Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake

Nakuuliza wewe unaona ni kipi bora kwa Palestine kupata nchi yao na kuondokana na uonevu wa miaka yote ya Israel kwa miaka zaidi ya 70 wafanye nini tofauti na kilichofanywa na kinachofanywa na Hamas ?

Nakukumbusha unapojibu swali hili kumbuka Gaza ni gereza la Israel kwa miaka na miaka na mashambulizi ya Hamas ya oktoba yalifanyika katika maeneo ya walowezi wa Israel.
Mlango muhimu katika Uislamu ni kupima baina ya Maslahi(Faida ) na Mafisadi (Hasara) kwa kila jambo na focus inakuwa kwanza kuondoa Madhara kuliko kupata Faida na kama jambo madhara yake ni makubwa kuliko Faida basi tunaacha nalo .

Kwa msingi huo ndio najibu swali lako ni kweli Wapalestina kwa miaka Mingi wanaonewa hata Mimi inaniumiza sana . Sasa inajulikana wazi tabia ya Mayahudi hawana huruma ukiingia kwenye 18 zao na uwezo wa kupambana nao hauna na ukijaribu maafa makubwa kuliko manufaa.

Sasa hapo Bora jambo la kupigana uachane nao uishi kinyonge , pigana ukiwa na uhakika kuwa adui yako mna nguvu sawa na unaweza kumshinda vinginevyo utajisabaishia tabu kubwa mno.

Kwa maelezo zaidi soma huu Uzi wangu.

Cc : Baljurashi
 
Utawala wa Sharia
Namsubiri aje hapa amtetee mtume wake chawa huyu wa sasha.

Huyu sijui ana uongelea na kuwa ongelea waislam gani nafikiri hata Masheikh wa muamsho sidhani kama hata ana wafahamu vyema, sina hakika hata Sheikh Ponda ana mzingatia, sidhani tena hata historia ya Tanganyika na mchango wa waislam katika harakati za uhuru toka mikononi mwa watu weupe kama anafahamu.

Huyu sijui Uislamu gani anataka kuulezea hapa Uislamu wa kichawa chawa lakini Uislamu na waislam nao wafahamu neno haki ni neno muhimu sana katika dini yao na mahali popote pale haki zao zinapo vunjwa huzipigania hata kwa ncha ya upanga hii ni toka kale toka zama za mtume wake.
 
Utawala uliopatikana kwa demokrasia.

Unafahamu maana ya serikari ya kidemokrasia?

Unaongoza kutokana na matakwa ya wengi, wengi wape.

Uislamu umebase kwenye mfumo wa kiimla, kidictator na ukandimazaji.

Si mfano sahihi kwa serikari iliyochaguliwa kidemokrasia hata kidogo.

Tuteee na kupenda Raisi wetu kwa mifano sahihi ila huu wa kidini na kiimla kwa nchi ya kidemokrasia na isiyo na dini, si sahihi
 
Malalamiko ya Kenya ni tofauti na Tanzania
Mkuu wakenya hawampendi Ruto.Walitaka mswada flani usipite lakini bunge likaupitisha,,vurugu ilikuwa kubwa na watu wakafa..ili kupata katiba mpya watu walikufa na baada ya kupata katiba mpya still watu wanakufa..Mi nadhani siasa ya afrika inataka ufumbuzi WA watu huru wasio wanasiasa.
 
Uislam una njia rahisi sana ya kudeal na kiongozi dhalimu. Njia yenyewe ni kuuawa.
Kati ya makhalifa wanne wa kwanza, watatu kati yao waliuawa.
Hawaliouwawa ni Umar (634-644CE), Uthman (644-656CE) na Ali (644-661CE)

Hata kwa dola ya Kiislam ya Ummayad na Abbasid viongozi madhalimu walikuwa wakiuawa tu. Hapakuwa na sababu ya kusubiri maandamano kuwaondosha.
Kwa uchache upande wa Ummayad waliouawa ni:
Al Walid II (744), Ibrahim ibn Al Walid (744CE) na Marwan II (750CE),

