Uislamu ni tofauti na wengi tunavyouchukulia: Haya ni mambo ambayo watu walielewa tofauti kuhusu uislamu

Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
 
Crusade wars jaman zilipiganwa na kina Abubakar?
 
Ukisikia ama kuona dini imejaaa chuki na ubaguzi hapo hakuna dini ni kundi la wahuni.,Mungu gani anafindisha chuki na ubaguzi.Ni bora nisiwe na dini kuliko kufata utopolo utakao nifundisha chuki tu...unakuta kijitu kimetoa macho sili kuku huyo maana kachinjwa na kafiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna watu wana akili kisoda.
 
Salaam alaykum...

Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo uislamu wamepotoshwa baadhi ya mambo mpaka kufikia kuona dini yao ni chungu na ngumu kutekeleza

Tuongelee pande zote mbili yaani ugumu uliowekwa kwa mtu kuingia uislamu na ugumu uliowekwa kwa waislamu wenyewe

Tukianza na upotoshaji unaomkimbiza asiye muislamu

1. Ugaidi
Matendo yote ya ugaidi na yasiyoendana na ubinadamu mfano uhaini, uuaji bila hatia, ubakaji, ni miongoni mwa mambo yanayopingana vita sana na uislamu. Hoja wanazozisema wengi kuhusu uislamu kuwa ni ugaidi zinajibika kirahisi tu kwa mwenye kutaka kuelewa anaelewa. Aya za quran zote wanazocopy na kupaste wakisema zinasapoti kuua ukiangalia zinaongelea/zinaamrisha kuua baada ya kuwa adui amekusudia kukuua hivyo kupigana vita/kuua kunakuwa ni kwa sababu ya kujihami, kujitetea au kupambania kuondosha fitina iliyokithiri ili haki itendeke kwa wanajamii.

Tena hata kuua huko kuna masharti yake kadha wa kadha siyo kuua kwa mtu atakavyo. Mfano wale wanaoambiwa wanajitoa mhanga, wanaoteka mabinti na kuwanyanyasa (kama ni kweli) basi hiyo ni kwa matakwa yao wenyewe tu lakini uislamu unatetea kila mtu. Ushauri; hizo aya zote wanazosema humu watu na kuzipaste hebu ukiipata usiishie hapo tu bali soma kifungu chote (karaa) au sura kabisa halafu baada ya hapo utarudi. Kwa tafsiri ya ugaidi na maana zake hakuna aya wala hadithi hata moja utakayopata ikisapoti hiyo kitu!

2.Ubaguzi
Kuna mambo mengi ya kiibada ambayo muislamu akifanya kwa kuzingatia dini yake anaonekana kama anafanya ubaguzi kumbe siyo hata. Maswala kama ya ndoa muislamu haruhusiwi kufanya ibada hii ya kufunga ndoa na asiye muislamu, kuchinja muislamu haruhusiwi kula kilichochinjwa na asiyekuwa muislamu, muislamu haruhusiwi kushiriki ibada za wasiokuwa waislamu. Hayo yote siyo ubaguzi bali ni utaratibu wa dini kama ilivyo kwa dini zingine kuwa na mambo ambayo yanawahusu wao wenyewe tu na mengine yakawahusu watu wote na ndiyo maana hata kwa waislamu wakaruhusiwa kushirikiana na wasio waislamu kwa maswala yasiyokuwa ya ibada mahsusi mfano kula pamoja, kupiga stori, kufanya kazi, nk

3.Kuhusu Muhammed
Wapo waliomzushia mtume mambo mengi sana lakini majibu yote yametolewa kwenye quran sitaki nirudie rudie. Bali nitajikita kwenye uzushi mmoja tu kwamba Muhammed alikuwa anapenda sana ngono hasa na vitoto ndomaana alimwoa Aisha katoto. Watu wanaoelewa Historia vizuri wanacheka tu wakiona huu uzushi maana Muhammed amekuwa akiaminiwa tangu utoto mpaka ujana wake mpaka utu uzima wake hata kabla hajapewa utume watu wote walimpenda kwa ubora wa tabia aliyokuwa nayo haya huo uzinzi umetoka wapi. Pia huyu mtu ujana wake wala hakuufaidi ukitaka ukweli maana ana miaka 25 ndo akapata mke wake wa kwanza tena mwanamke akiwa na miaka 40! Mapungufu yote anayosingiziwa Mtume huyapati kwenye hadithi sahihi wala quran

