamu wanaona kama ni jambo geni kwao na wanaweza kukupinga tu.

MIAKA YA VUGUVUGU ZA UASI KWA WAISLAMU

Kama mnakumbukumbu vizuri miaka kuanzia 2010 - 2013 hapa bongo kulitokea vuguvugu kubwa lililopamba moto kwa Waislamu wanaonewa na serikali katika nyanja mbalimbali na wengine wanaojiita Masheikh walikuwa Mstari wa mbele waliwahamaisha kuhamasisha maandamano, Fujo , uasi nk na ilileta madhara makubwa mpaka serikali ikaamua sasa kuvalia njuga ikakamata Masheikh na watu wengi Wenye hatia , wasio na hatia hata redio Moja maarufu ya Waislamu ilifungiwa kutokana na kuchochea chuki na uasi hatimaye hali ikapoa vuguvugu likapotea mpka sasa hali shwari.

MAANDIKO YANASEMAJE ?

Uasi (khurooj) hufafanuliwa kama kujaribu kunyang’anya mamlaka kutoka kwa mtawala, kumpinga hadharani, kujaribu kumwondoa madarakani kwa nguvu, kuwachochea watu dhidi yake (kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, maandamano ya barabarani, migomo, n.k.), kupanga njama dhidi yake na kuinuka kumpinga kwa maandishi, kwa khutuba au kwa upanga.

Haya yote yanachukuliwa kuwa ni khurooj. Mtume (ﷺ) alikataza jambo hili katika hadithi zilizo wazi na zenye nguvu. Hadithi ambazo haziwezi kupingwa na matamanio, maoni binafsi au akili, wala kwa maamuzi yasiyo sahihi ya watu, bila kujali daraja yao mbele ya watu. Mtume (ﷺ) alizungumza kwa wahyi (ufunuo) kutoka kwa Allah, lakini waliokuja baada yake hawakuwa na wahyi. Kwa sababu hiyo, wakati ijmā’ (makubaliano ya pamoja ya wanazuoni) ilipothibitishwa, hakuna aliyepinga isipokuwa Khawārij, Shia, Mu’tazilah na matawi yao hadi wakati wetu huu.

Imepokewa na Muslim katika Sahih yake (1847) kutoka kwa Wā’il Ibn Hujr kuwa: Salamah Ibn Yazeed Al-Ju’fee alimuuliza Mtume wa Allah (ﷺ): “Ewe Mtume wa Allah, tufanye nini ikiwa tutakuwa na watawala juu yetu wanaotaka haki zao lakini wanatunyima haki zetu?” Akajibu: “Wasikilizeni na watiini [bila kujali]. Juu yao ni mzigo wao, na juu yenu ni mzigo wenu .”

MY TAKE :

Fikra za Kikhawarij (kutoka chini ya utii wa matawala ) ndio zimesababisha madhara ya Leo kuwepo Al Shabaab, Al Qaeda , Boko Haram nk wote hawa madai yao kwamba watawala hawaendesh kisawasawa wanaendesha mambo Kikafiri vurugu , kuingia msituni na kutoka dhidi yake.

Kubadilisha mtawala sio solutions ya matatizo yote ya kutawala , wakati wa kifo cha JPM baadhi ya watu mlishangilia na kumdhihaki vibaya mno na kuona matatizo yameisha na makundi yote yaliungana na kuimba mapambio ya "Mama anaupia mwingi " kuwaumiza wafuasi wa JPM sasa mmebadili gia angani.

Uzi huu unaendelea maana bado sijatoa solutions na Kuna mambo Muhimu bado sijayagusia

UPDATES :

1. Tuone kwa Manabii wa Mwenyezi Mungu

Nabii Musa (Amani iwe juu yake ) alikuta Wana wa Israeli wakionewa chini ya utawala wa Kiongozi Dhalimu mkubwa Firauni lakini hakuwa kuhubili Wana wa Israeli wafanye njama ya kumtoa Firauni Madarakani au wafanye maandamano na Uasi bali yeye aliwaningania katika neno la Mungu .