Kwa uchache Abbasid makhalifa madhalimu waliouawa ni Al Amin (813CE) na, Al Mutawakkil (861CE).

adriz nakuung mkono tutmie njia ya Kiislam kudeal na viongozi madhalimu
 
Ndio maana MBS alimkatakakata Jamal Khashoggi vipande vipande ndani ya ubalozi Uturuki na hakufanywa jambo lolote.
Tokea enzi tawala za Kifalme mtu amabaye ana hatari kubwa ya kupandikiza chuki , Fitna na ushawishi haubakishwi unafyekwa mapema maana nchi haziwezi kuingia kwenye hatari kwa kulea kumbe mmoja tu.

Twende Suala la Saudi Arabia :

Hii inchi inaongoza kwa kuwekeza kwenye Elimu ya mafundisho sahihi ya Uislamu ndio maana hukuti vuguvugu za mapinduzi na kuutoa utawala kutoka kwa raia sababu Serikali ipo makini sana katika kuwekeza kwenye Elimu na kuwazima watu Wenye fikra potufu.

Ndio maana Leo Saudia pamoja na mapungufu yake mfano kusupport mambo ya entertainments haukuti raia wakiikosoa hadharani serikali Wala kutaka kuwapondia kwa sababu hizo , sababu suala Hilo ni jambo zito na Lina hukumu na Sheria zake
 
Mlango muhimu katika Uislamu ni kupima baina ya Maslahi(Faida ) na Mafisadi (Hasara) kwa kila jambo na focus inakuwa kwanza kuondoa Madhara kuliko kupata Faida na kama jambo madhara yake ni makubwa kuliko Faida basi tunaacha nalo .

Kwa msingi huo ndio najibu swali lako ni kweli Wapalestina kwa miaka Mingi wanaonewa hata Mimi inaniumiza sana . Sasa inajulikana wazi tabia ya Mayahudi hawana huruma ukiingia kwenye 18 zao na uwezo wa kupambana nao hauna na ukijaribu maafa makubwa kuliko manufaa.

Sasa hapo Bora jambo la kupigana uachane nao uishi kinyonge , pigana ukiwa na uhakika kuwa adui yako mna nguvu sawa na unaweza kumshinda vinginevyo utajisabaishia tabu kubwa mno.

Kwa maelezo zaidi soma huu Uzi wangu.

Cc : Baljurashi
Wachina walikufa zaidi ya 30mln katika vita vyake dhidi ya Japan wakati huo China hakuwa katika uzani wowote kabisa na Japan kijeshi lakini wachina hawakuwa na fikra za kijinga kama hizi ulizo nazo wewe hata wa soviet walikufa wengi katika vita zao za ukombozi dhidi ya wanazi lakini mwisho wasovieti walishinda hata kwa wachina walimshinda Japan

Kama unafikiri wazayuni ni hawana huruma basi hawafiki hata nusu ya ukatili wa wajapan wachina wanawafahamu vizuri wajapan lakini hicho hakikuwa kizuizi cha wao kupambana na leo China wapo huru toka katika ushenzi wa Japan.

Wewe hujatoa option yoyote ya wapalestina wawe huru wapate nchi yao watoke mikononi mwa Waisrael washenzi zaidi umewataka wakubaliane na ushenzi wa Israel na wawe wapole huu ni Uislamu wa wapi unaotaka mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzuie la kulia ?

Uislamu unasema nini kuhusu kisasi ? Uislamu unasema nini kuhusu haki ? Uislamu unasema nini kuhusu uonevu ?
 
Moja kwa moja..

Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo gani yanaendelea waulizeni Hamas waliona bora kukiwasha kuliko unyonge sasa wamepata Faida na madhara gani , cheki Sudan mambo ya kupindua utawala yamepeleka uovu zaidi na hali mbaya mno , Libya nk mnoshadadia tukiwashe hamjui huku kwetu machafuko yatafika mbali kiasi gani na kusababisha madhara gani , kwa sisi ambao tumewahi kuishi sehemu kukiwa na mabomu na mitutu mara kwa mara tunaelewa Amani ni jambo zito kiasi gani.

