CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Kuna Dada huko Majini yamempanda amekuja anatusumbua mno.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaolilia ni nyinyi.Waislamu wamepiga hatua miaka mingi tu.Angali Ismailiya Islsmic Community,dhule za Tambaza na Mzizima walijenga wao,!!hospital Agha Khan,University ya, Agha Khan,hospital ziko Tanzanis nzima.Bado Istiqama na Direct Aid.Bado BAKWATA,wana mashule yao zaidi ya 60.Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela
Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile. Kwani uislamu ni kilema kwamba mnanyanyapaliwa
Kama hamuwezi uongozi kaeni pembeni hatutamvumilia mtu atuongoze Vibaya kisa tunamwogopa kumsema kisa dini yake.. Mbona wakristo hawalalamiki wakisemwa.
Hamjakuwepo kipindi cha Magufuli..Kitima huyuhuyu alimpiga nyundo Magufuli kuhusu Utawala Bora na kukataa uwepo wa corona . Ulisikia watu wanasema Ukristo. Muache kabisa kuchaganya siasa na dini. Nchi Hii ni ya watu wote wapagani na wazinzi,walevi na wachawi, Wala vitimoto, wakristo na waislamu na inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria.
Katiba ya nchi haijajengwa juu ya msingi wa kanisa wala Uislamu. kWa hiyo kama mnataka kuongoza nchi Kwa Sheria za kiislamu tafuteni nchi yenu siyo Tanzania yetu
Uislamu ni dini kama dini zingine ukimbwela lazima tukushushie nawe ya kichwa, acheni hizo inferiority complex inawasumbua kujiona kama watoto wadogo eti kila kitu mnaonewa.
Acheni kabisa habari hizo chapeni KAZI acheni uswahili swahili wenu
Huu ndio ukweli.Na wanaona wivu kwa vile wanawake wao wanatembea kichwa wazi na kuvyaa nyele za maiti,wenywe wanaita Wigi.Acheni unafiki. Maaskofu wenu na mapadri walikua wapi wakati miili ikiokotwa kwenye viroba. Shida yenu waisilamu wakiongoza hii nchi mnakua na vinyongo sana. Acheni roho mbaya hamjakatazwa kukosoa ila hizo mambo za udini huwa mnaanzisha wenyewe. Hebu nikuulize swali hauwezi kumkosoa raisi utendaji wake mpaka utaje ushungi?. Hauwezi kumkosoa raisi utendaji wake mpaka utaje uzanzibar?. You guys mna roho mbaya sana
Upupu tu and nothing else umeandika.....you've tried to express your hate through keyboard!Ni upuuzi mtupu, wanajiona ni kundi dogo lenye kuhitaji kuhurumiwa kila nyanja. Halafu ni wabaguzi balaa mara utawasikia wakiitana waislam, waislam, ndugu waislam kitu ambacho huwezi kukisikia kwa wakristo wakiitana hadharani wakristo, wakristo ndugu wakristo kana kwamba nchi hii ni ya wakristo pekee. Hukuti taarifa kuwa wakristo wadai hili na lile. Hawa ndugu dini yao inawaathiri vibaya wanajisikia kuonewa na kukandamizwa hata duniani pia kuna upuuzi huo
Aisee Leo huu Ismailia unawaita Waislam!! Na ahamadiya nao unawakubali? Jamani nimemuuliza hilo kwa sababu Hutasikia ismailia, Ahamadiya na kwa kiasi kikubwa Shia wamejilipua au hata wanaleta vurugu kwenye jamii. Ila ni WASUNNI ndyo Janga la Dunia hii. Mfano tu ni huko Nigeria na PakstaniMnaolilia ni nyinyi.Waislamu wamepiga hatua miaka mingi tu.Angali Ismailiya Islsmic Community,dhule za Tambaza na Mzizima walijenga wao,!!hospital Agha Khan,University ya, Agha Khan,hospital ziko Tanzanis nzima.Bado Istiqama na Direct Aid.Bado BAKWATA,wana mashule yao zaidi ya 60.
View attachment 2704488View attachment 2704492View attachment 2704494
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mimi katika maisha yangu nimefaidika sana wakati wa Awamu za Maraisi Waislamu.
Na nilipenda sana vipindi vyao vilikuwa vya fulsa na Pesa.
Kwakweli sikuwa wa kujitegemea katika awamu ya Nyerere lakini nilisikia hata sabuni zilikuwa za shida
Watu walipanga foleni kwenye maduka ya ule unga wa njano.
Na Democrasia haikuwepo
Ninacho msifu Nyerere ni kuondoa Ukabila na Udini.
Wakati wa Mkapa hali ilikuwa mbaya sana kwangu kipesa.
Wakati wa Magufuri ndio kabisa pesa hakuna na Uhakiki kila kukicha. Ili kufukuza wafanyakazi kwa kuwaonea tu.
Maraisi Waislamu wamefanya vizuri sana.
Hata huyu aliyepo. Namwomba tu Akubali kuurekebisha Mkataba wa DP World mambo yatakuwa mazuri tu.
Hawa watu ni janga Kwa taifa
Jana FaizaFoxy kawabadilikia wenzie kama hawajui hawa watu niwabaguzi mno nawanapenda kutafuta huruma sijui wapoje!?
Bora umeongea kabisa....
Akina Ndg. kweli kabisa hawa watu tabia yao ya kulia llia ni kila mahali waliko. Ulaya na Marekani wamekaribishwa kwa kuwaonea huruma, lakini agenda yao ya islamization bado wanaishikilia. mfano Uingereza mtu akikosoa kidogo mtume, Allah na quran yao hawakawii kukimbilia kuwa this is islamophobia. lakini wao wanashupalia na mpaka wakafanya Maandamano ya vurugu UK kushinikiza sharia ya Blasphemy itumike Uingereza; ambapo ikikubalika inamaana ukimsema vibaya Mohammad=Blasphemy.Shida ya waislam mpaka sasa hakuna kitabu wanacho kiamini asilimia 100 hata Quran yenyewe hawaimini mfano ukisoma kurani ilio tafsiriwa na imam Abdalaaha Farsey kuna Aya wanazikataa kuwa haziko sawa .
ukisoma ilio tafsiriwa na Barwahan kuna aya wanazikataa wanasema haziko sawa ukisoma Ibn Kathir vivyo hivyo hawaikubali aya zote ukienda vitabu vya Hadithi vivyo hivyo watakwambia baadhi wanazikubari baadhi hazikubariki vitabu vyote vya hadithi hakuna hata kimoja wanacho kikubari ukiuliza bible watakwambia biblia ni kitabu cha uongo lakini papo hapo kuna aya wanazikubari ndani ya bible ukiwambia kama biblia hii ni fek leteni org mlio nayo hawana ukiwauliza mnaamini vitabu vingapi
watakwambia 4 yaan Taurat ,Zaburi , Injiri na Quran ukiwambia haya onyesheni Taurat Zaburi na Injiri viko wapi vitabu hivyo hawana na hawajui na wala hawavijui lakini wanarudi tena kusoma kwenye biblia wanayo ikataaa kwakweli tukisimamia ukweli bila ushabiki uislam sio din ya MUNGU wa mbinguni bali ni dini ilio jaa ujanja ujanja na ni mawazo ya watu na yanalindwa na lugha
Nikweli, mim Ni musislam nanashindwa keelewa Hii kujitetea kwenye uislam kumetokea wapiHizi kelele unazosikia wala sio msimamo wa waislamu, isipokuwa kuna kakundi kanatumika kutoka sehemu flani nyeti kujibebesha bendera as if they are spokesperson wa waislam ili Ku naturalise hali.
sentensi iishie ndugu zangu, ukiongeza waislam tayari umebagua watu. Uliwahi kusikia sentensi hizh? Ndugu zangu wakristo, ndugu wakatoliki, ndugu walutheri, ndugu wapentekoste/walokole, ndugu wasabato kwenye mikusanyiko yao au mijumuiko mingine? Kwa nini kila mara na kila wakati ni ndugu waislam, ndugu waislam kana kwamba ni ndani ya misikiti? Huo ni ubaguzi wa kidini usiotakiwa katikaUpupu tu and nothing else umeandika.....you've tried to express your hate through keyboard!
Sasa kuna shida gani mtu akisema ndugu zangu?? Kwahiyo neno "ndugu zangu" nalo unalichukulia serious namna hiyo?? Kwani umekatazwa kulitumia hahaa
Hee jamani, nikiongea na wachaga wakwetu nisiwaite ndugu zangu wachaga?? Ama ni Mara ngapi president magufuli alikuwa akilitumia neno ndugu zangu?? Kwani kuna ubaya gani??
Dini yetu imejengwa katika upendo ndugu yangu LOTH HEMA
Kumuita mtu tu ndugu yangu(say) mbowe tayari respect na mahaba ndani yake!
Dini ya mnyazi MunguWaislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela
Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile. Kwani uislamu ni kilema kwamba mnanyanyapaliwa
Kama hamuwezi uongozi kaeni pembeni hatutamvumilia mtu atuongoze Vibaya kisa tunamwogopa kumsema kisa dini yake.. Mbona wakristo hawalalamiki wakisemwa.
Hamjakuwepo kipindi cha Magufuli..Kitima huyuhuyu alimpiga nyundo Magufuli kuhusu Utawala Bora na kukataa uwepo wa corona . Ulisikia watu wanasema Ukristo. Muache kabisa kuchaganya siasa na dini. Nchi Hii ni ya watu wote wapagani na wazinzi,walevi na wachawi, Wala vitimoto, wakristo na waislamu na inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria.
Katiba ya nchi haijajengwa juu ya msingi wa kanisa wala Uislamu. kWa hiyo kama mnataka kuongoza nchi Kwa Sheria za kiislamu tafuteni nchi yenu siyo Tanzania yetu
Uislamu ni dini kama dini zingine ukimbwela lazima tukushushie nawe ya kichwa, acheni hizo inferiority complex inawasumbua kujiona kama watoto wadogo eti kila kitu mnaonewa.
Acheni kabisa habari hizo chapeni KAZI acheni uswahili swahili wenu
Naona unaanza kuelewa, utaelewa tu.Aisee Leo huu Ismailia unawaita Waislam!! Na ahamadiya nao unawakubali? Jamani nimemuuliza hilo kwa sababu Hutasikia ismailia, Ahamadiya na kwa kiasi kikubwa Shia wamejilipua au hata wanaleta vurugu kwenye jamii. Ila ni WASUNNI ndyo Janga la Dunia hii. Mfano tu ni huko Nigeria na Pakstani
Huu ndio ukweliMimi katika maisha yangu nimefaidika sana wakati wa Awamu za Maraisi Waislamu.
Na nilipenda sana vipindi vyao vilikuwa vya fulsa na Pesa.
Kwakweli sikuwa wa kujitegemea katika awamu ya Nyerere lakini nilisikia hata sabuni zilikuwa za shida
Watu walipanga foleni kwenye maduka ya ule unga wa njano.
Na Democrasia haikuwepo
Ninacho msifu Nyerere ni kuondoa Ukabila na Udini.
Wakati wa Mkapa hali ilikuwa mbaya sana kwangu kipesa.
Wakati wa Magufuri ndio kabisa pesa hakuna na Uhakiki kila kukicha. Ili kufukuza wafanyakazi kwa kuwaonea tu.
Maraisi Waislamu wamefanya vizuri sana.
Hata huyu aliyepo. Namwomba tu Akubali kuurekebisha Mkataba wa DP World mambo yatakuwa mazuri tu.
Na ndio dini yenye wasomi,chuo kikuu cha kwanza Afrika,kilianzishwa na mwanamke wa kiislamu.Dini ya mnyazi Mungu
Wewe unaekunya mavi ukajipaka una uhodari wa kumkosoa mtu anaetawadha?Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela
Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile. Kwani uislamu ni kilema kwamba mnanyanyapaliwa
Kama hamuwezi uongozi kaeni pembeni hatutamvumilia mtu atuongoze Vibaya kisa tunamwogopa kumsema kisa dini yake.. Mbona wakristo hawalalamiki wakisemwa.
Hamjakuwepo kipindi cha Magufuli..Kitima huyuhuyu alimpiga nyundo Magufuli kuhusu Utawala Bora na kukataa uwepo wa corona . Ulisikia watu wanasema Ukristo. Muache kabisa kuchaganya siasa na dini. Nchi Hii ni ya watu wote wapagani na wazinzi,walevi na wachawi, Wala vitimoto, wakristo na waislamu na inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria.
Katiba ya nchi haijajengwa juu ya msingi wa kanisa wala Uislamu. kWa hiyo kama mnataka kuongoza nchi Kwa Sheria za kiislamu tafuteni nchi yenu siyo Tanzania yetu
Uislamu ni dini kama dini zingine ukimbwela lazima tukushushie nawe ya kichwa, acheni hizo inferiority complex inawasumbua kujiona kama watoto wadogo eti kila kitu mnaonewa.
Acheni kabisa habari hizo chapeni KAZI acheni uswahili swahili wenu
Finn Mungu akuriki sana Mtanzania mwenzetu. Mm binafsi ninamchanganyiko ndani ya familia yetu tuko waislam na wakristo. Ni kwambie siwezi kamwe kumuacha nndg yangu kwa sababu ni muislam. Na ndani ya familia siwezi kamwe kusema haya ninayosema humu JF ili ndugu huyo atoke uislam. Badala yake nikwambie, sisi wakiristo tunaambiwa ndani ya familia hubiri injili ya yesu kwa matendo mema ili matendo hayo na kwa msaada wa Mungu yule wa kweli aliye na upendo kwa kila mwanadamu ndugu yangu avutiwe na kuamua mwenyewe kuchunguza mafundisho ya kweli ya Yesu kwenye Biblia. Pia nikwambie tena Finn angalia tu hata kwenye Jamii, Wakristo ndyo huwa wanajaribu hata kuiga tamaduni za kiislam (mfano kuvaa kanzu, Makanisani kwetu kama kuna Msiba hatuna uficho ficho nani aingie kaniasani) Lakini ndugu zetu waislamu wana uficho ficho sana mpaka tunapatwa na wasiwasi.Nikweli, mim Ni musislam nanashindwa keelewa Hii kujitetea kwenye uislam kumetokea wapi
Naona unaanza kuelewa, utaelewa tu.
Aise CAPO ngoja huyu wakujilipua apate kidonge chake kupitia hii video. Maana wanasema "ukikariri kurani utabakia Muislam ila ukiisoma Kuran na kuielewa utaacha Uislam" without lies Islam dies"Kuna Dada huko Majini yamempanda amekuja anatusumbua mno.....
Huyo uliyomuweka ndiyo nabii wako? Ana authority ipi kuisemea Qur'an?Aise CAPO ngoja huyu wakujilipua apate kidonge chake kupitia hii video. Maana wanasema "ukikariri kurani utabakia Muislam ila ukiisoma Kuran na kuielewa utaacha Uislam" without lies Islam dies"
Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini.Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela
Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile. Kwani uislamu ni kilema kwamba mnanyanyapaliwa
Kama hamuwezi uongozi kaeni pembeni hatutamvumilia mtu atuongoze Vibaya kisa tunamwogopa kumsema kisa dini yake.. Mbona wakristo hawalalamiki wakisemwa.
Hamjakuwepo kipindi cha Magufuli..Kitima huyuhuyu alimpiga nyundo Magufuli kuhusu Utawala Bora na kukataa uwepo wa corona . Ulisikia watu wanasema Ukristo. Muache kabisa kuchaganya siasa na dini. Nchi Hii ni ya watu wote wapagani na wazinzi,walevi na wachawi, Wala vitimoto, wakristo na waislamu na inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria.
Katiba ya nchi haijajengwa juu ya msingi wa kanisa wala Uislamu. kWa hiyo kama mnataka kuongoza nchi Kwa Sheria za kiislamu tafuteni nchi yenu siyo Tanzania yetu
Uislamu ni dini kama dini zingine ukimbwela lazima tukushushie nawe ya kichwa, acheni hizo inferiority complex inawasumbua kujiona kama watoto wadogo eti kila kitu mnaonewa.
Acheni kabisa habari hizo chapeni KAZI acheni uswahili swahili wenu
Dada with this AI na ulimwengu wa internet itabidi muijue tu Quran yenu; maana hapo zamani mulikuwa mnajikita tu kwenye Bible, na the bible stood the test of time and your silly criticism. But tell you what? the Quran will not stand the test of criticism. Vijana huko Pakistan, wamebaini uongo ndani ya Quran na sasa wanasema hovyo kwenye mitandao ya kijamii kwa kwenda mbele. Viongozi wa dini wanalia Ona hii video hapa chiniHuyo uliyomuweka ndiyo nabii wako? Ana authority ipi kuisemea Qur'an?