Uislamu ni tofauti na wengi tunavyouchukulia: Haya ni mambo ambayo watu walielewa tofauti kuhusu uislamu

Salaam alaykum...

Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo uislamu wamepotoshwa baadhi ya mambo mpaka kufikia kuona dini yao ni chungu na ngumu kutekeleza

Tuongelee pande zote mbili yaani ugumu uliowekwa kwa mtu kuingia uislamu na ugumu uliowekwa kwa waislamu wenyewe

Tukianza na upotoshaji unaomkimbiza asiye muislamu

1. Ugaidi
Matendo yote ya ugaidi na yasiyoendana na ubinadamu mfano uhaini, uuaji bila hatia, ubakaji, ni miongoni mwa mambo yanayopingana vita sana na uislamu. Hoja wanazozisema wengi kuhusu uislamu kuwa ni ugaidi zinajibika kirahisi tu kwa mwenye kutaka kuelewa anaelewa. Aya za quran zote wanazocopy na kupaste wakisema zinasapoti kuua ukiangalia zinaongelea/zinaamrisha kuua baada ya kuwa adui amekusudia kukuua hivyo kupigana vita/kuua kunakuwa ni kwa sababu ya kujihami, kujitetea au kupambania kuondosha fitina iliyokithiri ili haki itendeke kwa wanajamii.

Tena hata kuua huko kuna masharti yake kadha wa kadha siyo kuua kwa mtu atakavyo. Mfano wale wanaoambiwa wanajitoa mhanga, wanaoteka mabinti na kuwanyanyasa (kama ni kweli) basi hiyo ni kwa matakwa yao wenyewe tu lakini uislamu unatetea kila mtu. Ushauri; hizo aya zote wanazosema humu watu na kuzipaste hebu ukiipata usiishie hapo tu bali soma kifungu chote (karaa) au sura kabisa halafu baada ya hapo utarudi. Kwa tafsiri ya ugaidi na maana zake hakuna aya wala hadithi hata moja utakayopata ikisapoti hiyo kitu!

2.Ubaguzi
Kuna mambo mengi ya kiibada ambayo muislamu akifanya kwa kuzingatia dini yake anaonekana kama anafanya ubaguzi kumbe siyo hata. Maswala kama ya ndoa muislamu haruhusiwi kufanya ibada hii ya kufunga ndoa na asiye muislamu, kuchinja muislamu haruhusiwi kula kilichochinjwa na asiyekuwa muislamu, muislamu haruhusiwi kushiriki ibada za wasiokuwa waislamu. Hayo yote siyo ubaguzi bali ni utaratibu wa dini kama ilivyo kwa dini zingine kuwa na mambo ambayo yanawahusu wao wenyewe tu na mengine yakawahusu watu wote na ndiyo maana hata kwa waislamu wakaruhusiwa kushirikiana na wasio waislamu kwa maswala yasiyokuwa ya ibada mahsusi mfano kula pamoja, kupiga stori, kufanya kazi, nk

3.Kuhusu Muhammed
Wapo waliomzushia mtume mambo mengi sana lakini majibu yote yametolewa kwenye quran sitaki nirudie rudie. Bali nitajikita kwenye uzushi mmoja tu kwamba Muhammed alikuwa anapenda sana ngono hasa na vitoto ndomaana alimwoa Aisha katoto. Watu wanaoelewa Historia vizuri wanacheka tu wakiona huu uzushi maana Muhammed amekuwa akiaminiwa tangu utoto mpaka ujana wake mpaka utu uzima wake hata kabla hajapewa utume watu wote walimpenda kwa ubora wa tabia aliyokuwa nayo haya huo uzinzi umetoka wapi. Pia huyu mtu ujana wake wala hakuufaidi ukitaka ukweli maana ana miaka 25 ndo akapata mke wake wa kwanza tena mwanamke akiwa na miaka 40! Mapungufu yote anayosingiziwa Mtume huyapati kwenye hadithi sahihi wala quran

4.Kuhusu Allah, Quran na shetani
Wengi wanaaminisha watu kwamba Allah ndiye shetani mara hivi mara vile. Jamani hebu tusome kwa uelewa vitu siyo kwa kumezeshwa. Kuna aya hapa wanapenda kuipaste kwamba eti shetani ndiye kateremsha kuran kumbe masikini ni shida ya kuelewa maandishi tu wala mola hakumaanisha kuwa ni shetani bali malaika jibril. Soma aya zote zinazotaja vitatu hivyo Allah, Quran na Iblis halafu utajionea mwenyewe

