Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Mimi ni muislamu.
Uislamu hautaki mtu dhaifu

Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo.

Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu.

Tusiangushane.

Hatuna muda mwingine zaidi ya huu.

Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
 
Shughuli ya leo ni kupiga kura tu, kijana amka ujiandae kwenda kituoni kupiga kura kama ulijiandikisha
 
Mimi ni muislamu.
Uislamu hautaki mtu dhaifu

Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo.

Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu.

Tusiangushane.

Hatuna muda mwingine zaidi ya huu.

Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
Kuna watu dhaifu na hovyo kama waislam duniani?
 
Mimi ni muislamu.
Uislamu hautaki mtu dhaifu

Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo.

Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu.

Tusiangushane.

Hatuna muda mwingine zaidi ya huu.

Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
jambo ni moja tu leo,,KUPIGA KURA,,,mimi kama mwanachauma nipo tayari kituoni na wenzangu waliokuja KUTICK nao wapo,,wale waliosusa wapo vitandani wamelala.
 
jambo ni moja tu leo,,KUPIGA KURA,,,mimi kama mwanachauma nipo tayari kituoni na wenzangu waliokuja KUTICK nao wapo,,wale waliosusa wapo vitandani wamelala.
Kume chauumwa wa ubwabwa hata kama umechanganywa na mavii! Sema mimi CCM B na mchumia tumbo tena anayejivua nguo kwa ajili ya ubwabwa na uzwazwa
 
Toka nje we juma lokole ,si tunawangoja mtaani nyie mnajiremba tu toka sa kumi usiku?
Nyie vipi aisee,tokeni humo ndani mje msome namna kuruka kichurachura,nyavu,kuvunja tofali,etc
 
Mimi ni muislamu.
Uislamu hautaki mtu dhaifu

Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo.

Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu.

Tusiangushane.

Hatuna muda mwingine zaidi ya huu.

Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.


Uislam uko mbali na maandamano.
 
Back
Top Bottom