4.Kuhusu Allah, Quran na shetani
Wengi wanaaminisha watu kwamba Allah ndiye shetani mara hivi mara vile. Jamani hebu tusome kwa uelewa vitu siyo kwa kumezeshwa. Kuna aya hapa wanapenda kuipaste kwamba eti shetani ndiye kateremsha kuran kumbe masikini ni shida ya kuelewa maandishi tu wala mola hakumaanisha kuwa ni shetani bali malaika jibril. Soma aya zote zinazotaja vitatu hivyo Allah, Quran na Iblis halafu utajionea mwenyewe

5.Kwamba ukiritadi unauawa. Hoja hii wanaipenda sana masikini lakini wanashindwa kusoma andiko lote lililoko pale. Kama ingekuwa ni kweli hicho wanachosema uislamu ndo ulivyo basi tungeona au hata kusikia huko watu wkiuawa kwa

Twende upotoshwaji kwa waislamu wenyewe

1.Ukiingiwa na najisi ya nguruwe usiswali siku 7 (wengine wakasema siku 40) eti baada ya hapo ndiyo unatwaharika. Ukishajitwaharisha vizuri kwa kufuata taratibu zote zinazokubalika basi wewe ni kazi kazi tu wala hakuna sheria hiyo ya kukaa bila kuswali

2.Janaba la zinaa linaisha kwa siku 40 eti ukizini na mwana wa watu hata kama utaoga usiingie msikitini siku 40 zipite ndipo utakuwa umetwaharika. Huu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana, kalamu inasimama kwa mtoto mdogo, aliyepoteza fahamu/akili na aliyelala sasa sijui huyu wa siku 40 haswali anajinasulia wapi kwenye kuulizwa swala 200 atakazoziacha

3. Mama akijifungua anaogeshwa na shekhe. Hii ndo inauma sana aisee wazee wa zamani eti anaitwa akamuogeshe mmama wa watu yaani ni ushetani juu ya ushetani. Hadathi zote kama ilivyo najisi mtu anajitwaharisha mwenyewe tu sijui mashekhe wa zamani walikuwa na mpango gani na wadada wa watu

4. Mtu akichinja inabidi apewe shingo (ya mnyama aliyechinjwa). Hii mpaka sasa hivi huku nilipo bado wanayo yaani nyama ikiiva tu atatafutwa apewe shingo yake na kama mchinjaji akiifuata yeye mwenyewe akakuta imeliwa anadai hela. Hiyo kitu haipo wewe chinja uondoke ukipewa baadae ni swadaqa tu usipopewa isiwe deni wala mtoaji asifanye ni lazima akuchagulie shingo ndo akupe huo ni uzushi. Hela analipwa yule ambaye hiyo ni kazi yake mfano mchinjaji buchani, hotelini nk

5. Biashara inatakiwa kuuza faida isizidi robo yake (wengine nusu yake) yaani kama kitu umenunua sh.100 maana yake usiuze kwa bei ya itakayozidi 125 (robo) au 150 (nusu). Huu ni uongo mwingine wa mchana kweupe. kilichokatazwa kwenye biashara ni uongo na ulaghai tu lakini kama kitu umeamua kuuza laki na wewe ulinunua mia na mteja akakipenda akaridhia kununua bila kumchomekezea maneno ya kumpambisha na kumlaghai basi kitu hicho unaruhusiwa kumuuzia tu bila shida

6. Lailatul qadr ni nyota ing'aayo sana na ukipata bahati kuiona (ikikutokea hiyo nyota) basi unaomba chochote na hapaohapo unapata. Huu ni uongo ambao wengi bado wanao na tatizo ni darsa watu hawasomi madrasa wakaelewa. Usiku wa cheo, lailatul qadr ni usiku ndiyo lakini hauna alama yoyote kwamba mtu atasema ameupata bali tunahimizwa kufanya yaliyo mema zaidi ndani ya usiku huo (mfano kuswali, kusoma quran, kumsifu mola, kutoa sadaka nk) ili uwe umefanya jambo jema kwenye usiku bora kabisa. Haihusiani na nyota fulani wala jeneza wala kaburi wala...

