CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Shida ya waislam mpaka sasa hakuna kitabu wanacho kiamini asilimia 100 hata Quran yenyewe hawaimini mfano ukisoma kurani ilio tafsiriwa na imam Abdalaaha Farsey kuna Aya wanazikataa kuwa haziko sawa .
ukisoma ilio tafsiriwa na Barwahan kuna aya wanazikataa wanasema haziko sawa ukisoma Ibn Kathir vivyo hivyo hawaikubali aya zote ukienda vitabu vya Hadithi vivyo hivyo watakwambia baadhi wanazikubari baadhi hazikubariki vitabu vyote vya hadithi hakuna hata kimoja wanacho kikubari ukiuliza bible watakwambia biblia ni kitabu cha uongo lakini papo hapo kuna aya wanazikubari ndani ya bible ukiwambia kama biblia hii ni fek leteni org mlio nayo hawana ukiwauliza mnaamini vitabu vingapi
watakwambia 4 yaan Taurat ,Zaburi , Injiri na Quran ukiwambia haya onyesheni Taurat Zaburi na Injiri viko wapi vitabu hivyo hawana na hawajui na wala hawavijui lakini wanarudi tena kusoma kwenye biblia wanayo ikataaa kwakweli tukisimamia ukweli bila ushabiki uislam sio din ya MUNGU wa mbinguni bali ni dini ilio jaa ujanja ujanja na ni mawazo ya watu na yanalindwa na lugha