Uislamu ni dini kamili ina sheria na miongozo yake inayojitosheleza katika kila jambo na tatizo lilipo Waislamu wengi tumekuwa wavivu wa kukaa chini kusoma dini yetu kwa uhakika na usahihi na hili swala ndio chanzo kikubwa cha matatizo kwa Umma wa Kiislamu kupelekea wengi kufuata mihemko , mkumbo na matamanio ndio maana Kuna kipindi baadhi ya Waislamu Osama walimuona kama Kidume na shujaa wa Kiislamu , wengine wakafuata mikumbo kuingia katika makundi potofu ya Jihadi na kuanzisha vuguvugu mbalimbali.

Na upande wa Wakristo wengi pia hawana ufahamu sahihi na Elimu ya uhakika kuhusu Uislamu ndio maana sio ajabu kukuta eti Mkiristo kukuambia Qur'an ina majini , Kufunga majini nk . Tatizo hili kuu la kukosa Elimu limepelekea wengi katika Wakristo au Waislamu ukiwaelekeza jambo Fulani la sawa kuhusu Uislamu wanaona kama ni jambo geni kwao na wanaweza kukupinga tu.

MIAKA YA VUGUVUGU ZA UASI KWA WAISLAMU

Kama mnakumbukumbu vizuri miaka kuanzia 2010 - 2013 hapa bongo kulitokea vuguvugu kubwa lililopamba moto kwa Waislamu wanaonewa na serikali katika nyanja mbalimbali na wengine wanaojiita Masheikh walikuwa Mstari wa mbele waliwahamaisha kuhamasisha maandamano, Fujo , uasi nk na ilileta madhara makubwa mpaka serikali ikaamua sasa kuvalia njuga ikakamata Masheikh na watu wengi Wenye hatia , wasio na hatia hata redio Moja maarufu ya Waislamu ilifungiwa kutokana na kuchochea chuki na uasi hatimaye hali ikapoa vuguvugu likapotea mpka sasa hali shwari.

MAANDIKO YANASEMAJE ?

Uasi (khurooj) hufafanuliwa kama kujaribu kunyang’anya mamlaka kutoka kwa mtawala, kumpinga hadharani, kujaribu kumwondoa madarakani kwa nguvu, kuwachochea watu dhidi yake (kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, maandamano ya barabarani, migomo, n.k.), kupanga njama dhidi yake na kuinuka kumpinga kwa maandishi, kwa khutuba au kwa upanga.

Haya yote yanachukuliwa kuwa ni khurooj. Mtume (ﷺ) alikataza jambo hili katika hadithi zilizo wazi na zenye nguvu. Hadithi ambazo haziwezi kupingwa na matamanio, maoni binafsi au akili, wala kwa maamuzi yasiyo sahihi ya watu, bila kujali daraja yao mbele ya watu. Mtume (ﷺ) alizungumza kwa wahyi (ufunuo) kutoka kwa Allah, lakini waliokuja baada yake hawakuwa na wahyi. Kwa sababu hiyo, wakati ijmā’ (makubaliano ya pamoja ya wanazuoni) ilipothibitishwa, hakuna aliyepinga isipokuwa Khawārij, Shia, Mu’tazilah na matawi yao hadi wakati wetu huu.

Imepokewa na Muslim katika Sahih yake (1847) kutoka kwa Wā’il Ibn Hujr kuwa: Salamah Ibn Yazeed Al-Ju’fee alimuuliza Mtume wa Allah (ﷺ): “Ewe Mtume wa Allah, tufanye nini ikiwa tutakuwa na watawala juu yetu wanaotaka haki zao lakini wanatunyima haki zetu?” Akajibu: “Wasikilizeni na watiini [bila kujali]. Juu yao ni mzigo wao, na juu yenu ni mzigo wenu .”