5.Kwamba ukiritadi unauawa. Hoja hii wanaipenda sana masikini lakini wanashindwa kusoma andiko lote lililoko pale. Kama ingekuwa ni kweli hicho wanachosema uislamu ndo ulivyo basi tungeona au hata kusikia huko watu wkiuawa kwa

Twende upotoshwaji kwa waislamu wenyewe

1.Ukiingiwa na najisi ya nguruwe usiswali siku 7 (wengine wakasema siku 40) eti baada ya hapo ndiyo unatwaharika. Ukishajitwaharisha vizuri kwa kufuata taratibu zote zinazokubalika basi wewe ni kazi kazi tu wala hakuna sheria hiyo ya kukaa bila kuswali

2.Janaba la zinaa linaisha kwa siku 40 eti ukizini na mwana wa watu hata kama utaoga usiingie msikitini siku 40 zipite ndipo utakuwa umetwaharika. Huu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana, kalamu inasimama kwa mtoto mdogo, aliyepoteza fahamu/akili na aliyelala sasa sijui huyu wa siku 40 haswali anajinasulia wapi kwenye kuulizwa swala 200 atakazoziacha

3. Mama akijifungua anaogeshwa na shekhe. Hii ndo inauma sana aisee wazee wa zamani eti anaitwa akamuogeshe mmama wa watu yaani ni ushetani juu ya ushetani. Hadathi zote kama ilivyo najisi mtu anajitwaharisha mwenyewe tu sijui mashekhe wa zamani walikuwa na mpango gani na wadada wa watu

4. Mtu akichinja inabidi apewe shingo (ya mnyama aliyechinjwa). Hii mpaka sasa hivi huku nilipo bado wanayo yaani nyama ikiiva tu atatafutwa apewe shingo yake na kama mchinjaji akiifuata yeye mwenyewe akakuta imeliwa anadai hela. Hiyo kitu haipo wewe chinja uondoke ukipewa baadae ni swadaqa tu usipopewa isiwe deni wala mtoaji asifanye ni lazima akuchagulie shingo ndo akupe huo ni uzushi. Hela analipwa yule ambaye hiyo ni kazi yake mfano mchinjaji buchani, hotelini nk

5. Biashara inatakiwa kuuza faida isizidi robo yake (wengine nusu yake) yaani kama kitu umenunua sh.100 maana yake usiuze kwa bei ya itakayozidi 125 (robo) au 150 (nusu). Huu ni uongo mwingine wa mchana kweupe. kilichokatazwa kwenye biashara ni uongo na ulaghai tu lakini kama kitu umeamua kuuza laki na wewe ulinunua mia na mteja akakipenda akaridhia kununua bila kumchomekezea maneno ya kumpambisha na kumlaghai basi kitu hicho unaruhusiwa kumuuzia tu bila shida

6. Lailatul qadr ni nyota ing'aayo sana na ukipata bahati kuiona (ikikutokea hiyo nyota) basi unaomba chochote na hapaohapo unapata. Huu ni uongo ambao wengi bado wanao na tatizo ni darsa watu hawasomi madrasa wakaelewa. Usiku wa cheo, lailatul qadr ni usiku ndiyo lakini hauna alama yoyote kwamba mtu atasema ameupata bali tunahimizwa kufanya yaliyo mema zaidi ndani ya usiku huo (mfano kuswali, kusoma quran, kumsifu mola, kutoa sadaka nk) ili uwe umefanya jambo jema kwenye usiku bora kabisa. Haihusiani na nyota fulani wala jeneza wala kaburi wala...