7. Matendo mema ni kukusanya watu kufanya dua, kusoma maulidi, kuzuru na kusafishia makaburi, kuwafanyia dua ya kumbukumbu ya watu waliokufa, kusoma barzanji mara kwa mara, dhikri ya kidarueshi (ya kukohoa). Hapo kuna mambo mengi sana ambayo watu wamekuwa wakikomaa nayo huku wakiacha matendo mema kabisa kuliko yote ambayo ni kuswali, kusoma quran, kutoa zaka na sadaka, kufunga, kuelimisha watu, kukumbusha watu wadumu na matendo mema na kuzuia watu wasifanye maasi, kuwatii wazazi, nk

Mambo ni mengi sana ila yote kwa yote ni kwamba uislamu mola hatutakii magumu yenye uzito bali anatutakia yaliyo mepesi tu. huo ugumu na uzito wanaweka watu wenyewe! Ingia uislamu ujionee usisikilize propaganda za wasioutakia heri uislamu
Hiyo dini ni mila na desturi za kiarabu . Africa Kuna mila na desturi zake ndiyo maana hakuna Muafrica pure anaweza kwendana na mila na desturi za kiarabu. Ustaarabu wa kiafrika upo juu zaidi kuliko wa Kiarabu .
Afrika hapakuwa na hakuna tatizo lolote kwenye maadili yetu na misimamo yetu imepokelewa ipasavyo na muumba mbingu na ardhi.
 
Huu Uzi hauwezi tembea kwa comments nyingi Kwa sababu hujauponda uislam,ungeuponda ungeona Jinsi watu wanavyojaza comments za kejeli na dhihaka
 
2.Ubaguzi
Kuna mambo mengi ya kiibada ambayo muislamu akifanya kwa kuzingatia dini yake anaonekana kama anafanya ubaguzi kumbe siyo hata. Maswala kama ya ndoa muislamu haruhusiwi kufanya ibada hii ya kufunga ndoa na asiye muislamu, kuchinja muislamu haruhusiwi kula kilichochinjwa na asiyekuwa muislamu, muislamu haruhusiwi kushiriki ibada za wasiokuwa waislamu. Hayo yote siyo ubaguzi bali ni utaratibu wa dini kama ilivyo kwa dini zingine kuwa na mambo ambayo yanawahusu wao wenyewe tu na mengine yakawahusu watu wote na ndiyo maana hata kwa waislamu wakaruhusiwa kushirikiana na wasio waislamu kwa maswala yasiyokuwa ya ibada mahsusi mfano kula pamoja, kupiga stori, kufanya kazi, nk
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Salaam alaykum...

Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo uislamu wamepotoshwa baadhi ya mambo mpaka kufikia kuona dini yao ni chungu na ngumu kutekeleza

Tuongelee pande zote mbili yaani ugumu uliowekwa kwa mtu kuingia uislamu na ugumu uliowekwa kwa waislamu wenyewe

Tukianza na upotoshaji unaomkimbiza asiye muislamu

1. Ugaidi
Matendo yote ya ugaidi na yasiyoendana na ubinadamu mfano uhaini, uuaji bila hatia, ubakaji, ni miongoni mwa mambo yanayopingana vita sana na uislamu. Hoja wanazozisema wengi kuhusu uislamu kuwa ni ugaidi zinajibika kirahisi tu kwa mwenye kutaka kuelewa anaelewa. Aya za quran zote wanazocopy na kupaste wakisema zinasapoti kuua ukiangalia zinaongelea/zinaamrisha kuua baada ya kuwa adui amekusudia kukuua hivyo kupigana vita/kuua kunakuwa ni kwa sababu ya kujihami, kujitetea au kupambania kuondosha fitina iliyokithiri ili haki itendeke kwa wanajamii.

Tena hata kuua huko kuna masharti yake kadha wa kadha siyo kuua kwa mtu atakavyo. Mfano wale wanaoambiwa wanajitoa mhanga, wanaoteka mabinti na kuwanyanyasa (kama ni kweli) basi hiyo ni kwa matakwa yao wenyewe tu lakini uislamu unatetea kila mtu. Ushauri; hizo aya zote wanazosema humu watu na kuzipaste hebu ukiipata usiishie hapo tu bali soma kifungu chote (karaa) au sura kabisa halafu baada ya hapo utarudi. Kwa tafsiri ya ugaidi na maana zake hakuna aya wala hadithi hata moja utakayopata ikisapoti hiyo kitu!