MY TAKE :

Fikra za Kikhawarij (kutoka chini ya utii wa matawala ) ndio zimesababisha madhara ya Leo kuwepo Al Shabaab, Al Qaeda , Boko Haram nk wote hawa madai yao kwamba watawala hawaendesh kisawasawa wanaendesha mambo Kikafiri vurugu , kuingia msituni na kutoka dhidi yake.

Kubadilisha mtawala sio solutions ya matatizo yote ya kutawala , wakati wa kifo cha JPM baadhi ya watu mlishangilia na kumdhihaki vibaya mno na kuona matatizo yameisha na makundi yote yaliungana na kuimba mapambio ya "Mama anaupia mwingi " kuwaumiza wafuasi wa JPM sasa mmebadili gia angani.

Uzi huu unaendelea maana bado sijatoa solutions na Kuna mambo Muhimu bado sijayagusia

UPDATES :

1. Tuone kwa Manabii wa Mwenyezi Mungu

Nabii Musa (Amani iwe juu yake ) alikuta Wana wa Israeli wakionewa chini ya utawala wa Kiongozi Dhalimu mkubwa Firauni lakini hakuwa kuhubili Wana wa Israeli wafanye njama ya kumtoa Firauni Madarakani au wafanye maandamano na Uasi bali yeye aliwaningania katika neno la Mungu .

Na hiyo ndio wito wa Manabii mara nyingi hawapendi kushindana na Serikali kwa kutaka kupanga njama za kuwapondua uasi , fujo nk wao wamefocuos kuwapa neno la haki kwa njia Bora . Mfano Yesu , Nuh , Shuayb, Yusuph na wengineo ( Amani iwe juu Yao wote

#LindaAmaniYaNchiYako

View attachment 3353969
Refer tahrir square iliyotokea egypt 2011, ambayo 85% ni muslim
Walifanya revolution ,hawakuangalia dini

Dini inayokaa na kuangalia uonevu si dini, bali ni tatizo

Walifanya haya haya na wakaopindua serikali
 
Uislam una njia rahisi sana ya kudeal na kiongozi dhalimu. Njia yenyewe ni kuuawa.
Kati ya makhalifa wanne wa kwanza, watatu kati yao waliuawa.
Hawaliouwawa ni Umar (634-644CE), Uthman (644-656CE) na Ali (644-661CE)

Hata kwa dola ya Kiislam ya Ummayad na Abbasid viongozi madhalimu walikuwa wakiuawa tu. Hapakuwa na sababu ya kusubiri maandamano kuwaondosha.
Kwa uchache upande wa Ummayad waliouawa ni:
Al Walid II (744), Ibrahim ibn Al Walid (744CE) na Marwan II (750CE),

Kwa uchache Abbasid makhalifa madhalimu waliouawa ni Al Amin (813CE) na, Al Mutawakkil (861CE).

adriz nakuung mkono tutmie njia ya Kiislam kudeal na viongozi madhalimu
Acha kunipeleka kwenye upotofu na kupotosha andiko langu sawa ? kuua mtawala mwema au muovu sio njia ya Kiislamu.

Chukua Msingi huu : Sio kila jambo linalofanywa na Waislamu basi ni la Kiislamu, bali Uislamu unategemea dalili sahihi kwa ufahamu sahihi .

Na makahalifa Uthaman , Umar na Ali (Allaah awaridhie) hawakuwa madhalimu
 
Moja kwa moja..

Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo gani yanaendelea waulizeni Hamas waliona bora kukiwasha kuliko unyonge sasa wamepata Faida na madhara gani , cheki Sudan mambo ya kupindua utawala yamepeleka uovu zaidi na hali mbaya mno , Libya nk mnoshadadia tukiwashe hamjui huku kwetu machafuko yatafika mbali kiasi gani na kusababisha madhara gani , kwa sisi ambao tumewahi kuishi sehemu kukiwa na mabomu na mitutu mara kwa mara tunaelewa Amani ni jambo zito kiasi gani.

