Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Umejazwa ujinga ukakujaa. Uislam hauna ukatili na wala haufundishi ukatili.

Mnajazwa ujinga na mashetani ili msiusome Uislam.

Wanasema mwanamke wa kiislam kuutetea uislam hana tofauti na kuku kuitetea KFC ikiungua kwa kuizima na maji[emoji16][emoji16].

Kwama eti wewe mama uso wako ni nyeti ila wa mumeo ni bango la soko la hisa,wauone tu.
 
Mambo ya uislamu waachie waislamu, wewe angalia yanayokuhusu. Hao mayahudi walioia Hadi mitume wa Allaah hujawaona umekaa kizungumzia uislamu?! Ukristo unaozuia viongozi wa kanisa kuoa huo sio ukatili? Kumuwekea mtu limit ya wanawake wa kuoa sio ukatili?! Mtu kaoa halafu kagundua kuwa mtu aliyemioa sio sahihi kaamua abadilishe aoe mwingine unamwambia hapana ikifungwa duniani imefungwa mbinguni hamna kuachana Hadi kifo huo sio ukatili kumlazimisha mtu kuishi na mtu asiyempenda??!! Ukatili kama ukatili upo katika jamii nyingi za makabila hata mifumo ya vyama vya siasa na tawala za nchi ila KILA JAMII INA UKATILI WAKE AMBAO IMEUHALALISHA NA KUNYOOSHEA KIDOLE UKATILI WA JAMII NYINGINE.

Useja mtu anaamua mwenye kuingia,anajitoa sadaka kwa Mungu wake sio Mungu wako.

Mtu hawezi kuwa kifaa cha majaribio,uoe mtoto wa watu usakue utakavyo uje uachie wengine makombo eti hanifai!!!Huwezi kugundua humpendi mtu baada ya kumla hiyo ni janja ya muhammad katika harakati zake za kusakua papuchi.

Hatuwezi waachia waislam mambo yao maana yana athali mpaka kwa jamii zisizo za kiislam,leo hii hapa tunavumiliana sababu wewe umeamua kuvunja baadhi ya maamrisho ya dini yako,ila ukiamua kusimama kama inabyotaka ntakuchukulia kama tatizo kwa jamii kama hao jamaa wa tareban.
 
Namuunga mkono mleta Mada. Mtakao mpinga zingatieni ameandika siyo huu uislamu wa bonyokwa Bali uislamu wa Tawala za kiarabu. (Islamic State)
 
Namuunga mkono mleta Mada. Mtakao mpinga zingatieni ameandika siyo huu uislamu wa bonyokwa Bali uislamu wa Tawala za kiarabu. (Islamic State)
Unausemea Uislam unauelewa? Au mradi tu ubawaje na kuhororoja kwa usiyoyajuwa?

Ungelifahamu kuwa Uislam ndiyo ulioleta haki za mwanamke, usingeongea utubo wako huo.
 
𝐔𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐮𝐤𝐢𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮𝐳𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐦𝐦 𝐧𝐚𝐰𝐞𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐩𝐢𝐚
 
Sema waislam wanazaa sana kuliko wakristo. mtu una wake 4 alafu kila mmoja watoto 7 na kuendekea.
Kuna tatizo hapo?

Imeandikwa zaeni mkaijaze nchi. Nchi bado haijajaa
 
Umesma ubalozi wa nini? Nilifikiri utasema wamebomowa jengo la serikali ya Tanzania.

Kwenu Dar? Ubalozi wa USA?

Unafahamu kuwa mchaga tena mkristo ndiye alitengeneza lile bomu na kuliunda kwenye gari iliyoripuliwa nalo?
Wamarekani wana haki ya kuulowa eeeeh
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Hee, mbona uislamu inasemekana ni dini ya amani?
 
Back
Top Bottom