2.Ubaguzi
Kuna mambo mengi ya kiibada ambayo muislamu akifanya kwa kuzingatia dini yake anaonekana kama anafanya ubaguzi kumbe siyo hata. Maswala kama ya ndoa muislamu haruhusiwi kufanya ibada hii ya kufunga ndoa na asiye muislamu, kuchinja muislamu haruhusiwi kula kilichochinjwa na asiyekuwa muislamu, muislamu haruhusiwi kushiriki ibada za wasiokuwa waislamu. Hayo yote siyo ubaguzi bali ni utaratibu wa dini kama ilivyo kwa dini zingine kuwa na mambo ambayo yanawahusu wao wenyewe tu na mengine yakawahusu watu wote na ndiyo maana hata kwa waislamu wakaruhusiwa kushirikiana na wasio waislamu kwa maswala yasiyokuwa ya ibada mahsusi mfano kula pamoja, kupiga stori, kufanya kazi, nk

3.Kuhusu Muhammed
Wapo waliomzushia mtume mambo mengi sana lakini majibu yote yametolewa kwenye quran sitaki nirudie rudie. Bali nitajikita kwenye uzushi mmoja tu kwamba Muhammed alikuwa anapenda sana ngono hasa na vitoto ndomaana alimwoa Aisha katoto. Watu wanaoelewa Historia vizuri wanacheka tu wakiona huu uzushi maana Muhammed amekuwa akiaminiwa tangu utoto mpaka ujana wake mpaka utu uzima wake hata kabla hajapewa utume watu wote walimpenda kwa ubora wa tabia aliyokuwa nayo haya huo uzinzi umetoka wapi. Pia huyu mtu ujana wake wala hakuufaidi ukitaka ukweli maana ana miaka 25 ndo akapata mke wake wa kwanza tena mwanamke akiwa na miaka 40! Mapungufu yote anayosingiziwa Mtume huyapati kwenye hadithi sahihi wala quran

4.Kuhusu Allah, Quran na shetani
Wengi wanaaminisha watu kwamba Allah ndiye shetani mara hivi mara vile. Jamani hebu tusome kwa uelewa vitu siyo kwa kumezeshwa. Kuna aya hapa wanapenda kuipaste kwamba eti shetani ndiye kateremsha kuran kumbe masikini ni shida ya kuelewa maandishi tu wala mola hakumaanisha kuwa ni shetani bali malaika jibril. Soma aya zote zinazotaja vitatu hivyo Allah, Quran na Iblis halafu utajionea mwenyewe

5.Kwamba ukiritadi unauawa. Hoja hii wanaipenda sana masikini lakini wanashindwa kusoma andiko lote lililoko pale. Kama ingekuwa ni kweli hicho wanachosema uislamu ndo ulivyo basi tungeona au hata kusikia huko watu wkiuawa kwa

Twende upotoshwaji kwa waislamu wenyewe

1.Ukiingiwa na najisi ya nguruwe usiswali siku 7 (wengine wakasema siku 40) eti baada ya hapo ndiyo unatwaharika. Ukishajitwaharisha vizuri kwa kufuata taratibu zote zinazokubalika basi wewe ni kazi kazi tu wala hakuna sheria hiyo ya kukaa bila kuswali

2.Janaba la zinaa linaisha kwa siku 40 eti ukizini na mwana wa watu hata kama utaoga usiingie msikitini siku 40 zipite ndipo utakuwa umetwaharika. Huu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana, kalamu inasimama kwa mtoto mdogo, aliyepoteza fahamu/akili na aliyelala sasa sijui huyu wa siku 40 haswali anajinasulia wapi kwenye kuulizwa swala 200 atakazoziacha

3. Mama akijifungua anaogeshwa na shekhe. Hii ndo inauma sana aisee wazee wa zamani eti anaitwa akamuogeshe mmama wa watu yaani ni ushetani juu ya ushetani. Hadathi zote kama ilivyo najisi mtu anajitwaharisha mwenyewe tu sijui mashekhe wa zamani walikuwa na mpango gani na wadada wa watu

4. Mtu akichinja inabidi apewe shingo (ya mnyama aliyechinjwa). Hii mpaka sasa hivi huku nilipo bado wanayo yaani nyama ikiiva tu atatafutwa apewe shingo yake na kama mchinjaji akiifuata yeye mwenyewe akakuta imeliwa anadai hela. Hiyo kitu haipo wewe chinja uondoke ukipewa baadae ni swadaqa tu usipopewa isiwe deni wala mtoaji asifanye ni lazima akuchagulie shingo ndo akupe huo ni uzushi. Hela analipwa yule ambaye hiyo ni kazi yake mfano mchinjaji buchani, hotelini nk