Uislamu ni dini kamili ina sheria na miongozo yake inayojitosheleza katika kila jambo na tatizo lilipo Waislamu wengi tumekuwa wavivu wa kukaa chini kusoma dini yetu kwa uhakika na usahihi na hili swala ndio chanzo kikubwa cha matatizo kwa Umma wa Kiislamu kupelekea wengi kufuata mihemko , mkumbo na matamanio ndio maana Kuna kipindi baadhi ya Waislamu Osama walimuona kama Kidume na shujaa wa Kiislamu , wengine wakafuata mikumbo kuingia katika makundi potofu ya Jihadi na kuanzisha vuguvugu mbalimbali.

Na upande wa Wakristo wengi pia hawana ufahamu sahihi na Elimu ya uhakika kuhusu Uislamu ndio maana sio ajabu kukuta eti Mkiristo kukuambia Qur'an ina majini , Kufunga majini nk . Tatizo hili kuu la kukosa Elimu limepelekea wengi katika Wakristo au Waislamu ukiwaelekeza jambo Fulani la sawa kuhusu Uislamu wanaona kama ni jambo geni kwao na wanaweza kukupinga tu.

MIAKA YA VUGUVUGU ZA UASI KWA WAISLAMU

Kama mnakumbukumbu vizuri miaka kuanzia 2010 - 2013 hapa bongo kulitokea vuguvugu kubwa lililopamba moto kwa Waislamu wanaonewa na serikali katika nyanja mbalimbali na wengine wanaojiita Masheikh walikuwa Mstari wa mbele waliwahamaisha kuhamasisha maandamano, Fujo , uasi nk na ilileta madhara makubwa mpaka serikali ikaamua sasa kuvalia njuga ikakamata Masheikh na watu wengi Wenye hatia , wasio na hatia hata redio Moja maarufu ya Waislamu ilifungiwa kutokana na kuchochea chuki na uasi hatimaye hali ikapoa vuguvugu likapotea mpka sasa hali shwari.

MAANDIKO YANASEMAJE ?

Uasi (khurooj) hufafanuliwa kama kujaribu kunyang’anya mamlaka kutoka kwa mtawala, kumpinga hadharani, kujaribu kumwondoa madarakani kwa nguvu, kuwachochea watu dhidi yake (kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, maandamano ya barabarani, migomo, n.k.), kupanga njama dhidi yake na kuinuka kumpinga kwa maandishi, kwa khutuba au kwa upanga.

Haya yote yanachukuliwa kuwa ni khurooj. Mtume (ﷺ) alikataza jambo hili katika hadithi zilizo wazi na zenye nguvu. Hadithi ambazo haziwezi kupingwa na matamanio, maoni binafsi au akili, wala kwa maamuzi yasiyo sahihi ya watu, bila kujali daraja yao mbele ya watu. Mtume (ﷺ) alizungumza kwa wahyi (ufunuo) kutoka kwa Allah, lakini waliokuja baada yake hawakuwa na wahyi. Kwa sababu hiyo, wakati ijmā’ (makubaliano ya pamoja ya wanazuoni) ilipothibitishwa, hakuna aliyepinga isipokuwa Khawārij, Shia, Mu’tazilah na matawi yao hadi wakati wetu huu.

Imepokewa na Muslim katika Sahih yake (1847) kutoka kwa Wā’il Ibn Hujr kuwa: Salamah Ibn Yazeed Al-Ju’fee alimuuliza Mtume wa Allah (ﷺ): “Ewe Mtume wa Allah, tufanye nini ikiwa tutakuwa na watawala juu yetu wanaotaka haki zao lakini wanatunyima haki zetu?” Akajibu: “Wasikilizeni na watiini [bila kujali]. Juu yao ni mzigo wao, na juu yenu ni mzigo wenu .”

MY TAKE :

Fikra za Kikhawarij (kutoka chini ya utii wa matawala ) ndio zimesababisha madhara ya Leo kuwepo Al Shabaab, Al Qaeda , Boko Haram nk wote hawa madai yao kwamba watawala hawaendesh kisawasawa wanaendesha mambo Kikafiri vurugu , kuingia msituni na kutoka dhidi yake.