7. Matendo mema ni kukusanya watu kufanya dua, kusoma maulidi, kuzuru na kusafishia makaburi, kuwafanyia dua ya kumbukumbu ya watu waliokufa, kusoma barzanji mara kwa mara, dhikri ya kidarueshi (ya kukohoa). Hapo kuna mambo mengi sana ambayo watu wamekuwa wakikomaa nayo huku wakiacha matendo mema kabisa kuliko yote ambayo ni kuswali, kusoma quran, kutoa zaka na sadaka, kufunga, kuelimisha watu, kukumbusha watu wadumu na matendo mema na kuzuia watu wasifanye maasi, kuwatii wazazi, nk

Mambo ni mengi sana ila yote kwa yote ni kwamba uislamu mola hatutakii magumu yenye uzito bali anatutakia yaliyo mepesi tu. huo ugumu na uzito wanaweka watu wenyewe! Ingia uislamu ujionee usisikilize propaganda za wasioutakia heri uislamu

Huu ndio uislamu na hawa ndio waislamu kimatendo
IMG_3182.jpg
 
Umeelezea vizuri.Allah akubariki.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nafanya kazi na Waislam hawana shida changamoto ni pale Imani inapokuwa Kali na kusoma sana Dini naposikia wameua tena wasio na hatia mfano mwezi June kundi la kiislam lilivamia shule kule Uganda na kuchoma na kuchinja watoto 44,unafikiri Dini nyingine wamechukuliaje ukatili huo
Waliofanya hivyo sio waislamu soma vizuri hiyo habari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Waislam ni wabaguzi totally, utasikia wanaitana ndugu waislam, hiyo kitu hutaisikia kwa wakristo wakibagua wasio wakristo. Kwenye ukristo utasikia wakiitana wapendwa na majina mengine yasiyo ya kibaguzi.

Kanisani anaweza kuingia muislam akajumuika na wakristo kisha akitoka akaendelea na uislam wake. Kanisani muislam akiingia atakaribishwa kwa furaha na upendo mkubwa, sana sana ataulizwa kama yuko tayari kumpokea kristo kuwa mwokozi wake, kama hayuko tayari halazimishwi na atakaribishwa tena kuhudhuria ibada.

Ibada za kikristo kama hujui kusali utabaki kukaa tu na kushangaa kitu ambacho hakiwezekani msikitini mtu asiye muislam na hajui kuswali aingie akabaki kushangaa bila kufanya matendo ya kuswali. Ni ngumu kuingia msikitini kwa asiye muislam.

Ukristo hauna mahubiri ya kutisha na kuogofya zaidi ya moto wa jehanamu kama hutoacha matendo maovu

Mathayo 10:34-39 BHN​

“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake. Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake. “Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili. Ampendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
 
Dini ya Majini,
Hii imeniogopesha sana sana sana.
Sitaki hata kuusikia Uislamu kwa hili jambo.

Pemba wana andamana kupinga ujenzi wa Kanisa.
Ujenzi wa Bar za Pombe haipingwi kwa maandamano.
Huo ndio Uislamu.
Adui ya Uislamu ni Ukristo, kutokana na mafundisho ya Uislamu.
Ila Majini ni marafiki wa Uislamu. Tena ni ndugu kabisa wakuitana Kaka na Dada.
Hii habari imepotoshwa.Waliandamana kutaka wajengewe Shule,nyumba za ibada zipo nyingi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa Aisha umeperaza paraza. Hebu elezea vizuri alimuoa Aisha na kisha kumuingilia huku Aisha akiwa na umri gani?
Maria mama wa Yesu,aliolewa akiwa na miaka 13,Wakati Joseph aliyemuoa alikuwa ns miaka 90.Watu wa mashariki ya kati,wanakula nyama na maziwa,wanakuwa na afya,usifananishe na watu wa Afrika ,wanaokula ugali na chumvi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mumeelekezwa ugaidi kwenye kurani, yaani moja kwa moja, hizi aya hapa zinawaagiza kuchinja wasioabudu mnachokiabudu....

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Yesu anasema
"Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuja kuketa amani bali Upanga":
Matthew 26:39-46
Hawa wanafuata maagizo ya Yesu kwa vitendo,ili wapate uzima wa milele

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Yesu anasema
"Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuja kuketa amani bali Upanga":
Matthew 26:39-46
Hawa wanafuata maagizo ya Yesu kwa vitendo,ili wapate uzima wa milele

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Halafu "mungu" wenu huyu alikua anafanyia wavulana uchafu sana
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

UNABII WA UFUNUO UNAITA DINI HIYO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Wacha kudanganywa,na kudanfanyika,kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.Qur'an nzima imempinga na kumlani Shetani,ukianza kusoma Qur'an unaanza kumlani Shetani,hakuna kitabu cha dini yoyote kinachomlani shetani,ila Qur'an tu
Screenshot_2023-07-31_222828.jpg
Screenshot_2023-07-31_222749.jpg