Na hiyo ndio wito wa Manabii mara nyingi hawapendi kushindana na Serikali kwa kutaka kupanga njama za kuwapondua uasi , fujo nk wao wamefocuos kuwapa neno la haki kwa njia Bora . Mfano Yesu , Nuh , Shuayb, Yusuph na wengineo ( Amani iwe juu Yao wote
a)Kutoka kwenye maisha ya Kiigizo chema Mtume Muhammad (ﷺ)

Msingi mwingine dini ya Uislamu katika kila ibada kiigizo chetu ni Mtume Muhammad (ﷺ) lazima iangaliwe yeye alifanya vipi ili jambo liitwe dini kinyume na hapo ni uzushi , sasa angalia maisha yake kipindi Cha utume katika mji wa Makkah ambapo Uislamu ulipokuwa hauna nguvu. Je , Waislamu wangapi waliuwawa kwa dhuluma , kuteswa , kuporwa mali zao , dhihaka na madhila mengine makubwa ? Je alimarisha kisasi , maandamano, Fujo , njama , mapinduzi nk ?

Jawabu hapana, walifanya subra na wakamcha Allaah hatimaye wakafanya Hijra kuhamia Madina ili kuepuka dhuluma na manyaso na sio kutumia Maguvu kuminyana na watawala wakati hata nguvu zenyewe hauna na madhara yatakayo patikana kwa watu ni makubwa mno.

#LindaAmaniYaNchiYako

View attachment 3353969
Hawa waisalmu wa morocco ni makafiri sana kwanini wanaandamana.

Says mmatumbi kutoka ofisi ya mtolo.
 
Umezaliwa mwaka gani ujui kuwa muarabu wa Zanzibar aligeuza bara kama mbuga yake ya kuvuna na kuua watu watumwa alikuwa anawachukua bara au umesha changanyikiwa ...muarabu wa Zanzibar kaua sana wabara..na kuwatesa nampongeza sana nyerere kwa kuwachinja hao nguruwe

Tokea lini Shamte akawa mwarabu na aligeuza mbuga ipi ? na alimchinja nani ? Unaakili wewe ? huna hoja unaanza kurusha vichwa. Hivi Hanga alikuwa mwarabu au Twala au othman sharif ndio Nyerere akawateka usiku na kuwauwa ??
 
Kama siyo nyererr leo hii waarabu wangekuueni wabantu wote Zanzibar na kuwa kisiwa cha waarabu ...tazama kilicho wakuta wamisri baada ya kukalibisha Uislamu wa muarabu leo misri ni nchi ya waarabu

Kumbe hawa wanaotuuwa hivi sasa nao kumbe ni waarabu na hawa waliomteka Mdude , Kibao, na wengine na wale waliompiga risasi Lisu kumbe ni waarabu ??
 
Nani kasema waarabu tu ndiyo wanaua ...jibu swali langu kwanza ...muhammad ni dhehebu gani ? Ni wahy kutoka kwa nani mmeupokea hadi kuanzisha madhehebu ?
 
Kwani yesu anaujuwa ukristo hata uanze kuleta mambo ya madhehebu na dini hapa ?? , umechanganyikiwa ?? si ulisema kuwa waarabu waliuwa watu tanganyika ndio Nyerere akawauwa huku zanzibar au vipi ?? ndio nikakuuliza jee hawa akina Kibao na wengine waliuliwa na waarabu ?? au Lissu alipigwa risasi na waarabu ?? Mimi nakuletea majina ya waliouliwa , wewe niletee jina la mtu mmoja tu aliyeuliwa na mwarabu Tanganyika au alitekwa na mwarabu. Usituletee mambo ya Madhehebu hapa au umechanganyikiwa ??
 
Hawa waisalmu wa morocco ni makafiri sana kwanini wanaandamana.

Says mmatumbi kutoka ofisi ya mtolo.
Huna akili , Maarrass!

Wanafuatwa watu au maandiko na Sheria ?

Mfano Vatican wakiruhusu ushoga na Papa akasema Yes , wewe utafuata Biblia au Vatican?
 
Moroco na Madagascar ni dini gani maana juzi kati yaliibuka
Wanafutwa watu na matamanio yao au maandiko ?

Wapi imesemwa tuifuate Morocco au Madagascar ?

Vatican wakiruhusu ushoga na Papa akasema Yes, basi Wakristo watafuata bila kucheki kwenye Bible ?

Saudi Arabia wakiruhusu pombe na miziki basi Waislamu tunapaswa tuifuate bila kuVerify kutoka kwenye Qu'ran na Sunnah ?
 
Back
Top Bottom