Kubadilisha mtawala sio solutions ya matatizo yote ya kutawala , wakati wa kifo cha JPM baadhi ya watu mlishangilia na kumdhihaki vibaya mno na kuona matatizo yameisha na makundi yote yaliungana na kuimba mapambio ya "Mama anaupia mwingi " kuwaumiza wafuasi wa JPM sasa mmebadili gia angani.

Uzi huu unaendelea maana bado sijatoa solutions na Kuna mambo Muhimu bado sijayagusia

UPDATES :

1. Tuone kwa Manabii wa Mwenyezi Mungu

Nabii Musa (Amani iwe juu yake ) alikuta Wana wa Israeli wakionewa chini ya utawala wa Kiongozi Dhalimu mkubwa Firauni lakini hakuwa kuhubili Wana wa Israeli wafanye njama ya kumtoa Firauni Madarakani au wafanye maandamano na Uasi bali yeye aliwaningania katika neno la Mungu .

Na hiyo ndio wito wa Manabii mara nyingi hawapendi kushindana na Serikali kwa kutaka kupanga njama za kuwapondua uasi , fujo nk wao wamefocuos kuwapa neno la haki kwa njia Bora . Mfano Yesu , Nuh , Shuayb, Yusuph na wengineo ( Amani iwe juu Yao wote

#LindaAmaniYaNchiYako

View attachment 3353969
Sasa waisraeli wafanye maandamani wamtoe farao na nchi siyo yao ni ya wamisri. Mfano wa hovyo huo. Walichopambania ni kutoka misri kwenda kwao. So amani kwako ni hii ya kuuwa watu siyo?.
HIPO HIVI KWA ALICHOONGEA MAMA YETU KWA WENYE AKILI NA KWA KULIFUNGIA KANISA LA GWAJIMA KWA WENYE AKILI WOTE NI KUWA SERIKALI NA CCM YAKE IMEPIGIA TIKI KUWA WAO NDIYO WAUWAJI WATEKAJI NA KUTESA WATU.
Sasa Mkubwa wa mapepo alichokonolewa na katoa na tamko.
SHETANI ATOI SHETANI MWENZAKE. By JESUS. Huyu mama ata angeambiwa ukweli na YESU lazima angeagiza Yesu auwawe.
 
Nakuuliza wewe unaona ni kipi bora kwa Palestine kupata nchi yao na kuondokana na uonevu wa miaka yote ya Israel kwa miaka zaidi ya 70 wafanye nini tofauti na kilichofanywa na kinachofanywa na Hamas ?

Nakukumbusha unapojibu swali hili kumbuka Gaza ni gereza la Israel kwa miaka na miaka na mashambulizi ya Hamas ya oktoba yalifanyika katika maeneo ya walowezi wa Israel.
Kwa hiyo wewe unajipiga kifua kabisa na kujiona upo huru kwenye nchi hii yenye uhuru wa bendera inayoendeshwa na madalali wa wakoloni?
 
Wachina walikufa zaidi ya 30mln katika vita vyake dhidi ya Japan wakati huo China hakuwa katika uzani wowote kabisa na Japan kijeshi lakini wachina hawakuwa na fikra za kijinga kama hizi ulizo nazo wewe hata wa soviet walikufa wengi katika vita zao za ukombozi dhidi ya wanazi lakini mwisho wasovieti walishinda hata kwa wachina walimshinda Japan

Kama unafikiri wazayuni ni hawana huruma basi hawafiki hata nusu ya ukatili wa wajapan wachina wanawafahamu vizuri wajapan lakini hicho hakikuwa kizuizi cha wao kupambana na leo China wapo huru toka katika ushenzi wa Japan.

Wewe hujatoa option yoyote ya wapalestina wawe huru wapate nchi yao watoke mikononi mwa Waisrael washenzi zaidi umewataka wakubaliane na ushenzi wa Israel na wawe wapole huu ni Uislamu wa wapi unaotaka mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzuie la kulia ?