5. Biashara inatakiwa kuuza faida isizidi robo yake (wengine nusu yake) yaani kama kitu umenunua sh.100 maana yake usiuze kwa bei ya itakayozidi 125 (robo) au 150 (nusu). Huu ni uongo mwingine wa mchana kweupe. kilichokatazwa kwenye biashara ni uongo na ulaghai tu lakini kama kitu umeamua kuuza laki na wewe ulinunua mia na mteja akakipenda akaridhia kununua bila kumchomekezea maneno ya kumpambisha na kumlaghai basi kitu hicho unaruhusiwa kumuuzia tu bila shida

6. Lailatul qadr ni nyota ing'aayo sana na ukipata bahati kuiona (ikikutokea hiyo nyota) basi unaomba chochote na hapaohapo unapata. Huu ni uongo ambao wengi bado wanao na tatizo ni darsa watu hawasomi madrasa wakaelewa. Usiku wa cheo, lailatul qadr ni usiku ndiyo lakini hauna alama yoyote kwamba mtu atasema ameupata bali tunahimizwa kufanya yaliyo mema zaidi ndani ya usiku huo (mfano kuswali, kusoma quran, kumsifu mola, kutoa sadaka nk) ili uwe umefanya jambo jema kwenye usiku bora kabisa. Haihusiani na nyota fulani wala jeneza wala kaburi wala...

7. Matendo mema ni kukusanya watu kufanya dua, kusoma maulidi, kuzuru na kusafishia makaburi, kuwafanyia dua ya kumbukumbu ya watu waliokufa, kusoma barzanji mara kwa mara, dhikri ya kidarueshi (ya kukohoa). Hapo kuna mambo mengi sana ambayo watu wamekuwa wakikomaa nayo huku wakiacha matendo mema kabisa kuliko yote ambayo ni kuswali, kusoma quran, kutoa zaka na sadaka, kufunga, kuelimisha watu, kukumbusha watu wadumu na matendo mema na kuzuia watu wasifanye maasi, kuwatii wazazi, nk

Mambo ni mengi sana ila yote kwa yote ni kwamba uislamu mola hatutakii magumu yenye uzito bali anatutakia yaliyo mepesi tu. huo ugumu na uzito wanaweka watu wenyewe! Ingia uislamu ujionee usisikilize propaganda za wasioutakia heri uislamu
Kwamba unaruhusiwa kuua ukiwa unatetea haki! Kabla ya maujinga mengi ujinga wa kwanza ni huu.

Hii dini Mungu wao ni wa kusaidiwa/kupambaniwa, yani mtu akichoma quran et ukimuua unapata thawabu, kwanini kama mnakiamini hicho kitabu msimwache mwenye kitabu mwenyewe akipambanie!

Mungu wa wakristo ni muweza wa yote si wa kusaidiwa/kupambaniwa ndio maana hatuambiwi kuua kutetea haki wala kulipa kisasi, maana mwenye haki ni yeye na inapompendeza huwapatia watu wake na hata Kisasi Mungu wetu ametueleza kuwa ni chake hahitaji tumsadie.
 
Kwa mara ya kwanza nimemuona muislam anaihubiri dini yake bila kurejea dini zingine.Na ukiendelea hivi utawavuta wengi kwenye uislam. Si kama mama yule!
Ofcourse nmempenda mleta uzi.

Hajagusa imani nyingine kwenye maelezo yake.

Nahisi ana uelewa mkubwa.
 
Dini zote ni EgnesU..

Ishi Maisha yako achana na story za uongo

Story za Jesuzzz na mudy ni uongo mtupu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu imani ni psychology thing.

Watu hawawezi kukuelewa kirahisi zaid ya kukupuuza tu.

Sema hawa watu inabidi wakae bila kutukanana na waheshimiane.

Huwa nachukizwa na baadhi ya imani kujiona bora na kutukana dini za wenzao hadharani.

Kwa hili inabidi wabadilike.
 
mkuu inawezekana huyu MWAMBA alishawai kufa akafika MBINGUNI alafu akaona MBINGUNI kumejaa WAISLAM tupu then alipochungulia MOTONI akaona kumejaa WAIKRISTO na dini nyingine kama WAHINDU n.k....huwezi jua!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwamba unaruhusiwa kuua ukiwa unatetea haki! Kabla ya maujinga mengi ujinga wa kwanza ni huu.

Hii dini Mungu wao ni wa kusaidiwa/kupambaniwa, yani mtu akichoma quran et ukimuua unapata thawabu, kwanini kama mnakiamini hicho kitabu msimwache mwenye kitabu mwenyewe akipambanie!

Mungu wa wakristo ni muweza wa yote si wa kusaidiwa/kupambaniwa ndio maana hatuambiwi kuua kutetea haki wala kulipa kisasi, maana mwenye haki ni yeye na inapompendeza huwapatia watu wake na hata Kisasi Mungu wetu ametueleza kuwa ni chake hahitaji tumsadie.
Nitakuwa najibu kwa kufafanua kitu kimoja mara moja tu, anayekuja kwa kejeli nitamuacha hivyo hivyo sitahangaika naye...

Tuanze na hili la kwako... Hebu twende kwa mifano
Amekuja jambazi na genge lake anakamata watu kibao anaanza kuua mmoja mmoja unashuhudia wa kwanza kauawa wa pili kadungwa kisu kafa wa tatu kafyatuliwa risasi chali, mnajitahidi kuomba wasifanye ubaya kwenu lakini ndo kama mnawachochea yaani wajamaa hawaelewi wala hawasikii bado utaendelea kusubiri mjadiliane na hao majambazi?

Serikali fulani imempata kiongozi mwenye kwenda kinyume na kila lililo la kibinadamu. Watu wamemwendea kila namna kumsihi hajirekebishi wala hataki tu kusikia unadhani ataachwa tu aendelee kuumiza watu? Marekani ni mara ngapi inavamia baadhi ya sehemu baada ya kumuonya mara kadhaa kiongozi wa sehemu hiyo na asisikie?

Atokee mtu leo azuie watu kufanya mambo yao ya kijamii (na kwa sababu tunaongelea uislamu basi tuchukue mfano wa kiislamu islamu tu) mfano watu wanaoenda misikitini wategwe njiani watekwe wateswe, wabakwe, na kadhalika na hali hiyo kumetumika njia zote za kumsihi huyo mtu aache lakini haachi je unadhani watu hawatanyanyua mkono dhidi yake?

Yaani elewa kwamba hata ikitokea muislamu anakamata wasio waislamu na kuwadhuru ilihali wao hawajamfanya chochote (hawajamfanyia fitina yoyote kwenye dini yake) basi atatakiwa huyo muislamu kuonywa na kuzuiwa kwa namna yoyote ile asieneze hiyo fitina.
 
Binafsi nafanya kazi na Waislam hawana shida changamoto ni pale Imani inapokuwa Kali na kusoma sana Dini naposikia wameua tena wasio na hatia mfano mwezi June kundi la kiislam lilivamia shule kule Uganda na kuchoma na kuchinja watoto 44,unafikiri Dini nyingine wamechukuliaje ukatili huo
Hivi unaelewa katika historia ya Dunia hakuna mauaji makubwa yaliyowahi kufanyika kwa kutumia jina la dini kama kwenye vita ya msalaba? (Crusade war). Unaonaje leo hii ukristo ukinasibishwa na ukatili huo licha ya kuwa ukristo wenyewe haufundishi hivyo, sababu tu waliofanya mambo hayo ni wakristo kwa kutumia jina la ukristo!

Now the same is happening now, wanaofanya mauaji hayo kwa jina la kiislamu hawana support yoyote katika dini. Lakini kubwa zaidi hayo makundi mengi ya kigaidi ni makundi yaliyoundwa na wamagharibi kwa interest zao maalum.

Ukigundua hilo hutokaa uhadaike na propaganda zinazofanywa za kuuchafua uislamu.
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Chuki zimekujaa ndugu, lakini mwenye busara hujua chuki na hasira ni adui wa busara!
 
We nyama za eid haukupata
Pilau la eid waislam majirani hawakupi
Vipi vile visima yale maji wakristo hamchoti
Vipi foundation za kiislam za kijamii wakristo hawahudumiwi?

Leta hata picha ya foundation yeyote ya kislam anafanya kazi mkristo.

Utamuhudumiaje mkristo wakati ushaambia sio ndugu yako na unapaswa kujitenga nae
 
Back
Top Bottom