The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela
Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile. Kwani uislamu ni kilema kwamba mnanyanyapaliwa
Kama hamuwezi uongozi kaeni pembeni hatutamvumilia mtu atuongoze Vibaya kisa tunamwogopa kumsema kisa dini yake.. Mbona wakristo hawalalamiki wakisemwa.
Hamjakuwepo kipindi cha Magufuli..Kitima huyuhuyu alimpiga nyundo Magufuli kuhusu Utawala Bora na kukataa uwepo wa corona . Ulisikia watu wanasema Ukristo. Muache kabisa kuchaganya siasa na dini. Nchi Hii ni ya watu wote wapagani na wazinzi,walevi na wachawi, Wala vitimoto na makahaba, wakristo na waislamu na inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria.
Katiba ya nchi haijajengwa juu ya msingi wa kanisa wala Uislamu. kWa hiyo kama mnataka kuongoza nchi Kwa Sheria za kiislamu tafuteni nchi yenu siyo Tanzania yetu
Uislamu ni dini kama dini zingine ukimbwela lazima tukushushie nawe ya kichwa, acheni hizo inferiority complex inawasumbua kujiona kama watoto wadogo eti kila kitu mnaonewa.
Acheni kabisa habari hizo chapeni KAZI acheni uswahili swahili wenu