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

UNABII WA UFUNUO UNAITA DINI HIYO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Shetani aandike Qur'an halafu ajipinge mwenyewe
Screenshot_2023-07-31_222828.jpg
Screenshot_2023-07-31_222749.jpg

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Aisee hao watu ni wabaguzi asikwambie mtu nina experience ya kutosha nlisoma shule yenye mrengo huo asilimia kubwa ni wao wachache tulikua dini zingne nlisoma siku 65 tu nlikimbia shule!
Ukiona mahali Panasonic ubaguzi,ujuwe wewe ndio mbaguzi.Mwizi hufikiria kila anayemuona ni mwizi kama yeye.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni propaganda tu, wanauwana wenyewe wenyewe kikabila hko, wanasingizia Waislam

Nasikia Uganda huko kuna mpaka vijiji wanakula nyama za watu. Sasa Muislam akitaka kuliwa nyama au nduguye kaliwa nyama akienda kuuwa wala watu inakuwaje hapo?
Hawana hoja,wanabadilisha habari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
kujihami unajihami kwa kuua mkuu na kuondoa fitna unaondoa kwa kuua, kujitetea unajitetea kwa kuua ? sidanganyiki
Msikilize yesu
"Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuja kuleta amani bali upanga"
Matthew 10:34-36
Hao wanamfuata Yesu,kwa vitendo,ili wapate uzima wa milele.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sio salamu alaykum ni assalam alaykum sitochangia kitu umenza vibaya
 
Salaam alaykum...

Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo uislamu wamepotoshwa baadhi ya mambo mpaka kufikia kuona dini yao ni chungu na ngumu kutekeleza

Tuongelee pande zote mbili yaani ugumu uliowekwa kwa mtu kuingia uislamu na ugumu uliowekwa kwa waislamu wenyewe

Tukianza na upotoshaji unaomkimbiza asiye muislamu

1. Ugaidi
Matendo yote ya ugaidi na yasiyoendana na ubinadamu mfano uhaini, uuaji bila hatia, ubakaji, ni miongoni mwa mambo yanayopingana vita sana na uislamu. Hoja wanazozisema wengi kuhusu uislamu kuwa ni ugaidi zinajibika kirahisi tu kwa mwenye kutaka kuelewa anaelewa. Aya za quran zote wanazocopy na kupaste wakisema zinasapoti kuua ukiangalia zinaongelea/zinaamrisha kuua baada ya kuwa adui amekusudia kukuua hivyo kupigana vita/kuua kunakuwa ni kwa sababu ya kujihami, kujitetea au kupambania kuondosha fitina iliyokithiri ili haki itendeke kwa wanajamii.

Tena hata kuua huko kuna masharti yake kadha wa kadha siyo kuua kwa mtu atakavyo. Mfano wale wanaoambiwa wanajitoa mhanga, wanaoteka mabinti na kuwanyanyasa (kama ni kweli) basi hiyo ni kwa matakwa yao wenyewe tu lakini uislamu unatetea kila mtu. Ushauri; hizo aya zote wanazosema humu watu na kuzipaste hebu ukiipata usiishie hapo tu bali soma kifungu chote (karaa) au sura kabisa halafu baada ya hapo utarudi. Kwa tafsiri ya ugaidi na maana zake hakuna aya wala hadithi hata moja utakayopata ikisapoti hiyo kitu!

2.Ubaguzi
Kuna mambo mengi ya kiibada ambayo muislamu akifanya kwa kuzingatia dini yake anaonekana kama anafanya ubaguzi kumbe siyo hata. Maswala kama ya ndoa muislamu haruhusiwi kufanya ibada hii ya kufunga ndoa na asiye muislamu, kuchinja muislamu haruhusiwi kula kilichochinjwa na asiyekuwa muislamu, muislamu haruhusiwi kushiriki ibada za wasiokuwa waislamu. Hayo yote siyo ubaguzi bali ni utaratibu wa dini kama ilivyo kwa dini zingine kuwa na mambo ambayo yanawahusu wao wenyewe tu na mengine yakawahusu watu wote na ndiyo maana hata kwa waislamu wakaruhusiwa kushirikiana na wasio waislamu kwa maswala yasiyokuwa ya ibada mahsusi mfano kula pamoja, kupiga stori, kufanya kazi, nk