Uislamu unasema nini kuhusu kisasi ? Uislamu unasema nini kuhusu haki ? Uislamu unasema nini kuhusu uonevu ?
Andiko lako Lina vingi ambavyo ninatakiwa nikujibu na kuweka sawa ila nakupa msingi mmoja wa Uwezo .

Ibada nyingi za Kiislamu inazingatia uwezo maana mtu isipokuwa na uwezo uwajibu unaondoka au unawepesishiwa mfano kama hauna uwezo wa kwenda kuhiji basi hakuna lawama juu yako.

Msingi mwingine dini ya Uislamu katika kila ibada kiigizo chetu ni Mtume Muhammad (ﷺ) , sasa angalia maisha yake kipindi Cha utume Makkah Uislamu ilipokuwa hauna nguvu Waislamu wangapi waliuwawa kwa dhuluma , kuteswa , kuporwa mali zao , dhihaka na madhila mengine makubwa ? Je alimarisha kisasi , maandamano, Fujo , mapinduzi nk ?

Jawabu hapana, walifanya subra wakamcha Allaah hatimaye wakafanya Hijra kuhamia Madina.
 
Moja kwa moja..

Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo gani yanaendelea waulizeni Hamas waliona bora kukiwasha kuliko unyonge sasa wamepata Faida na madhara gani , cheki Sudan mambo ya kupindua utawala yamepeleka uovu zaidi na hali mbaya mno , Libya nk mnoshadadia tukiwashe hamjui huku kwetu machafuko yatafika mbali kiasi gani na kusababisha madhara gani , kwa sisi ambao tumewahi kuishi sehemu kukiwa na mabomu na mitutu mara kwa mara tunaelewa Amani ni jambo zito kiasi gani.

Uislamu ni dini kamili ina sheria na miongozo yake inayojitosheleza katika kila jambo na tatizo lilipo Waislamu wengi tumekuwa wavivu wa kukaa chini kusoma dini yetu kwa uhakika na usahihi na hili swala ndio chanzo kikubwa cha matatizo kwa Umma wa Kiislamu kupelekea wengi kufuata mihemko , mkumbo na matamanio ndio maana Kuna kipindi baadhi ya Waislamu Osama walimuona kama Kidume na shujaa wa Kiislamu , wengine wakafuata mikumbo kuingia katika makundi potofu ya Jihadi na kuanzisha vuguvugu mbalimbali.

Na upande wa Wakristo wengi pia hawana ufahamu sahihi na Elimu ya uhakika kuhusu Uislamu ndio maana sio ajabu kukuta eti Mkiristo kukuambia Qur'an ina majini , Kufunga majini nk . Tatizo hili kuu la kukosa Elimu limepelekea wengi katika Wakristo au Waislamu ukiwaelekeza jambo Fulani la sawa kuhusu Uislamu wanaona kama ni jambo geni kwao na wanaweza kukupinga tu.

MIAKA YA VUGUVUGU ZA UASI KWA WAISLAMU

Kama mnakumbukumbu vizuri miaka kuanzia 2010 - 2013 hapa bongo kulitokea vuguvugu kubwa lililopamba moto kwa Waislamu wanaonewa na serikali katika nyanja mbalimbali na wengine wanaojiita Masheikh walikuwa Mstari wa mbele waliwahamaisha kuhamasisha maandamano, Fujo , uasi nk na ilileta madhara makubwa mpaka serikali ikaamua sasa kuvalia njuga ikakamata Masheikh na watu wengi Wenye hatia , wasio na hatia hata redio Moja maarufu ya Waislamu ilifungiwa kutokana na kuchochea chuki na uasi hatimaye hali ikapoa vuguvugu likapotea mpka sasa hali shwari.

MAANDIKO YANASEMAJE ?

Uasi (khurooj) hufafanuliwa kama kujaribu kunyang’anya mamlaka kutoka kwa mtawala, kumpinga hadharani, kujaribu kumwondoa madarakani kwa nguvu, kuwachochea watu dhidi yake (kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, maandamano ya barabarani, migomo, n.k.), kupanga njama dhidi yake na kuinuka kumpinga kwa maandishi, kwa khutuba au kwa upanga.

