Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki

Sio nchi hii sisi waislamu wa nchi wengi tumekuwa machawa wa dhalimu inayoendelea
 
Umesema kweli
Sheria za kiislam hazihitaji update wala nini yaani
Nature yake zenyewe zipo updated bila kufanyiwa hio update
Huwezi ukasikia sura 2:1 ama sura ya 100:6 ama sura yeyote ile zinahitajia mabadiliko kwasababu ya ongezeko la watu ama kwasababu ya hiki na kile
Dunia nzima ingeamua kusimama totally na uislam na sheria zake ujinga huu mwingi uliopo leo tusingeusikia
Wazinifu tunge(mungekula vyuma kwa sharia)
Waizi tunge(mungekula vyuma kwa sharia(
Wachawi tunge(mungekula vyuma kwa sharia)
Mafisadi tunge (mungekula vyuma kwa sharia)
Yaani kiufupi adabu ingetamalaki kila angle kuanzia ndani mpaka huko nje yaani!!!
 
Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki
Hata wale walionyongwa Saudia Arabia walikuwa wanasema hivyo na kuwaita watu makafiri๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Uislamu ni ugaidi
 
Huoni kuwa ni uduanzi? Ndio maana jamii hiyo haina akili, wamedumaa kwa imani hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