Uislamu Siyo Kilema, Waislamu acheni kulia lia Tunapowakosoa

Shida ya waislam mpaka sasa hakuna kitabu wanacho kiamini asilimia 100 hata Quran yenyewe hawaimini mfano ukisoma kurani ilio tafsiriwa na imam Abdalaaha Farsey kuna Aya wanazikataa kuwa haziko sawa .

ukisoma ilio tafsiriwa na Barwahan kuna aya wanazikataa wanasema haziko sawa ukisoma Ibn Kathir vivyo hivyo hawaikubali aya zote ukienda vitabu vya Hadithi vivyo hivyo watakwambia baadhi wanazikubari baadhi hazikubariki vitabu vyote vya hadithi hakuna hata kimoja wanacho kikubari ukiuliza bible watakwambia biblia ni kitabu cha uongo lakini papo hapo kuna aya wanazikubari ndani ya bible ukiwambia kama biblia hii ni fek leteni org mlio nayo hawana ukiwauliza mnaamini vitabu vingapi

watakwambia 4 yaan Taurat ,Zaburi , Injiri na Quran ukiwambia haya onyesheni Taurat Zaburi na Injiri viko wapi vitabu hivyo hawana na hawajui na wala hawavijui lakini wanarudi tena kusoma kwenye biblia wanayo ikataaa kwakweli tukisimamia ukweli bila ushabiki uislam sio din ya MUNGU wa mbinguni bali ni dini ilio jaa ujanja ujanja na ni mawazo ya watu na yanalindwa na lugha
 
Anayeanza haonekani, mlikuwa mkiwaona wamekaa kimya mkadhani ni waoga na hawajitambui mkaanza kuleta vioja vya kumkashifu kiongozi wa nchi kwa imani yake, sasa subirini nanyi muone jinsi gani wenye imani ya kiislamu wanaweza kukufedhehesheni katika mambo yote ambayo wa imani nyingine mliyokuwa mkiyafanya dhidi ya waislamu. Raisi Samia ni mwanachama na mwenyeketiti wa CCM, mkitaka kumkosoa mkosoeni kwa chama chake na si imani yake, katu hamuwezi kukashifu imani za watu kwa kisingizio cha siasa. Mambo yamekuzidini sasa mnatafuta mlango wa kutokea.
 

kwanza hao wazanzibar hua wanajiita wao wenyewe na wanapenda kuitwa wazanzibar
 
Majini wema...
 
Bora umeongea kabisa....
 
Kukosoa nijambo zuli sana hao wakirito unao wasema wakiwa viongozi wanawaminya wakosoaji mfano mkapa nyerere Magufuli hawa hawakukubali kukosolewa wala hakuna sheikh aliyepanda jukwaani kuwananda lakini vipindi vyote via waisilamu tunawaona viongozi wa kanisa wakipanda majukwaani kuwananga viongozi waisilamu,kukosoa sawa lakini tatizo kuegemea kwenye imani wanasiasa hawana shida hao hiyo ndio kazi yao tatizo liko kwa wavaa misalaba
 
Haya ni matatizo ya kuhusisha dini na siasa
 
Wakristo wakisemwa Huwa wanaua wanaowasema usijitoe ufahamu cc Mkapa cc Mwendazake cc Nyerere

Mkitaka Waislamu wajibu hamtawaweza si mnawajua moto wao?

Mwisho Waislamu ndio Huwa wanaleta Neema kwenye Nchi,nyie wengine ni wapuuzi
 

Kama wamechanganyikiwa vile.
 
Wakristo wakisemwa Huwa wanaua wanaowasema usijitoe ufahamu cc Mkapa cc Mwendazake cc Nyerere

Mkitaka Waislamu wajibu hamtawaweza si mnawajua moto wao?

Mwisho Waislamu ndio Huwa wanaleta Neema kwenye Nchi,nyie wengine ni wapuuzi
kuna neema gani harfghanstan
 
Acha ubwege na kukalili ushungi na kanzu siyo uislam,hata wahindi huvaa similar dress [emoji24][emoji24]
 
Hii ndiyo hijabu siyo hadithi za ngano t
 
You bet it,wanakwambia Biblia siyo KITABU cha MUNGU, Lakini kutwa wako busy kukichambua,unakuta wako msikitini wako busy kunukuu injili za Marko,yohana,Luka,wakitoka nje wanakwambia siyo?[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…