Haya yote yanachukuliwa kuwa ni khurooj. Mtume (ﷺ) alikataza jambo hili katika hadithi zilizo wazi na zenye nguvu. Hadithi ambazo haziwezi kupingwa na matamanio, maoni binafsi au akili, wala kwa maamuzi yasiyo sahihi ya watu, bila kujali daraja yao mbele ya watu. Mtume (ﷺ) alizungumza kwa wahyi (ufunuo) kutoka kwa Allah, lakini waliokuja baada yake hawakuwa na wahyi. Kwa sababu hiyo, wakati ijmā’ (makubaliano ya pamoja ya wanazuoni) ilipothibitishwa, hakuna aliyepinga isipokuwa Khawārij, Shia, Mu’tazilah na matawi yao hadi wakati wetu huu.

Imepokewa na Muslim katika Sahih yake (1847) kutoka kwa Wā’il Ibn Hujr kuwa: Salamah Ibn Yazeed Al-Ju’fee alimuuliza Mtume wa Allah (ﷺ): “Ewe Mtume wa Allah, tufanye nini ikiwa tutakuwa na watawala juu yetu wanaotaka haki zao lakini wanatunyima haki zetu?” Akajibu: “Wasikilizeni na watiini [bila kujali]. Juu yao ni mzigo wao, na juu yenu ni mzigo wenu .”

MY TAKE :

Fikra za Kikhawarij (kutoka chini ya utii wa matawala ) ndio zimesababisha madhara ya Leo kuwepo Al Shabaab, Al Qaeda , Boko Haram nk wote hawa madai yao kwamba watawala hawaendesh kisawasawa wanaendesha mambo Kikafiri vurugu , kuingia msituni na kutoka dhidi yake.

Kubadilisha mtawala sio solutions ya matatizo yote ya kutawala , wakati wa kifo cha JPM baadhi ya watu mlishangilia na kumdhihaki vibaya mno na kuona matatizo yameisha na makundi yote yaliungana na kuimba mapambio ya "Mama anaupia mwingi " kuwaumiza wafuasi wa JPM sasa mmebadili gia angani.

Uzi huu unaendelea maana bado sijatoa solutions na Kuna mambo Muhimu bado sijayagusia

UPDATES :

1. Tuone kwa Manabii wa Mwenyezi Mungu

Nabii Musa (Amani iwe juu yake ) alikuta Wana wa Israeli wakionewa chini ya utawala wa Kiongozi Dhalimu mkubwa Firauni lakini hakuwa kuhubili Wana wa Israeli wafanye njama ya kumtoa Firauni Madarakani au wafanye maandamano na Uasi bali yeye aliwaningania katika neno la Mungu .

Na hiyo ndio wito wa Manabii mara nyingi hawapendi kushindana na Serikali kwa kutaka kupanga njama za kuwapondua uasi , fujo nk wao wamefocuos kuwapa neno la haki kwa njia Bora . Mfano Yesu , Nuh , Shuayb, Yusuph na wengineo ( Amani iwe juu Yao wote

#LindaAmaniYaNchiYako

View attachment 3353969
Ukielewa kwanini walianza wapelelezi kisha wamishonari ndio akaja mkoloni rasm utaelewa dini kazi yake hasa ni nini.

Kwahiyo watu watulie wakiona wanadhurmiwa nafsi zao na uhai wa kisa serikali ya kidhalimu
 
Acha kunipeleka kwenye upotofu na kupotosha andiko langu sawa ? kuua mtawala mwema au muovu sio njia ya Kiislamu.

Chukua Msingi huu : Sio kila jambo linalofanywa na Waislamu basi ni la Kiislamu, bali Uislamu unategemea dalili sahihi kwa ufahamu sahihi .

Na makahalifa Uthaman , Umar na Ali (Allaah awaridhie) hawakuwa madhalimu
Wauawa bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom