Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Hao watu wanazaliana kama Kunguni ndio maana wanakua kwa kasi.

Katika Biblia uislam unatokea kwa Ishmaeli, Yule mtoto ambaye Ibrahim alizaa na Kijakazi (Hajir).

Na Ukristo unatokea kwa Isaka ambaye alizaliwa kutoka kwa mke wake.

Haya Ishmaeli alizaa watoto 12 wakati Isaka alizaa wawili tu, Ukiangalia utaona haya mambo hayajaanza leo.
Usituletee stori za bibilia sisi
 
Ukitegwa unayo chance ya kuungama dhambi zako na kuanza upya ila hakuna mtu atakayekupiga hata kofi tu, unlike nyinyi ambao kukata mtu shingo ni kufumba na kufumbua.
Hapa mmepewa ahadi ya kupata wake 100 kama mtaifuata injili ya yesu😅😅

Marko 10:29-31👇​

29 Yesu akasema, “Nawaambieni kweli: Hakuna aliyeacha nyumba, kaka, dada, mama, baba, watoto au mashamba kwa ajili yangu na kwa ajili ya Injili 30 ambaye hatapata malipo mara mia zaidi katika nyakati hizi; nyumba, kaka, dada, mama, watoto, na mashamba, pamoja na mateso; na uzima wa milele katika kizazi kinachokuja. 31 Lakini wengi walio wa kwanza sasa watakuwa wa mwisho baadaye na wale walio wa mwisho sasa watakuwa wa kwanza baadaye.”
a mtaifuata injili ya yesu😅😅

Kila kitu utapata mara 100 kama mke ,watoto ,ndugu hivi ili andiko hamsoni au laah!?
 
😂😂😂 Unavyotamani wenzako wachomwe ndo wenzako wanavyotaka uchomwe hivyo hivyo...kila mtu subiri ukifa subiri ukifa hivi vitisho mnapewa mkiwa watoto mnavibeba mpaka uzeeni. Kuna vitu ukikua unabidi uelewe kwamba vipo kwa ajili ya control tu havina uhalisia. Acha kutishia watu moto ambao kila dini inatumia kuvuta wafuasi

Mbona unaweweseka sasa,wapi mimi nimekutajia moto??,do you think umeumbwa hapa duniani kisha uachwe tuh uishi maisha yako bila kuja kuwa questioned?remember umepewa utashi tofauti na wanyama.
 
1. Hajaumbwa
2. Hajawepo ili aongozwe
Hizi ni ideas kutoka kwa dini zilizotengenezwa na wanaume kukandamiza wanawake
Kama una evidence ya mwanamke kuumbwa ili aongozwe niletee nasubiria

kwanini nao wao wanawake hawakutengeneza hizo dini kama ni rahisi hivo?
 
Hapa mmepewa ahadi ya kupata wake 100 kama mtaifuata injili ya yesu😅😅

Marko 10:29-31👇​

29 Yesu akasema, “Nawaambieni kweli: Hakuna aliyeacha nyumba, kaka, dada, mama, baba, watoto au mashamba kwa ajili yangu na kwa ajili ya Injili 30 ambaye hatapata malipo mara mia zaidi katika nyakati hizi; nyumba, kaka, dada, mama, watoto, na mashamba, pamoja na mateso; na uzima wa milele katika kizazi kinachokuja. 31 Lakini wengi walio wa kwanza sasa watakuwa wa mwisho baadaye na wale walio wa mwisho sasa watakuwa wa kwanza baadaye.”
a mtaifuata injili ya yesu😅😅

Kila kitu utapata mara 100 kama mke ,watoto ,ndugu hivi ili andiko hamsoni au laah!?
Kwa hiyo na mama zako watakuwa 100, Bro hapa kuna point unamiss😀😀😀
 
Usituletee stori za bibilia sisi
Kama wewe hazikufai unakausha tu wapo zinaowafaa,

Mambo ya Mungu yapo kiimani zaidi, Bila shaka hata wewe yapo mambo yako unayoyaamini, Sisi wengine tunamuamini Mungu kupitia miujiza yake na Ushuhuda.

Mfano Biblia ya Kiingereza imeandika Mungu aliiteketeza Miji ya Bondeni ya Sodoma na Gomora na kuibadili kuwa Brimstone(Sulphur) and Salt.

Leo hii katika dunia yetu ni kweli sodoma na Gomora zipo na ndio mahali inakopatikana High purity sulphur (80% and above) na chumvi ya kutosha,

Hivyo story za Biblia ni za kweli.
 
Mbona unaweweseka sasa,wapi mimi nimekutajia moto??,do you think umeumbwa hapa duniani kisha uachwe tuh uishi maisha yako bila kuja kuwa questioned?remember umepewa utashi tofauti na wanyama.
😂😂😂why not.. why niwe alive afu nishakufa...tatizo binadamu mnapenda kuimagine vitu afu mnaforce kuwa reality. Hujiulizi kila dini inasema Mungu wake ndo waukweli na wanaobisha ni adhabu. Wat makes yours special .kisa wewe umezaliwa huko na wengine hawajazaliwa huko. 😂Hii dhana ni ya kijinga kujiona main character wa ulimwengu wakati we ni kama kijidudu kwenye universe yenye billions of planets n stars
 
kwanini nao wao wanawake hawakutengeneza hizo dini kama ni rahisi hivo?
Kwa sababu kipindi hicho hawakuwa na political n social power kama now . walikuwa wanakandamizwa..saa hivi si Kuna kina zumaridi kina ellen white waliotokea..😂so sielewi ur point ni nini
 
Kama wewe hazikufai unakausha tu wapo zinaowafaa,

Mambo ya Mungu yapo kiimani zaidi, Bila shaka hata wewe yapo mambo yako unayoyaamini, Sisi wengine tunamuamini Mungu kupitia miujiza yake na Ushuhuda.

Mfano Biblia ya Kiingereza imeandika Mungu aliiteketeza Miji ya Bondeni ya Sodoma na Gomora na kuibadili kuwa Brimstone(Sulphur) and Salt.

Leo hii katika dunia yetu ni kweli sodoma na Gomora zipo na ndio mahali inakopatikana High purity sulphur (80% and above) na chumvi ya kutosha,

Hivyo story za Biblia ni za kweli.
😂😂😂😂😂Hebu google hicho uaibike. Tatizo wakristo mnapenda kujikosha..Mara sijui boti ya nuhu Mara msumari wa Yesu Mara Nini ..all this are things forced kuleta utapeli tu nothing else. Google saa hivi claims of discovery of Sodom n Gomorra Kama sio uhuni tu wa mtu ..😂najua ukishagoogle utasema google ni ya shetani so siwezi bishana utoto mimi
 
Kwa sababu kipindi hicho hawakuwa na political n social power kama now . walikuwa wanakandamizwa..saa hivi si Kuna kina zumaridi kina ellen white waliotokea..😂so sielewi ur point ni nini

hatuna mtu wewe, baada ya muda ndio nyinyi tunakuoneni mnalalamikia mshanyooshwa na ma feminists'
 
Uhayawani na hiyo makitu vimekuwa entwined au tuseme vimefungamana to the point one cannot recognise which is which
 
Back
Top Bottom