3.Kuhusu Muhammed
Wapo waliomzushia mtume mambo mengi sana lakini majibu yote yametolewa kwenye quran sitaki nirudie rudie. Bali nitajikita kwenye uzushi mmoja tu kwamba Muhammed alikuwa anapenda sana ngono hasa na vitoto ndomaana alimwoa Aisha katoto. Watu wanaoelewa Historia vizuri wanacheka tu wakiona huu uzushi maana Muhammed amekuwa akiaminiwa tangu utoto mpaka ujana wake mpaka utu uzima wake hata kabla hajapewa utume watu wote walimpenda kwa ubora wa tabia aliyokuwa nayo haya huo uzinzi umetoka wapi. Pia huyu mtu ujana wake wala hakuufaidi ukitaka ukweli maana ana miaka 25 ndo akapata mke wake wa kwanza tena mwanamke akiwa na miaka 40! Mapungufu yote anayosingiziwa Mtume huyapati kwenye hadithi sahihi wala quran

4.Kuhusu Allah, Quran na shetani
Wengi wanaaminisha watu kwamba Allah ndiye shetani mara hivi mara vile. Jamani hebu tusome kwa uelewa vitu siyo kwa kumezeshwa. Kuna aya hapa wanapenda kuipaste kwamba eti shetani ndiye kateremsha kuran kumbe masikini ni shida ya kuelewa maandishi tu wala mola hakumaanisha kuwa ni shetani bali malaika jibril. Soma aya zote zinazotaja vitatu hivyo Allah, Quran na Iblis halafu utajionea mwenyewe

5.Kwamba ukiritadi unauawa. Hoja hii wanaipenda sana masikini lakini wanashindwa kusoma andiko lote lililoko pale. Kama ingekuwa ni kweli hicho wanachosema uislamu ndo ulivyo basi tungeona au hata kusikia huko watu wkiuawa kwa

Twende upotoshwaji kwa waislamu wenyewe

1.Ukiingiwa na najisi ya nguruwe usiswali siku 7 (wengine wakasema siku 40) eti baada ya hapo ndiyo unatwaharika. Ukishajitwaharisha vizuri kwa kufuata taratibu zote zinazokubalika basi wewe ni kazi kazi tu wala hakuna sheria hiyo ya kukaa bila kuswali

2.Janaba la zinaa linaisha kwa siku 40 eti ukizini na mwana wa watu hata kama utaoga usiingie msikitini siku 40 zipite ndipo utakuwa umetwaharika. Huu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana, kalamu inasimama kwa mtoto mdogo, aliyepoteza fahamu/akili na aliyelala sasa sijui huyu wa siku 40 haswali anajinasulia wapi kwenye kuulizwa swala 200 atakazoziacha

3. Mama akijifungua anaogeshwa na shekhe. Hii ndo inauma sana aisee wazee wa zamani eti anaitwa akamuogeshe mmama wa watu yaani ni ushetani juu ya ushetani. Hadathi zote kama ilivyo najisi mtu anajitwaharisha mwenyewe tu sijui mashekhe wa zamani walikuwa na mpango gani na wadada wa watu

4. Mtu akichinja inabidi apewe shingo (ya mnyama aliyechinjwa). Hii mpaka sasa hivi huku nilipo bado wanayo yaani nyama ikiiva tu atatafutwa apewe shingo yake na kama mchinjaji akiifuata yeye mwenyewe akakuta imeliwa anadai hela. Hiyo kitu haipo wewe chinja uondoke ukipewa baadae ni swadaqa tu usipopewa isiwe deni wala mtoaji asifanye ni lazima akuchagulie shingo ndo akupe huo ni uzushi. Hela analipwa yule ambaye hiyo ni kazi yake mfano mchinjaji buchani, hotelini nk

5. Biashara inatakiwa kuuza faida isizidi robo yake (wengine nusu yake) yaani kama kitu umenunua sh.100 maana yake usiuze kwa bei ya itakayozidi 125 (robo) au 150 (nusu). Huu ni uongo mwingine wa mchana kweupe. kilichokatazwa kwenye biashara ni uongo na ulaghai tu lakini kama kitu umeamua kuuza laki na wewe ulinunua mia na mteja akakipenda akaridhia kununua bila kumchomekezea maneno ya kumpambisha na kumlaghai basi kitu hicho unaruhusiwa kumuuzia tu bila shida

6. Lailatul qadr ni nyota ing'aayo sana na ukipata bahati kuiona (ikikutokea hiyo nyota) basi unaomba chochote na hapaohapo unapata. Huu ni uongo ambao wengi bado wanao na tatizo ni darsa watu hawasomi madrasa wakaelewa. Usiku wa cheo, lailatul qadr ni usiku ndiyo lakini hauna alama yoyote kwamba mtu atasema ameupata bali tunahimizwa kufanya yaliyo mema zaidi ndani ya usiku huo (mfano kuswali, kusoma quran, kumsifu mola, kutoa sadaka nk) ili uwe umefanya jambo jema kwenye usiku bora kabisa. Haihusiani na nyota fulani wala jeneza wala kaburi wala...

7. Matendo mema ni kukusanya watu kufanya dua, kusoma maulidi, kuzuru na kusafishia makaburi, kuwafanyia dua ya kumbukumbu ya watu waliokufa, kusoma barzanji mara kwa mara, dhikri ya kidarueshi (ya kukohoa). Hapo kuna mambo mengi sana ambayo watu wamekuwa wakikomaa nayo huku wakiacha matendo mema kabisa kuliko yote ambayo ni kuswali, kusoma quran, kutoa zaka na sadaka, kufunga, kuelimisha watu, kukumbusha watu wadumu na matendo mema na kuzuia watu wasifanye maasi, kuwatii wazazi, nk

Mambo ni mengi sana ila yote kwa yote ni kwamba uislamu mola hatutakii magumu yenye uzito bali anatutakia yaliyo mepesi tu. huo ugumu na uzito wanaweka watu wenyewe! Ingia uislamu ujionee usisikilize propaganda za wasioutakia heri uislamu
Hapo namba 3. Kiukweli mudi alikuwa mpenda ngono, alimuoa dogo wa miaka 6, alimuoa Bibi wa miaka 40, akaoa wanawake 11. Huyo si mpenda ngono?
Hebu Rudi ueleze vizuri hii point.
 
DINI YA KIISLAMU.

1. Hairuhusu wanawake kwenda shule

2.Hairuhusu wanawake kwenda sokoni.

3. Hairuhusu wanawake kwenda Saloon.

4. Hairuhusu wanawake KUENDESHA Magari.

5. Hairuhusu mwanamke kuwa KIONGOZI.

6. Hairuhusu wanawake kuwa Kichwa wazi.

7. Hairuhusu wanawake kwenda peponi, peponi Kuna Bikra wao 72.

NI WABAGUZI HATA KWA WANAWAKE TU, SASA KWA DINI ZILIZOTANGULIA WAYAHUDI NA WAKRISTO ITAKUWAJE.

SHIMO LA KUZIMU.
Sio kweli umeandika uongo mtupu
University ya kwanza Afrika aliyeanzisha ni mwanamke wa kiislam
Screenshot_2023-07-25_170223.jpg
Screenshot_2023-08-01_080557.jpg

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hawa waislam?
1.Askof Kibwetere,na wenzake waliwachoma waumini kanisani,akawaua.
2.Waprotestant na wakatoloki Ireland ya kaskazini wameuana sana na kuacha wengi vilema.
3.Rwanda,Padre aliwauwa waliokimbia vita kanisani,aliwamiminia risasi.
4.Lord Resistance Army,huko Uganda wameua watu wengi na kuwacha wengi vilema.
5.Kijana wa Kizungu aliingia kanisani huko UK na kuwaua waumini wenzake weusi.
6.Mchungaji Ezackiel hapo Kenya,aliwaua waumini wenzake kwa kuwafungusha kwa utapeli.
7.Sudan ya kusini,watu wameuana sana
8.M23 wanauwa watu huko Kongo
9.Nk
.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Kumbe mimi ndo nilikuwa sijaelewa, kwa vile M23 inauwa basi waislam nao wana
haki ya kuua.

Ndomana kuna makundi mengi ya waislam, osama aliua watu zadi ya elfu tatu tena siku moja.
 
Back
Top Bottom